×

Habari

Rais Samia Afanya Uteuzi Mamlaka ya Usafiri wa Anga

Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe kwa Kumkata na Panga Kisa Wivu wa Mapenzi

MKAZI wa kata ya Malezi wilayani Handeni mkoani Tanga, Nassoro Mustapha anatuhumiwa kwa kumuua mkewe kwa kumkata na panga sehemu...

READ MORE

DC Ludigija Apokea Msaada Vifaa Vya Shule Kutoka Nmb, Wasioona Wakumbukwa

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija amepokea msaada wa viti na meza za walimu kutoka kwa Meneja...

READ MORE

Bastola ya DC Yakamatwa Ikitumika Kufanya Uhalifu Mbeya – Video

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashiklilia watu 5 kwa tuhuma za kukutwa na bastola moja na risasi 11, mali ya...

READ MORE

Dkt. Mpango Atoa Pole Msiba wa Kwandikwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiambatana na Mkewe Mama Mbonimpawe Mpango hii...

READ MORE

Sabaya Ashindwa Kufika Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo imeahirisha usikillizaji wa ushahidi wa shahidi namba saba upande wa Jamhuri wa kesi ya...

READ MORE

Marobota ya Nguo Yakwamisha ‘Guta’ Kupinduka Eneo la Machinga Complex

    Baiskeli la miguu mitatu maarufu kwa jina la ‘Guta’ limepinduka katika eneo la Wafanyabiashara maarufu Machinga Complex Ilala...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi Aanza Kutoa Ushahidi Kesi ya Sabaya

MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya ya Arusha, ASP Gwakisa Minga ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi...

READ MORE

Diamond Amuandikia Manara Waraka Mzito

  STAA wa Bongofleva nchini, Naseeb Abdul alimaarufu kama ‘Diamond Platnumz’ ameshusha waraka mzito kuelezea ushawishi wa msemaji wa zamani...

READ MORE

Lusinde Amjibu Mnyika “Akae Kimya”

MJUMBE wa Halmashauri kuu Taifa CCM (MNEC) na Mbunge wa Jimbo la Mvumi Mhe.Livingstone Lusinde amemtaka Katibu Mkuu wa Chama...

READ MORE

Mbunge Ridhiwani Kikwete Atembelea Ujenzi Bwawa la Maji, Wananchi Kuondokana na Kero ya Maji

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete ametembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Bwawa Kubwa la Maji litakalogharimu Shilingi...

READ MORE

Azam Yasajili Kipa Mpya wa KMKM ya Zanzibar

 KLABU ya Azam FC jana jioni imefanikiwa kumsajili kipa namba moja wa klabu ya KMKM ya Zanzibar, Ahmed Ali Suleiman...

READ MORE

EWURA Yasitisha Bei za Gesi Kupanda

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu...

READ MORE

Tanzia: Padre Raymond Saba Afariki Dunia

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Raymond Saba ,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano,...

READ MORE

Live: Mbowe Aja Kivingine Kesi Ya Ugaidi, JPM Atajwa Tena Kesi Ya Sabaya

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Infinix Yazindua Promosheni Kali Kuliko

    Promosheni ya Infinix kali kuliko imezinduliwa  ikiwa ni ndani ya  mwezi mzima kuanzia tarehe 1 hadi 30 Agosti....

READ MORE

Benki ya KCB Yadhamini Mbio Rock City Marathon 2021

    Benki ya KCB Tanzania imekabidhi hundi yenye thamani Tsh milioni 20 kwa waandaaji wa mbio za Rock City...

READ MORE

SGA Security Yadhamini Safari ya Baiskeli Afrika Mashariki

    Kampuni ya SGA Security imeahidi kuendelea kuunganisha wakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia michezo huku ikidhamini safari...

READ MORE

Serikali Yakabidhi Boti Za Kubeba Wagonjwa Geita Vijijini Na Ukerewe

SERIKALI kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) imeendelea kuboresha huduma za afya nchini baada ya leo kukabidhi boti...

READ MORE

Bunge Lathibitisha: Wabunge Wote Wanakatwa Kodi

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa wanakatwa kodi...

READ MORE

Rais Mwinyi Amlilia Waziri Kwwandikwa

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo kufutia kifo cha...

READ MORE

Yanga Wamtambulishwa Heritier Makambo 

DILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika ambapo leo Agosti 3, 2021 ametabulishwa rasmi ndani ya...

READ MORE

Mmiliki wa Shule za Alpha Afariki Dunia

JUMUIYA ya Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly) – UDASA...

READ MORE

Gwajima: Nilishasema Sichanjwi

Mbunge wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dkt. Josephat Gwajima amekanusha taarifa zinasombaa mitandaoni...

READ MORE

Video: Yanga Yaifanyia Umafia Simba, Dabi Ya Kariakoo Rasmi Septemba 25 | Krosi Dongo

 KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Serikali Yaanza Kusaka Matokeo Chanya Ya Zao La Mwani

Serikali imesema itaendelea kuwawezesha wakulima wa zao la mwani kwa vifaa pamoja na utaalamu ili waweze kuzalisha kwa wingi na...

READ MORE

Wanandoa Waliozaliwa Siku Moja, Wafa na Kuzikwa Siku Moja

MIONGONI mwa stori zinazo make headlines mkoani Kilimanjaro ni kuhusu kile kinachoonekana kuwa maajabu ya Mungu yaliyoambatana na simanzi na...

READ MORE

Mfanyabiashara Ndama Ahukumiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ndama Shabani ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’ na mwenzake Yusuph Yusuph kulipa...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Waziri Kwandikwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia,Jeshi, Bunge na Wananchi wa Jimbo...

READ MORE

Live: CAG “Wabunge Wakatwe Kodi”, Sirro Aonya Wafuasi Wa Chadema | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Nmb Yashinda Tuzo Mbili za Kimataifa za Umahiri

Benki ya NMB imeshinda tuzo mbili za kimataifa ‘kwa mpigo,’ za Benki Bora Tanzania na Benki Bora ya Huduma kwa...

READ MORE

Msimu Mpya Wa Shayiri, Neema Kwa Wakulima

Mkuu wa Wilaya Bi Janeth Mayanja amezindua msimu wa mavuno wa zao la shayiri katika kata ya Nangwa Wilaya ya...

READ MORE

Inasikitisha! Mume Aliyemchinja Mkewe Mbele ya Watoto – Video

MAPENZI Yameendelea kuwa chanzo kikubwa cha mauaji kwa siku za hivi karibuni, na hili limejirudia tena jijini Dar es salaam...

READ MORE

AZANIA na NHIF Wazindua Huduma ya Ushirika Afya Kwa Wakulima Kupitia Mikopo

Mkurugenzi Mkuu wa Bendi ya Azania, Charles Itembe akizungumza kwenye mkutano huo.     Dar es Salaam: 3 Agosti, 2021:...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias...

READ MORE

Bendera: Watumishi Wanaopinga Chanjo Mtuache, Kama Huogopi Corona Katusaidie Muhimbili

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa, Mchungaji Paul Bendera amewashukia baadhi ya viongozi wa dini wanaowashawishi waumini...

READ MORE

Majenerali Waliopanga Kumuua Rais wa Madagascar Wakamatwa

MAOFISA wa kijeshi wa ngazi ya juu na polisi wamekamatwa nchini Madagascar kuhusiana na jaribio la kumuua rais lililotibuka. Waliokamatwa...

READ MORE