×

Habari

Maagizo ya Rais Samia Kuhusu Tozo – Video

WAZIRI wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana...

READ MORE

Dkt. Akwilapo Atoa Wito Kwa Wadau kutoa Maoni Maandalizi ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu

  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ametoa wito kwa wadau wa elimu kuendelea kutoa...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa  bei za mafuta kutokana na kubadilika kwa...

READ MORE

Ndugai Awaomba Radhi Wakristo Kwa Kauli Yake

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaomba radhi Wakristo kwa kauli aliyotoa leo Bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika...

READ MORE

Semina ya UWT Kwa Mabinti Yazinduliwa

Semina ya Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa mabinti ili kufikia ndoto zao, imezinduliwa Agosti 31, 2021 katika ukumbi wa...

READ MORE

Kampeni ya ‘NMB Kama Upepo’ Yazinduliwa, Washindi kupaa Dubai

Benki ya NMB imezindua kampeni ya ‘NMB Kama Upepo,’ iliyotokana na Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Skylink Travel &...

READ MORE

Serikali Yapunguza Tozo ya Miamala ya Simu

  Tarehe 19 Julai, 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, aliwaelekeza Waheshimiwa Waziri wa...

READ MORE

Ndugai Ataka Gwajima Awajibishwe: Ukiwa Askofu Utudanganye? – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema Vyombo vya Serikali na Chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana...

READ MORE

Mbowe Ataka Kesi Yake Isiendeshwe na Mahakama ya Mafisadi

MAWAKILI wa upande wa Utetezi Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakiongozwa na Peter Kibatala wameitaka mahakama Kuu ya...

READ MORE

Askofu Gwajima na Silaa, Wapigwa Bonge la Adhabu

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limewasimamisha wabunge wawili, Jerry Silaa na Josephat Gwajima, kuhudhuria mikutano miwili ya bunge...

READ MORE

Bunge: Jerry Silaa Afutiwe Uwakilishi – Video

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetoa azimio mbunge wa Ukonga Jerry Silaa asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili ya...

READ MORE

Marekani Yaharibu Vifaa Vyake Vya Kijeshi Afghanistan

Jeshi la Marekani lilihakikisha linalemaza ndege zao na magari ya silaha waliyoyaacha kwenye uwanja wa ndege mjini Kabul kabla ya...

READ MORE

Kilichowakuta Slaa na Gwajima, Viburi, Dharau Zatajwa – Video

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki maamuzi ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge...

READ MORE

Askofu Gwajima Apewa Akutwa na Hatia ‘Asimamishwe’ – Video

Kamati ya Bunge imetoa azimio sakata la Mbunge wa Jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kupewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili...

READ MORE

Hukumu ya Gwajima na Silaa Live Bungeni – Video

SAKATA la wabunge Askofu Josephat Gwajima na Jerry Silaa limetua bungeni na leo Jumanne mchana mbivu na mbichi itajulikana kuhusu...

READ MORE

Ndugu Watano wa Hamza Waendelea Kushikiliwa

WATU watano wanaendelea kuhojiwa na Jeshi la Polisi nchini kufuatia shambulio lililofanywa na Hamza Mohamed na kusababisha mauaji ya askari...

READ MORE

Infinix Yawapatia Tabasamu Wateja Wake

    Kwa takribani wiki kadhaa sasa zimepita tangu Promosheni ya Kuli Kuliko kutoka Infinix imeanza na hitimisho lake ilikuwa...

READ MORE

Ahukumiwa Jela Maisha kwa Kumbaka Mtoto wa Miezi 19

MAHAKAMA ya Wilaya Njombe imemuhukumu kifungo cha maisha jela Steward Mkongwa (33) baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto...

READ MORE

Mwanamke Afariki Baada ya Kupata Chanjo ya Pfizer

SERIKALI ya New Zealand imeripoti kile inachoamini kuwa kifo cha kwanza kinachohusisha chanjo ya corona ya Pfizer. Bodi huru inayosimamia...

READ MORE

#BreakingNews: Tetemeko la Ardhi Laikumba Geita Leo

Tetemeko la Ardhi limeikumba Geita Alfajiri ya leo, Agosti 31 likiwa na ukubwa wa Richa 4.8 na kudumu kwa sekunde...

READ MORE

Tanzia: DCI Manumba Afariki Dunia

MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI) Robert Manumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, Agosti...

READ MORE

Mwana FA Afunguka Alivyonusurika Kwenye Ajali Usiku – Video

  Mbunge wa jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, amepata ajali ya gari eneo la Mkambalani mkoani Morogoro...

READ MORE

Benki ya I&M Yatangaza Kupata Faida Miezi Sita 2021

Benki ya I&M Group imetangaza ongezeko la faida kwa asilimia 33 baada ya kodi katika hesabu zake za nusu mwaka...

READ MORE

Fahamu Sababu Mwili wa Hamza Kuzikwa Usiku

MWILI wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi Jumatano, Agosti...

READ MORE

Breaking: Mwana FA Apata Ajali Morogoro

Mbunge wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kama Mwana FA amepata ajali katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani – Video

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameangua kilio hadharani katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...

READ MORE

Askari Aliyeuawa na Hamza Azikwa Karatu

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Mary Kipesha amewaongoza Maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika kuuaga...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Mahakama Yakataa Mapingamizi ya Serikali – Video

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Agosti 30, imeanza kusikiliza Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Kivuko cha MV. Tegemeo Charejea, Chaanza Kupiga Kazi Buchosa – Video

HATIMAYE huduma za Kivuko cha MV. Tegemeo kinachofanya safari zake Kati ya Kijijicha cha Kahunda (Halmashauri ya Buchosa) – Sengerema,...

READ MORE

Mbowe Amgeuzia Kibao DPP

Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kukubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

Coastal Yaandika Historia Afrika kwa Kubeba Cheti cha Usalama IATA

USALAMA ni moja ya nguzo muhimu katika masuala ya usafiri wa anga. Hiki ndio kigezo ambacho kimezishinda kampuni nyingi za...

READ MORE

Simulizi Binti Aliyemchoma Moto Mpenzi Wake

PIGA picha umelala na mpenzi wako ukiwa umemuegemea, ambaye kabla ya kulala mlikuwa na furaha tu na ghafla unaamka na...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Muleba Amkabidhi Power Tiller Mshindi wa ‘Kapu la Wana’

Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Toba Nguvila(wa pili kulia) akimkabidhi Power Tiller mshindi wa kampeni ya ‘Kapu la Wana’ mkulima...

READ MORE

Oman Yaondoa Katazo Abiria wa Tanzania

UBALOZI unapenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Oman imeondoa katazo la kuingia Oman kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine zilizokuwa...

READ MORE

Rais Samia Akoshwa na NBC Kuboresha Huduma za Afya, Elimu Zanzibar

Zanzibar: Agosti 29, 2021: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mwishoni mwa wiki alikabidhiwa Kliniki inayohamishika (mobile...

READ MORE

Moto Wateketeza Nyumba 19 Rufiji – Video

Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge pamoja na wajumbe wa kamati ya usalama ya wilaya ya Rufiji wamefika kwenye...

READ MORE

Rais Samia Aanza Rasmi Kurekodi Kipindi cha Royal Tour

Rais Samia Suluhu Hassan Ameanza Rasmi Kurekodi Kipindi Maarufu cha Royal Tour Chenye Lengo la Kuitangaza Tanzania Tanzania Kimataifa  

READ MORE

Marekani Yazuia Shambulio Jingine Kabul

JESHI la Marekani kwa kutumia ndege zake zisizo na rubani katika Mji Mkuu Kabul limefanikiwa kuzima shambulio jingine baya la...

READ MORE