×

Habari

🔴#Live: CCM Yajiweka Kando Sakata la Ndugai, Mfumo Dume, Ubaguzi Upuuzwe Nchini.. Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Simba Yaachana na Nyoni, Yashusha Jembe Jipya

UNAAMBIWA Simba wamekuja na staili ya kata mti panda mti, hii ni baada ya kuchukua maamuzi ya kuachana na kiungo...

READ MORE

Mwili wa AG wa Kwanza Kenya Wachomwa Moto Saa 3 Baada ya Kifo

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza jana Jumapili,...

READ MORE

Majaliwa Aonya Watengeneza Migogoro Serikalini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka watu wanaotengeneza migogoro dhidi ya viongozi wa Serikali, waache mara moja. Majaliwa alitoa onyo...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Kenya Afariki

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa raia wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta...

READ MORE

Updates: Moto Wadhibitiwa Katika Bunge la Afrika Kusini – Video

Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji Afrika Kusini vimesema vimefanikiwa kuudhibiti moto mkubwa ambao ulizuka katika Bunge la Afrika Kusini mjini...

READ MORE

Simba Yashusha Vifaa Viwili Fasta

IMEFAHAMIKA kuwa, mapema wiki ijayo, Klabu ya Simba, inatarajiwa kushusha vifaa viwili vya kimataifa ambapo kwa sasa wapo navyo kwenye...

READ MORE

Tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya 2022!

Tumeingia mwaka mpya wa 2022, tunatumaini utakuwa ni mwanzo mzuri wa Mipango na Mikakati katika shughuli zao za kila siku...

READ MORE

Moto Waunguza Bunge la Afrika Kusini (Picha + Video)

MOTO mkubwa umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini lililopo jijini Cape Town. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya...

READ MORE

TRA Yakusanya Tril. 11, Julai-Desemba

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha Mwezi Desemba 2021 imekusanya TZS trilioni 2.51 kati ya lengo...

READ MORE

Kikundi cha Taarifa na Maarifa cha TGNP Kivule Kilivyoendesha Bunge la Jamii Mtaani

      Kikundi cha Taarifa na Maarifa cha Kata ya Kivule Wilaya ya Ilala jijini Dar, kilichoundwa na Mtandao...

READ MORE

Pasta Azindua Nguo za Ndani Zenye Sura Yake Kuwasaidia Warembo Kupata Waume

Pasta  Dr J.S. Yusuf wa  wa Kanisa la Touch for Recovery Outreach International mjini Abuja  amezindua nguo za ndani na...

READ MORE

Kwaheri 2021: Matukio 10 Yaliyotikisa, Kifo Cha JPM, Tukio La Hamza, Rais Mwanamke, Hatutasahau…

Haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea mwaka 2021 na kugonga vichwa vya watu mbalimbali nchini. 

READ MORE

Majaliwa: Tanzania Iko Mikononi Mwa Mungu -Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu...

READ MORE

Lema Lissu Waamua Kurejea Nchini

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema Kamati Kuu ya Chama chake imeadhimia yeye pamoja na mwanasiasa Godbless Lema...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Kikwete Kuwa Mkuu wa Chuo UDSM

Rais Samia Suluhu Hassan leo Desemba 31, amemteua Rais  mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu...

READ MORE

Aiba Mtoto Kunusuru ndoa Yake

JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mkazi wa Buhongwa jijini humo, Rose Joshua (27) kwa tuhuma ya wizi wa...

READ MORE

Tesla Yarejesha Magari ya Umeme 475,000 Kiwandani

KAMPUNI ya Tesla imerejesha zaidi ya magari yake ya umeme 475,000 kushughulikia mfumo wa kamera na maswala mengine ya kiufundi...

READ MORE

Mwanamke Alewesha Wanaume na Kuwaibia

JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia mwanamama Joyce Aluta wa Mombasa kwa kosa la kuwawekea wanaume dawa za kulevya kwenye...

READ MORE

🔴#Live: Diamond Akimuoa Zuchu Navua Nguo, Natembea Utupu, Mwaka Mgumu Kwa Kajala | HotPot

Karibu kutazama kipindi namba moja cha Udaku ‘HOTPOT’ kinachokuletea habari mbalimbali za mastaa ndani na nje ya Tanzania. 

READ MORE

Sure Boy: Mimi Siwezi Kukosa Nafasi Yanga

KIUNGO mpya wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amevunja ukimya juu ya nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha timu hiyo...

READ MORE

Skendo ya Walimu Kufanya Mapenzi na Wanafunzi Yatikisa

MWAKA 2021 unapokaribia kutamatika, baadhi ya walimu wa shule mbalimbali wanauaga kwa skendo ya kujihusisha kimapenzi na wanafunzi wao.  ...

READ MORE

Miji Ambayo Tayari Mpaka Sasa Imeshaingia 2022

WAKATI Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na...

READ MORE

Mwanamke Aliyeuawa Arusha Alipigwa Jembe Kichwani

MKAZI wa Njiro jijini Arusha, Jenerose Dewasi (66) amebainika ameuawa baada ya kupigwa na jembe kichwani. Akizungumza na Mwananchi msibani...

READ MORE

Mhudumu wa Baa Akamatwa kwa Mauaji Wakigombea Sh2,500

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mhudumu wa baa Pendo Mwakifamba (21) kwa tuhuma za mauaji ya Hilda Mwambona (25)...

READ MORE

Mke Amuua Mumewe kwa Kumchoma Moto

Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu...

READ MORE

🔴#LIVE: Maandalizi Ya Wakati Wako, Kuelekea Kumaliza Mwaka 2021 | Mawaidha Ya Kiislam..

KARIBU utazame kipindi cha ‘MAWAIDHA YA KIISLAM’ kilichosheheni maudhui ya dini ya kiislam kutoka kwa Sheikh Ahmed Kandauma. 

READ MORE

Benki Yakosea Kuwaingizia Wateja Mamilioni ya Fedha

Benki ya Santander nchini Uingereza imejikuta mdomo wazi baada ya kugundua kwamba iliweka kimakosa pesa zinazofikia $ milioni 175 (Tsh....

READ MORE

🔴#Live: Nabi Afunga Usajili Na Mashine Mbili Matata, Nyoni Out Simba, Ajibu Huyoo Azam | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi… 

READ MORE

Mume Amkata Masikio ‘Mkewe’ na Kusepa Nayo – Video

Mkazi wa eneo la Bible Mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, Doricas Richard mwenye umri wa miaka 23 anauguza majeraha baada ya...

READ MORE

Waifadhi Wa TFS Kanda ya Mashariki Wavishwa Vyeo

  MAOFISA 15 na Askari 34 wa Jeshi la Uhifadhi Wakala wa Huduma Za Misitu Tanzania(TFS) Wamevalishwa Vyeo Kwa Lengo...

READ MORE

Burji al Arab Ndio Hoteli Bora Zaidi Duniani

Bila shaka umesikia sana kuhusu hoteli zenye hadhi ya nyota tano katika majiji makubwa duniani kama London nchini Uingereza, Paris...

READ MORE

Charles Hilary Ateuliwa Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, amemteua Charles Martin Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukutwa na Dola Bandia

JESHI la Polisi Mkoa wa Tabora limemkamata mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Edson Mathayo (33) mkazi wa Ndalla Tabora...

READ MORE

Akamatwa Akisafirisha Bangi

POLISI katika kaunti ya Busia huko nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 40 akisafirisha misokoto ya bangi...

READ MORE

Askofu Bendera Ajilipua Sakata la Deni la Taifa, “Tujilinde na Kuligawa Taifa”

ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ametoa ushauri wake kuhusu suala la deni la taifa ambalo limekuwa gumzo...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa...

READ MORE

Arusha: Mwanamke Mwingine Akutwa Amekufa

MWANAMKE mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu...

READ MORE