×

Habari

Wivu wa Mapenzi Wadaiwa Kuchochea Mauaji Same, Polisi Yafunguka

KILIMANJARO — Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka Peter Kiariro, mkazi wa Maore wilayani Same, kwa tuhuma za kuhusika...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 17, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Makamu Wa Rais Ahoji Bilioni 40 Za Barabara Mbeya, Aagiza Njia Zilizofungwa Zifunguliwe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Deogratius John Ndejembi, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Wananchi wa Miji Midogo Kuunganishiwa Umeme kwa Shilingi 27,000

BAGAMOYO, PWANI — Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)...

READ MORE

Polisi Yamsaka Mtuhumiwa wa Mauaji Same, Kilimanjaro

KILIMANJARO: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka Athumani Mbuti, mkazi wa Kijiji cha Mvule, Wilaya ya Same, kwa tuhuma...

READ MORE

Watatu Wafariki Baada ya Pikipiki Kugongana na Lori Korogwe

TANGA: Watu watatu wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyohusisha gari la mizigo aina ya HOWO na pikipiki aina ya...

READ MORE

Serikali Yawekeza Shilingi Trilioni 2 Kwenye Miundombinu ya Umeme Mbeya – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aagiza Saccos Kuimarisha Usimamizi, Kulinda Fedha Za Wanachama

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya udhibiti na usimamizi wa Vyama vya Akiba na Mikopo...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaagiza Gereza la Ukonga Kulinda Usiri wa Mawakili na Tundu Lissu

Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi wa Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kuhakikisha unazingatia kanuni za uendeshaji wa...

READ MORE

Stanbic, Majaliwa Wajadili Mikakati ya Kuvutia Mitaji ya Kimataifa Kukuza Uchumi

 Azma ya Tanzania ya kufikia uchumi wenye thamani ya Dola za Marekani trilioni 1 ifikapo mwaka 2050 inahitaji ushirikiano wa...

READ MORE

Mbeya Yalipuka Kwa Shangwe, Wananchi Wampokea Kwa Wingi Makamu Wa Rais

Jiji la Mbeya limejawa na shangwe, tabasamu na salamu za furaha baada ya wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Makamu wa...

READ MORE

Meridianbet Yalejesha Tabasamu Kwa Familia Za Wana Buza

Furaha na shukrani zilitawala katika kata ya Buza baada ya Meridianbet kuendesha kampeni maalum ya kusaidia familia zenye uhitaji. Katika...

READ MORE

Madalali Washauriwa Kujitambua Kuepuka Kuwa ‘Vishoka’

DAR ES SALAAM: Kampuni ya Mkuyu Africa imewataka madalali wa nyumba na ardhi nchini kuzingatia maadili ya kazi, kujiendeleza kitaaluma...

READ MORE

Jihan Amwaga Sifa Kwa Niffer, Asema Upendo Wake Umezidi Maneno

Miss Grand International 2026, Jihan Dimack, amemshukuru Mfanyabiashara Jennifer Jovin ‘Niffer’ kwa upendo na sapoti kubwa aliyompa wakati wa mashindano...

READ MORE

Trump Afuta Mpango wa Kurusha Mubashara Utekelezaji wa Hukumu ya Kifo

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya Nidal Malik Hasan, aliyepatikana na hatia ya...

READ MORE

Mume Adaiwa Kumuua Mkewe kwa Shoka, Kisha Kujisalimisha Polisi Wilaya ya Bahi, Dodoma – Video

 Tukio la mauaji linalodaiwa kuhusishwa na wivu wa kimapenzi limeutikisa Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Kigwe, Wilaya ya Bahi...

READ MORE

Watoto Watatu na Mwalimu Wauawa Katika Shambulizi la Risasi Shule ya Msingi Marekani

BEND, OREGON, MAREKANI: Watu wasiopungua wanne, wakiwemo watoto watatu, wanaripotiwa kufariki dunia kufuatia shambulizi la risasi lililotokea katika Shule ya...

READ MORE

Meli Kubwa Yenye Makontena 2,500 Yazama, iPhone Zaonekana Zikielea Baharini -Video

Bidhaa mbalimbali, zikiwemo simu za iPhone na mizigo mingine, zimeripotiwa kuonekana zikielea juu ya maji ya bahari kufuatia taarifa za...

READ MORE

Video: Binti wa Miaka 15 Achomwa Kisu Tumboni, Afariki Dunia Babati

MANYARA: Binti mwenye umri wa miaka 15, Eli Sifa Santueli Petro, aliyemaliza darasa la saba siku chache zilizopita, amefariki dunia...

READ MORE

Wizara Ya Viwanda Na Biashara Yawasilisha Taarifa ya Utendaji wa Taasisi Zake kwa Kamati ya Bunge

Wizara ya Viwanda na Biashara imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za taasisi zake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 16, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Fahamu Mambo 6 Yanayoweza Kutokea Mwilini Unapokunywa Maji Kidogo

Kunywa maji ya kutosha ni muhimu kwa afya ya mwili, ikiwemo kusaidia figo kufanya kazi zake za kuchuja taka kwenye...

READ MORE

Ulaya Yaweka Mikakati Mipya Kukabili Makundi ya Kigaidi Kujipenyeza kwa Kificho

Bunge la Ulaya limejadili na kupitisha hatua mpya zinazolenga kukabiliana na kile linachokieleza kuwa ni juhudi za kupenya kwa mitandao...

READ MORE

Mfanyabiashara Bunju Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kumuua Mkewe kwa Kumpiga Risasi

DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara Laurence Kweka, mwenye umri wa miaka 48 na mkazi wa Bunju A, jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wapya wa Nchi Tano Ikulu jijini Dar

DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea hati za utambulisho kutoka kwa...

READ MORE

Makonda Azindua Shule Ya Shilingi Milioni 330 Ukerewe, Mwanza

UKEREWE, MWANZA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amezindua Shule ya Msingi Butiriti iliyopo wilayani Ukerewe, mkoani...

READ MORE

YAS Yashiriki Tanzania-China Nyerere Run Kumuenzi Baba Wa Taifa

Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeungana na washiriki wengine kushiriki katika mbio za kwanza za Tanzania-China Nyerere Run 2026, zilizofanyika...

READ MORE

Watoto 34 na Mwalimu Wafariki Baada ya Paa la Shule Kuporomoka Pakistan

PESHAWAR, PAKISTAN: Watoto 34, wengi wao wakiwa na umri wa chini ya miaka 13, pamoja na mwalimu mmoja wa kike,...

READ MORE

Afisa wa Jeshi Ashitakiwa Kwa Uharibifu Wa Miundombinu Ya Gesi

Kesi inayohusu milipuko iliyoharibu mabomba ya gesi ya Nord Stream mwaka 2022 imeanza kusikilizwa katika mahakama ya Hamburg, nchini Ujerumani,...

READ MORE

Hukumu ya Kesi ya Mawakili wa Lissu na Jeshi la Magereza Kutolewa Kesho

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, inatarajiwa kutoa hukumu kesho,...

READ MORE

Papa Leo XIV Atoa Ujumbe wa Kwanza Baada ya Upasuaji, Aomba Maombi Yaendelee

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, amewashukuru waumini kwa maombi yao ya kumtakia afya njema, ikiwa ni ujumbe...

READ MORE

Meridianbet Yatangaza Mshindi Wa Kwanza Wa Jackpot Ya Kitochi

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye ile Jackpot ya Meridianbet ya Milioni 200 imeweza kupata mshindi wa kwanza kutoka...

READ MORE

Sudan Yalaani Vikali Mashambulizi Ya Houthi Saudi Arabia

RIYADH: Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Jenerali Hassan Kabroun, amelaani vikali mashambulizi yanayohusishwa na waasi wa Houthi dhidi ya Saudi...

READ MORE

Kijana Afariki Akidaiwa Kushiriki Mashindano ya Kunywa Gongo -Video

ARUSHA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Edward Gabriel, maarufu kwa jina la utani la Champion, anadaiwa kufariki dunia katika eneo...

READ MORE

Mtoto Malaika Ahitaji Milioni 70 Kwa Matibabu ya Moyo Nje Ya Nchi

Mtangazaji wa Global TV Online, Imelda Mtema, ametoa wito kwa Watanzania na watu wenye moyo wa kujitolea kumsaidia mtoto Malaika...

READ MORE

Mwabukusi Kutinga Ofisi za ZCO na Jopo la Mawakii leo, Afunguka Mapya

DODOMA/DAR ES SALAAM: Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema jopo la mawakili wanaojitolea kumwakilisha...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa CMSA Aeleza Hatifungani ya I&M Bank Kuzidi Lengo kwa Asilimia 806.92

Hatifungani ya Hatua Bond iliyotolewa na I&M Bank Limited imeweka rekodi mpya katika soko la mitaji nchini baada ya kukusanya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 15, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Kupunguza Hatari za Maafa ni Wajibu wa Kila Mmoja

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kujenga ustahimilivu dhidi ya maafa ni wajibu wa pamoja unaohitaji ushiriki wa serikali, sekta...

READ MORE

Uwanja wa Gofu Wakamilika Serengeti, Kuzinduliwa Oktoba 18

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekamilisha kwa asilimia 100 ujenzi wa Uwanja wa Gofu wa Fort Ikoma, uliopo...

READ MORE