×

Habari

Simba:Yanga Wanakufa Nne

RAHA ya mchezo wa Simba na Yanga hupatikana nje na ndani ya uwanja, huku nje ni tambo za mashabiki na...

READ MORE

Lambalamba Watikisa Sumbawanga

Wananchi wa Kijiji cha Mawenzusi, Sumbawanga mkoni Rukwa, wamelalamikia utapeli unaofanywa na waganga wanaojiita lambalamba wanaopita majumbani na kuwaaminisha kuwa...

READ MORE

Mambosasa: Polisi Tumejiandaa Mechi ya Simba na Yanga

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limejipanga kuimarisha usalama katika mechi ya Watani wa Jadi Simba dhidi...

READ MORE

Forbes Wamtangaza Melinda Gates Kuwa Bilionea Mpya

NI stori iliyowagusa wengi huku wengine wakijiuliza maswali bila kuwa na majibu baada ya ndoa ya tajiri wa Dunia Bill...

READ MORE

Mugalu, Bocco Wakabidhiwa Yanga

UNAAMBIWA Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, hataki kuvurugiwa rekodi na Yanga ambapo tayari ameikabidhi mechi hiyo kwa...

READ MORE

NMB Yaboresha Bima ya Faraja, Yatambulisha Bima ya Vikundi

  KWA mara nyingine Benki ya NMB imedhihirisha kauli mbiu yake kuwa ipo karibu na wateja, imekuja na maboresho ya...

READ MORE

Rais Ramaphosa ‘Asimamishwa’ Kazi

Ace Magashule, katibu mkuu wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini, ameJIBU hatua ya kutimuliwa kwake chamani kwa kumsimamisha...

READ MORE

Akanusha Mashitaka ya Mauaji ya Kimbari ‘Nilikuwa Mjamzito’

Mwanamke aliyefukuzwa Marekani na kurejeshwa nchini mwao Rwanda, amekanusha mashitaka ya makosa ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 akisema...

READ MORE

Rais Samia Kuzungumza na Wazee wa Dar

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Ummy: Serikali Kuwapata Wenye Ulemavu Mafunzo Ya Ujasiriamali

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea...

READ MORE

Kesi ya Seth na Rugemalira! Majadiliano na DPP Yamefutwa

Aliyekuwa mwanasheria wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Joseph Makandege ameondoa rasmi maombi ya kufanya majadiliano ya kuimaliza kesi...

READ MORE

Afisa TRA Temeke Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa

Humphrey Mhagama amekamatwa kwa tuhuma kuomba Tsh. 500,000 ambapo alipokea Tsh. 250,000. TAKUKURU imesema Mtuhumiwa atafunguliwa Mashtaka kwa kosa la...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,...

READ MORE

Kesi ya Akina Seth, Rugemalira na Makandege Waondoa Maombi Ya Pre-Bargain Kwa DPP

UPANDE wa utetezi kupitia  Mshtakiwa aliyekuwa Mwanasheria wa kampuni ya  kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege,...

READ MORE

Polisi Dar Yanasa Vinara wa Wizi wa Magari, Pikipiki – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 161 wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa magari, pikipiki na...

READ MORE

Rais Samia Kukutana na Wazee wa DSM Kesho

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa ya Mei 07, anatarajiwa kufanya mkutano na zaidi...

READ MORE

Gwajima: Nchi ni Lazima Iwe na Maono ya Miaka Mingi – Video

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya...

READ MORE

Wanufaika wa kilimo viwanda watembea kiwanda cha SBL Mwanza

  Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imejidhatiti kuwapa wanafunzi nyenzo na mafunzo zaidi ya kivitendo kama njia...

READ MORE

Makadirio ya Bajeti Wizara ya Maji ni Bil. 680

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha...

READ MORE

Prof. Janabi: Ulaji Futari Nyingi Unachochea Mshtuko wa Moyo

Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii...

READ MORE

Mjadala wa Wasanii na BASATA Kuamuliwa Jumamosi

BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) Mei 1, 2021 wameanza kutumia sheria ya kuzikagua nyimbo zote mpya za wasanii kabla ya...

READ MORE

Shigongo Atembelea Wagonjwa Nyehunge, Awapa Neno Wahudumu wa Afya

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda wametembelea wakina mama ambao...

READ MORE

Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi

Mbunge wa Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Mjumbe Maalum Wa UN Jijini Nairobi

  Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika...

READ MORE

Vijana Wavamia Msiba, Wamwaga Chakula na Pombe

WAENDESHA bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel...

READ MORE

Halima Mdee Na Wenzake Wafutiwa Mashtaka Kisutu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 5, 2021 imefuta kesi ya kufanya mkusanyiko na kutotii amri halali katika...

READ MORE

Watakaoingia Nchini Kuwekwa Karantini Siku 14

SERIKALI imetoa mwongozo namba sita kwa wasafi ri unaotaka abiria wageni au wakazi wanaoingia nchini kutoka nchi zenye aina mpya...

READ MORE

Rostam Alipua Bomu: Nimewekewa Vikwazo Kenya Tangu 2017

Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema uwekezaji nchini Tanzania na Kenya haufanani akibainisha kuwa ni rahisi kuwekeza katika nchi moja na ngumu...

READ MORE

Kenyatta: Ushirikiano wa Kenya na TZ Sasa Utakuwa wa Kiwango Kingine

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya utayafanya mataifa hayo kupiga hatua katika maendeleo.  ...

READ MORE

Samia: Bunge la Kenya Linasimisimua, Mna Demokrasia – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Kenya lililo na mjumuiko wa wabunge wa...

READ MORE

Samia: Huku Mna Kenyatta, Kule Kuna Suluhu, Kazi Kwenu! -Video

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya kushirikiana na si kushindana ili kuhakikisha uchumi wa...

READ MORE

Rais Kenyatta Atoa Wiki Mbili Tatizo la Mahindi Mpakani Litatuliwe – Video

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ametoa wiki mbili kwa watendaji serikalini kuhakikisha sakata la mahindi ya Tanzania yaliyozuiwa kuingia Kenya...

READ MORE

Aliyetelekeza Makontena 500 ya Shisha Bandarini Asakwa

Takribani makontena 500 yenye urefu wa futi 40 yametelekezwa katika bandari ya Dar es Salaam yakidaiwa kuwa na shehena ya...

READ MORE

ATCL Yasitisha Safari Zake Kwenda India

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari zake za ndege kati ya Dar as Salaam na Mumbai (India ) kuanzia...

READ MORE

Mjomba Aliyetuhumiwa Kubaka Mtoto wa Miaka 3 Ashinda Kesi

WANANCHI wa mtaa wa Mpeto kata ya Ramadhani mjini Njombe,wameiomba Serikali kuingilia kati kesi ya mtoto wa mtaa huo aliyebakwa...

READ MORE

Mjamzito Ajifungua Watoto Tisa

MAAJABU ya Mungu hayana kipimo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali...

READ MORE

Ninja Atamba Nileteeni Huyo Morrison

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema amekuwa akizisikia kelele za mashabiki wa Simba wakitamba kwamba hatoweza kumdhibiti...

READ MORE

Mexico: 23 Wafariki Baada ya Fly-over Kuporomoka

Takriban watu 24 wamefariki dunia na wengine 79 kujeruhiwa baada ya sehemu ya barabara ya juu (flyover) kuporomoka na kusababisha...

READ MORE

Video: Rais Samia na Kenyatta Wafungua Kongamano la Wafanyabiashara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...

READ MORE

Simbachawene: Kitambulisho cha Nida Hakihalalishi Kuwa Raia wa Tanzania

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA) hakuhalalishi Mtu kuwa Raia wa #Tanzania....

READ MORE