×

Habari

Virafanga 185 vya Kobe Vayakamatwa Vikisafirishwa

Maafisa wa forodha nchini Ecuador wamepeta watoto 185 wa kobe waliokuwa wamefichwa ndani ya begi lililokuwa likisafirishwa kutola visiwa vya...

READ MORE

Mchungaji Amlaumu Rais Kenyatta kwa Kusambaa kwa Corona

Siku kadhaa baada ya serikali ya Kenya kuweka vikwazo vikali dhidi ya biashara na usafiri katika majimbo matano ili kuzua...

READ MORE

Breaking: Mkurugenzi TPA Akamtwa na TAKUKURU

TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Samia...

READ MORE

Tanzia: Nabii Bushiri Ailaumu Serikali Kifo cha Mwanaye

MHUBIRI maarufu wa Afrika wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG) la kutoka Malawi, Shepherd Bushiri, ametangaza kifo cha binti...

READ MORE

🔴#Live Bunge la Bajeti Laanza Dodoma kwa Kumuenzi Magufuli

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza mkutano wa Bajeti kuanzia leo Jumanne, Machi 30 hadi Juni 30 ambapo...

READ MORE

Obama Aomboleza Kifo cha Bibi Yake

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema yeye binafsi na familia yake wanaomboleza kifo cha bibi (nyanya) yao, Sarah...

READ MORE

Mkulima na Dereva Kortini Meno ya Tembo ya Mil 173

WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na kujihusisha na...

READ MORE

Bunge la Bajeti Kuanza Leo Dodoma

Mkutano wa Tatu wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaanza leo jijini Dodoma. Pamoja na mambo.mengine,...

READ MORE

Wataalamu wa Mazingira Wasio Waaminifu Kudhibitiwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali imepitisha kanuni itakayowadhibiti washauri...

READ MORE

Serikali Yatangaza ‘Combinations’ Mpya Kwa Kidato Cha 5

SERIKALI imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa...

READ MORE

TANZIA: Rais wa Zamani wa Madagascar Didier Ratsiraka Afariki

RAIS wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84, rais wa nchi hiyo...

READ MORE

Mugalu Akomaa Asitoke First Eleven Simba

MSHAMBULIAJI tegemeo hivi sasa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, amesema kuwa nafasi anayoendelea kupewa ya kuanza katika kikosi cha kwanza, imempa...

READ MORE

TANZIA: Bibi Yake Obama Afariki Nchini Kenya

Bibi wa Kambo wa Rais wa zamani wa Merekani Barack Obama, Sarah Obama amefariki leo Machi 29, 2021 katika Hospitali...

READ MORE

ATCL Yapata Hasara ya Bilioni 60 – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serikali, Charles Kichere amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetengeneza hasara ya Shilingi...

READ MORE

Takukuru Yapunguza Matukio ya Rushwa Kwa 89.8%

Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Brigedia Generali John Mbungo amesema wamefanikiwa kutekeleza mapambano dhidi ya...

READ MORE

Video: Mtangazaji Wa ITV Akutwa Amekufa, Polisi Wafichua Mazito

 KAMANDA wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, ametoa taarifa ya tukio la Mtangazaji wa kituo cha ITV na Redio 1...

READ MORE

Ufugaji Sungura Fedha Njenje

NI jasiri pekee ndiye anayeweza kushinda changamoto za maisha magumu.Kadiri siku zinavyokwenda baadhi ya watu wameanza kupoteza ujasiri na kuanza...

READ MORE

Rais Samia Amuagiza Jafo Kwa Mara ya Mwisho TAMISEMI – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Machi 28, 2021 amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yabaini Dosari Matumizi za Fedha – Video

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha...

READ MORE

Rais Samia Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu TPA – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumapili, Machi 28, 2021 amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa...

READ MORE

Yanga Yapiga Hesabu Kali Kombe la FA

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa kama siyo mchezo wao wa Kombe la FA kusogezwa mbele basi wangekuwa mkoani Katavi kwa...

READ MORE

Uteuzi Wa Makamu Wa Rais Gumzo

ZIKIWA zimesalia siku saba kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpata makamu wa rais mpya, gumzo limeibuka kuhusu jina la...

READ MORE

TEC: Tutashirikiana na Rais Samia Afikie Malengo Yake

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemuahidi ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza majukumu ya kuliongoza Taifa.   Hayo...

READ MORE

Rais Museveni na Mkewe Wadungwa Chanjo ya Corona

Hatimaye Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mkewe mama Janet Museveni wamepata chanjo yao ya Covid-19. Mwanahabari wa Rais Yoweri...

READ MORE

Wabishi Hawa Sasa ‘Uso kwa Uso’

  Rais wa Marekani, Joe Biden na wapinzani wake Rais Vladimir Putin wa Urusi na Xi Jinping wa China watakutana...

READ MORE

Tumuombee Mama Magufuli, Bado Anaumwa

TUMUOMBEE!Ndivyo walivyosikika baadhi ya waombolezaji waliokuwa kwenye ibada ya mazishi ya Hayati Dk John Pombe Magufuli kwenye Uwanja wa Magufuli,...

READ MORE

NEC Yatangaza Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Nditiye

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma baada ya...

READ MORE

Mkataba wa Metacha Wawekwa Kiporo Yanga SC

VINARA wa Ligi Kuu Bara Klabu ya Yanga, wanajiandaa kuanza mazungumzo ya kumpa mkataba mpya mlinda mlango wao, Metacha Mnata...

READ MORE

Magufuli Alimuaga Mama Yake Kabla ya Kifo – Video

IMEELEZWA kuwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimuaga mama yake mzazi, Bi Suzana...

READ MORE

Maombi Matatu Aliyofanya Magufuli Kabla ya Kukata Roho – Video

Dakika chache kabla ya umauti kumkuta Hayati John Magufuli, aliomba maombi matatu. Msikilize msemaji wa familia Ngusa Samike.

READ MORE

Meli ya Evergreen Yakwama na Shehena ya Mizigo

Meli ya ‘Ever Green’ inayomilikiwa na Kampuni ya ‘Evergreen Marine Corporation’ kutoka nchini Taiwan imekwama katika mfereji wa ‘Suez’ uliopo...

READ MORE

Mangula: Tusikate Tamaa, Mambo Yatakuwa Kama Ilivyopangwa – Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula ameeleza mafanikio wakati wa utawala wa Dk John Magufuli...

READ MORE

Mzee Mwinyi: Kijana Wetu Magufuli Ametutendea Makubwa

RAIS Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kumuenzi Dk John Magufuli kwa vitendo katika mambo aliyokuwa akisisitiza kuondoa umasikini na...

READ MORE

Mzee Mwinyi: Magufuli Amefanya Yaliyoshindikana – Video

Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ally Hassan Mwinyi amesema katika kipindi cha uongozi wa aliyekuwa Rais wa Tanzania...

READ MORE

TID Amuomba Msamaha Magufuli – Video

WASANII mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya wameandika ujumbe mzito kumuaga Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli aliyemaliza...

READ MORE

Mzee Mwinyi Awavunja Watu Mbavu – Video

Ni zaidi ya wiki moja sasa tangu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipotangaza kuwa Hayati Rais John Pombe Magufuli...

READ MORE

Gomes Aitaka Rekodi ya Kibabe Caf

KOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa, Didier Gomes amesema kuwa amepanga kumaliza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika bila ya...

READ MORE

Rais Samia Suluhu: Historia Yake, Kuzaliwa, Elimu, Kasoma Nchi Zaidi Ya 5 -Video

 HII ni Makala fupi inayomuelezea Rais Mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hssan, ambaye ameapishwa siku chache zilizopita kuchukua nafasi...

READ MORE

Mzee Aliyempa Kuku Magufuli Atua Chato Kumzika – Video

HATIMAYE Mwili wa Hayati Magufuli, umezikwa jana Ijumaa, Machi 26, 2021, katika makaburi ya familia yake yaliyopo wilayani Chato mkoani...

READ MORE

Kikwete: Magufuli Alichapa Kazi… Wizara ya Ardhi Wagumu Mno – Video

Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema alimuamini zaidi rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Magufuli na ndio maana...

READ MORE