×

Habari

Tetemeko Lazua Taharuki Dodoma

Taasisi ya Jeolojia na Utafiti wa Madini (GST) imesema tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.5 katika kipimo cha richter...

READ MORE

Zimamoto: Taarifa za Soko la Karume Zilichelewa

Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Ilala Elisa Mugisha, amesema kwamba taarifa za kuungua kwa soko la Karume...

READ MORE

Rais Samia Ateua Naibu Kamishna Mkuu TRA

Rais Samia amefanya teuzi mbalimbali leo Januari 18, 2022, ambapo amemteua Bw. Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa...

READ MORE

Mwanaume Mweye Upara Akatwa Kichwa Wakiamini Kina Dhahabu

Polisi nchini Msumbiji wanasema kichwa cha mwanaume mmoja mwenye upara kimekatwa na kuondolewa na wahalifu waliotaka kukiuza kwa mteja wao...

READ MORE

Mfahamu Milionea Mtoto Anaetarajiwa Kustaafu na Miaka 15

Mtoto mmoja wa kike kutoka Australia anaelekea kustaafu akiwa milionea katika umri wa miaka 15 licha ya kuwa ni mwanafunzi...

READ MORE

Mchumba wa Sabaya Aanika Walivyovamiwa Hotelini

Shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake, Jesca Thomas ameieleza mahakama...

READ MORE

Ripoti: Mabilonea Watajirika Zaidi Wakati wa COVID-19

Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya...

READ MORE

Mvua Kubwa Kunyesha Siku Tatu Mfululizo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa itakayonyesha hii leo Januari 17, 2022,...

READ MORE

Mfanyabiashara Amchinja Mwanae

Mfanyabiashara Mkubwa Jimbo la Zamfara nchini Nigeria amekamwatwa kwa kosa la kuua kwa kumchinja mtoto wa kiume wa miaka tisa....

READ MORE

Bibi Atamani Kuzaa Mtoto na ‘Mjukuu Wake’

Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua watau Dodoma

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali basi iliyotokea katika eneo la panda mbili wilayani Kongwa mkoani...

READ MORE

Msemaji wa Serikali Anusurika Katika Shambulio la Bomu

Waziri Mkuu wa Somalia, Mohamed Hussein Roble amesema msemaji wa serikali ya nchi hiyo, Mohamed Ibrahim Moalimuu amejeruhiwa katika shambulio...

READ MORE

Mhitimu Kidato cha Nne Ajiua

Mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021 Shule ya Sekondari Serengeti mkoani Mara Lucas Thomas (17) amekutwa amejinyonga kwa kamba...

READ MORE

Kimenuka! Mabomu ya Machozi Yarindima Dar

Polisi mkoani Dar es Salaam wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wa soko la Karume (Mchikichini) ambao wameandamana na kufunga...

READ MORE

Mama Aua Wanaye Wawili

MWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni Mama wa Watoto wawili amejiua kwa kujinyonga baada ya kuwaua kwa...

READ MORE

Mwanaume Adaiwa Kumuoa kwa Nguvu Binti wa Miaka 14

Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe...

READ MORE

Zoa Zoa Yaendesha Msako wa Kuwanasa Wanaoiga Bidhaa Zake

    Kampuni ya Grace Products au Zoa Zoa imeingia mitaani nchi nzima kwa lengo la kuwakamata wafanyabiashara wasiyo waaminifu...

READ MORE

Airtel Wape Tabasamu Yafaidisha Tena Vituo vya Watoto Yatima Mikoa Mitano Wiki Hii

      KAMPENI maalum ya kusaidia jamii na hasa kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuuu ambayo inalenga kuwanufaisha...

READ MORE

Breaking News: Rais Keita Afariki Dunia

Rais wa Mali aliyeondolea madarakani Ibrahim Boubacar Keita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Januari 17, 2022 akiwa na...

READ MORE

Wasakwa kwa Kuchana Quran

WATU kadhaa wanaotuhumiwa kuchana kitabu kitukufu cha Dini ya Kiislam, (Quran) hadharani katika maeneo ya Pandani-Mtemani Mkoa wa Kaskazini-Pemba wanasakwa...

READ MORE

Sita Wanusurika Kifo Gesti Ikiteketea Moto Arusha

Watu sita wamenusurika kifo baada ya nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ iliyopo Maji ya Chai wilayani Arumeru mkoani Arusha kuteketea...

READ MORE

#LIVE: Chekeche La Uspika CCM Usipime Vikao Vyaanza, Janga La Moto Soko La Karume | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Ujenzi Ikulu Ya Chamwino Wafikia Asilimia 91

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Januari 16, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ikulu inayojengwa katika eneo la Chamwino, Jijini...

READ MORE

Banda La Tanzania Expo 2020 Dubai Laendelea Kuvutia Wageni Wengi

 Banda la Tanzania katika Maonesho ya EXPO 2020 Dubai limeendelea kuvutia wageni wengi kutokana na uwepo wa maudhui ya picha...

READ MORE

Rais Samia Awatembelea Mzee Pinda na Mzee Malecela Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 15, 2022 amewatembelea kuwajulia Maaziri Wakuu Wastaafu Mzee...

READ MORE

Rc Makalla Atoa Maagizo Soko la Karume

  MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, amewaomba wahanga wa moto Soko la Karume kuwa watulivu, kwani...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua Mtu Mmoja na Kujeruhi watano Pangani, Tanga

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa Treni ya abiria yenye injini namba 9022 imepata ajali majira ya saa...

READ MORE

Msemaji Mkuu Wa Serikali Anazungumza, Januari 16, 2022-Video

 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya Serikali akiwa Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, leo...

READ MORE

Vilio Soko La Karume, Wafanyabiashara Wachanganyikiwa, Tazama Hali Ilivyo Kwa Sasa- Video

 Soko la wafanyabiashara wadogo la Karume lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam limeungua kwa moto alfajiri ya...

READ MORE

Mpango Akerwa na Uchafu Dodoma

MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango leo tarehe 15 Januri 2022 ametembelea katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma pamoja...

READ MORE

Msama Achukua Fomu Kugombea U-Spika

MFANYABIASHARA  maarufu, Alex Msama leo Januari 15, amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi...

READ MORE

Shule 10 Bora Matokeo ya Kidato cha Pili

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Kidato cha Pili

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Mauaji Azidiwa Kizimbani, Jaji Aahirisha Kesi

Kesi ya mauaji inayomkabili Timothy Gitonga mwenye umri wa miaka 30, anayetuhumiwa kumuua bibi yake, Journes Kiringa mwenye umri wa...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Shule Kumi Bora Zatangazwa Matokeo Ya Kidato Cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Pablo: Tumetimiza Malengo Mapinduzi Cup

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, amefunguka kuwa lengo alilopanga kulipata kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi limetimia kwa asilimia...

READ MORE

Breaking News: NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Watu Wanne Wakamatwa kwa Kula Nyama za Watu

Polisi katika jimbo la Zamfaraaskazini-magharibi mwa Nigeria wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu...

READ MORE

Majonzi: Baba Aliyechinjwa na Mwanaye Mwanajeshi Azikwa – Video

MWILI wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Edward Ndonde anayedaiwa kuuawa kikatili...

READ MORE