×

Habari

Binadamu wa Kwanza Kutua Mwezini Afariki

Mwanaanga za juu wa Marekani, Michael Collins, ambaye aliongoza Apollo 11 wakati wanaanga wenzake wawili walipokuwa binadamu wa kwanza kutembea...

READ MORE

Musukuma Adai RC Gabriel na Wenzake Wametafuna Mil 600 – Video

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemlipua mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel na timu akidai wamepata zaidi...

READ MORE

Muuguzi Ajinyonga Hadi Kufa Kisa Madeni

MUUGUZI wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni...

READ MORE

Pole Pole Afunguka Maandalizi Ya Mkutano Mkuu wa CCM Kesho -Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole leo Aprili 29, 2021 amezungumza na waandishi wa...

READ MORE

Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Yaketi Dodoma Leo

  Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM leo Aprili 29, 2021 wamefanya Kikao cha Halmashauri Kuu ya...

READ MORE

Tuhuma za Rushwa! Askari Polisi 4 Wafukuzwa Kazi

ASKARI wanne wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha wamefukuzwa kazi na maofisa wawili wa Jeshi hilo wamesimamishwa kazi kwa tuhuma...

READ MORE

Binti Miaka 17 Akamatwa kwa Kuiba Kichanga

  BINTI mmoja mkazi wa mkoa wa Geita, Anjelina Masumbuko mwenye umri wa miaka 17 anashikiliwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Mtandao wa Twitter ‘Wafunguliwa’ Tanzania

WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hii leo wanaweza kuingia katika mtandao wa Twitter bila kutumia mfumo wa usalama...

READ MORE

Wasauzi Wampigia Simu Mo Kumuuliza Manula

TAARIFA kutoka ndani ya Simba zinasema kwamba, timu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini, imelazimika kumpigia simu Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

Serikali Ipo Tayari Kufanya Mabadiliko Sherika ya Vyombo vya Habari

SERIKALI imesema ipo tayari kupokea mapendekezo ya mabadiliko ya sheria na sera ya vyombo vya habari na kuzifanyia marekebisho kwa...

READ MORE

Biden: Marekani Haitavumilia Chokochoko za China

RAIS wa Marekani Joe Biden, amelihutubia bunge la nchi hiyo kwa mara ya kwanza akiwa rais na kutumia sehemu ya...

READ MORE

Hawa Ndo Watakaomchagua Mwenyekiti Mpya CCM – Video

WAJUMBE 1876 wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wanatarajiwa kupiga kura jina moja litakalowasilishwa katika mkutano huo kumchagua mwenyekiti mpya...

READ MORE

Tanzania, Marekani Mambo Safi

SERIKALI ya Tanzania imewahakikishia Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani mazingira mazuri na kuwasihi kuendelea kuwekeza hapa nchini.   Ahadi hiyo...

READ MORE

Daktari Feki Anaswa Akitoa Huduma za Kibingwa

MKAZI wa Kijiji cha Mudio, Kata ya Romu wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, Othuman Kimaro, amekamatwa na vyombo vya dola akituhumiwa...

READ MORE

Waajiri Wanaodaiwa NSSF, PSSF Kimeumana

  NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi, amewaagiza Mameneja wa Mikoa NSSF, PSSF na...

READ MORE

RC Chalamila Aagiza Wanafunzi Waliochoma Bweni Kucharazwa Bakora

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ameamuru wanafunzi saba kati ya 20 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya...

READ MORE

Wabunge Wataka Wazee wa Mabaraza Kuongezewa Posho

WABUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameishauri Serikali kurejea upya viwango vya posho za wazee wa mabaraza ya Sh5,000...

READ MORE

Kampuni ya NTS Tanzania, Bosch ya Ujerumani Kutoa Ajira, Kuinua Uchumi Wa Nchi

KAMPUNI ya magari ya Tanzania NasTyre Services Limited (NTS) kwa kushirikiana na kampuni ya Kijerumani ya Bosch zinatarajia kukuza wigo...

READ MORE

Chagizo la Ujenzi wa Kituo cha Mvuto Mzizima

Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mzizima limeamua kuanzisha kituo cha Mvuto (Mzizima Center of Influence) katikati ya Jiji la Dar...

READ MORE

Mawaziri Wakutana Kujadili Changamoto za Uchafuzi wa Mazingira-Picha

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo amekutana na mawaziri wanne  kujadili changamoto za...

READ MORE

NMB Yaendelea Kukua Ikipata Matokeo Mazuri Katika Robo ya kwanza mwaka 2021

Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika robo ya kwanza ya mwaka 2021. Faida ya benki kabla...

READ MORE

Mama Ala Michango ya Harusi Kujilipa Mahari

Mama anayefahamika kwa jina la Noelia mkazi wa Nsemulwa shuleni, wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amekula pesa za michango ya...

READ MORE

Kenya Yasitisha Safari za Ndege India

SERIKALI ya Kenya imesitisha kwa muda safari za ndege za abiria wanaotoka India. Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema hatua...

READ MORE

Washtakiwa 243 Wakiri Makosa, Walipa Fidia, Faini Bil 35.07

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kiasi cha shilingi bilioni 35.07 kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri...

READ MORE

Wahuni Waiba Kengele ya Kanisa Yenye Kilo 500

WATU wasiojulikana wameripotiwa kuiba kengele ya kanisa la Virgin Mary Orthodox lililoko eneo la Limuru kaunti ya Kiambu nchini Kenya...

READ MORE

Mbunge Amtaka Prof. Kabudi Akalale Magereza

Mbunge wa Mlimba kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Godwin Kunambi, amemuomba Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, endapo...

READ MORE

Aweso: Hatutaki Bili Kichefuchefu Kuumiza Wananchi

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezitaka Mamlaka za Maji kote nchini kuacha mara moja kuwapa malengo ya makusanyo yasiyo na...

READ MORE

Bocco Amwaga Wino Msimbazi

NAHODHA wa Simba John Raphael Bocco ‘Papaa’ naye amemwaga wino kuendelea kutumikia mabingwa hao watetezi wa ligi kuu Tanzania bara,...

READ MORE

Mbunge Akamatwa na Polisi, Wabunge Wacharuka, Spika Aahirisha Kikao

SPIKA wa Bunge la Kenya (Senate), Ken Lusaka amelazimika kuahirisha kikao vya bunge kwa muda, kufuatia kukamatwa kwa Mbunge wa...

READ MORE

Escobar, El Chapo, Madoff Walivyotengeza Mabilioni kwa Uhalifu

Pesa walizotengeza kupitia uhalifu ni nyingi sana na hata wakati mmoja zilizidi kiasi cha fedha katika bajeti ya baadhi ya...

READ MORE

Nabi aanza na ukuta wa chuma

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, raia wa Tunisia, Mohammed Nabi, juzi jioni alianza kibarua cha kukinoa kikosi hicho akitumia saa...

READ MORE

Ummy Amtaja Shigella Kuwa RC Bora, Awataka Wengine Wajitafakari

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amemtaja Martine Shigella, Mkuu...

READ MORE

Jamaa Akubali Kumuoa Aliyekuwa Kahaba na Kuzaa Watoto 10 Baba Tofauti

JARIBU kuweka taswira ya picha ya siku ya harusi yako kila kitu kimeandaliwa lakini una wasiwasi kwa sababu haujawahi kukutana...

READ MORE

Rais Samia na Viongozi CCM Wakutana Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,...

READ MORE

Makocha wa Mataifa Manne Wampitisha Yacouba

LICHA ya kuwa na mwendo wa kobe kwenye kucheka na nyavu, mshambuliaji namba moja wa Yanga, Yacouba Songne mwenye mabao...

READ MORE

Wachoma Mishkaki ya Mbwa Wanaswa Msamvu

Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani....

READ MORE

Martha Koome Jaji Mkuu Mpya wa Kenya

Jopo la Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) imempitisha Jaji Martha Koome kuwa Jaji Mkuu mpya wa Kenya na kuweka...

READ MORE

Naibu Waziri Gekul Atoa Maagizo BAKITA

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa kuongeza kasi ya...

READ MORE

Serikali Yasitisha Matumizi ya Vitamin C Kutibu COVID-19

WIZARA ya afya nchini Uganda imesitisha matumizi ya vitamin C katika kutibu virusi vya Covid-19 kutokana na matumizi mabaya ya...

READ MORE

Mawaziri Wakutana Kujadili Michezo ya Kubahatisha

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas wamefanya mazungumzo...

READ MORE