×

Habari

Kocha Athibitisha Niyonzima Kuikosa Simba FA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, leo Jumatatu, Julai 6, 2020, amethibitisha kuwa  kiungo wake Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda,...

READ MORE

JPM Atumbua, Amteua na Kumwapisha Aliyekamata Bangi – Video

RAIS  John Magufuli amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kuwaondoa kazini mara moja Mkuu wa Polisi...

READ MORE

M/Kiti wa Wakuu wa Mikoa Atoa Wito Mbele ya JPM – Video

RAIS John Magufuli leo Julai 6, 2020, amewaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dodoma.   Katika uapisho huo Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

NBC Yadhamini Maonesho Ya Sabasaba Kwa Mwaka wa Tatu Mfululizo

Benki ya Taifa ya Bishara kwa mara nyingine tena imekuwa mdhamini wa maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa na Ma-DC IIkulu – Video

Leo Julai 6, 2020, Rais Dkt. John Magufuli atawaapisha viongozi wateule wafuatao:- 1. CP. Thobias Andengenye Kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Wamarekani Wazidi Kuchukizwa, Waliangusha Sanamu la Columbus

KUNDI la waandamanaji nchini Marekani limeangusha sanamu la Christopher Columbus na kulitupa majini kwenye bandari ya mjini Baltimore jana usiku,...

READ MORE

Zitto Aitikisa Ngome ya Prof. Lipumba Kusini

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. ...

READ MORE

CHADEMA Yakaribisha Kugombea Ambao Hawakutia Nia

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ametoa rai kwa wanachama wote wa chama hicho, hata...

READ MORE

Mwanza: Polisi Yazima Tukio la Ujambazi Benki ya CRDB

TUKIO hili limetokea usiku wa Julai 07, 2020, majira ya saa 8.00 za usiku katika Benki ya CRDB, Tawi la...

READ MORE

JPM Ateua DC Wa Mvomero Na Mkurugenzi Wa Biharamulo

Rais Magufuli amemtea aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi mkoani Rukwa, Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya...

READ MORE

Watu 40 Wanusurika Kifo Ajali ya Basi Singida

WATUA 40 waliokuwa wakisafiri kwa Basi la Big Nation lenye namba T 721 DEN kutoka Dar es Salam kwenda Kahama...

READ MORE

Maalim Seif Achukua Fomu Tena Kugombea Urais

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalengo, Maalim Seif Sharif Hamad jana Jumapili, Julai 5, 2020, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya...

READ MORE

Rwanda Kufungua Mipaka Agosti 1

Rwanda wamefikia azimio la kufungua viwanja vya ndege mwanzoni mwa Agosti huku wakisistiza upimwaji wa virusi vya Corona kama moja...

READ MORE

Kanye West Atangaza Kugombea Urais Mwaka Huu

Rapa Kanye West ametumia ukurasa wake wa Twitter kutangaza kuwa atagombea Urais mwaka huu nchini Marekani. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika...

READ MORE

Tigo yaongeza tahadhari kwa wateja wanaotembelea Banda lao SabaSaba

,USALAMA KWANZA: Jinsi ambavyo #TigoSabasaba inachukua tahadhari mbalimbali uwapo ndani ya banda Ili kujikinga na maambukizi juu ya Covid-19 Tigo...

READ MORE

Kenya Yaripoti Wagonjwa Wapya 389 wa Corona, Idadi Yafikia 7,577

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya coroa nchini Kenya imeongezeka na kufikia 7,577 baada ya wagonjwa 389 wapya kuthibitishwa. Waziri...

READ MORE

JPM Ateua Wakurugenzi Wapya Same, Arusha na Mbeya

Rais Magufuli  Julai 4, 2020 amemteua Anastazia Tutuba kuwa Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Same akichukua nafasi ya Anna-Claire Shija...

READ MORE

Majina Matano CCM, Zanzibar Yapendekezwa Kuwania Urais

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa Zanzibar jana Julai 4, 2020 imependekeza majina matano ya makada...

READ MORE

David Molinga Aipiga Mkwara Biashara United

DAVID Molinga ambaye ni mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya yanga, amesema kuwa wamekubaliana kwa pamoja kupata pointi tatu...

READ MORE

Rais Shein Aongoza Kikao Cha NEC Zanzibar Leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  leo ameendesha...

READ MORE

Takukuru Yawajibu CHADEMA Ikidaiwa Inatumika Kisiasa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imejibu madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa inatumika kisiasa,...

READ MORE

Wanafunzi 3 Wafariki Bweni Ilala Islamic Lakiungua Moto

WANAFUNZI watatu wamefariki dunia baada ya moto uliozuka usiku wa kuamkia leo kuunguza bweni la Shule ya Sekondari ya Ilala...

READ MORE

Dkt. Tulia Aipongeza Benki ya CRDB Kupunguza Riba Ya Mikopo

Akitoa hotuba yake katika hafla ya uzinduzi wa “CRDB Malkia” iliyokuwa na kauli mbiu ya “Fanikisha Zaidi na CRDB Malkia”,...

READ MORE

JPM Apongeza Mchango Wa Sekta Ya Fedha Kufikia Uchumi Wa Kati

Rais Magufuli ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania, mabenki na sekta ya fedha kwa ujumla kwa mchango wao katika kuiwezesha Tanzania...

READ MORE

Serikali Imefuta Tozo 163 Kwa Wafanyabiashara

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imefuta tozo 163...

READ MORE

Wanachama Wa PSSSF Watakiwa Kufika Ofisi za Mfuko Huo Kuhakiki Taarifa zao

    WANACHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wametakiwa kufika kwenye ofisi za Mfuko...

READ MORE

Jpm Afanya Uteuzi wa RAS Simiyu

Rais Magufuli amemteua Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi huo, Mmbaga alikuwa Mkurugenzi...

READ MORE

Mshindi Wa Baba Lao Kupewa Ndinga Lake Wiki Ijayo

DIDAS Marik, bingwa aliyelala masikini Jumanne na Jumatano akamka tajiri, kufuatia kushinda gari mpya kupitia bahati nasibu ya Baba Lao,...

READ MORE

Mkazi Dar Ashinda Gari la Droo ya Championi, Spoti Xtra -Video

HATIMAYE mkazi wa Dar es Salaam, Didas Marik (42), Julai 1, 2020 amefanikiwa kuibuka mshindi wa zawadi kubwa ya gari...

READ MORE

Nchi 20 Zenye Uchumi Mkubwa Zaidi Duniani

Kwa mujibu wa Pato la Jumla la Kitaifa (GDP) MIONGONI  mwa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi tangu mwaka 1980,...

READ MORE

Breaking: JPM Ateua Wakuu wa Mikoa Miwili

RAIS John Magufuli leo Julai 3, 2020 ameteua wakuu wa mikoa miwili ambapo  Dkt. Philemon Sengati anakuwa mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Poshy Awachukia Kweli Wanawake!

MREMBO ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umbo lake kuonekana kuwavutia watu mbalimbali, Jacqueline Obeid ‘Poshy’ amefunguka kuwa wanaoongoza kwa...

READ MORE

Zuchu Awa Tishio Kwa Mastaa wa Kike Bongo

KAMA ameiona njia usiku, mchana ni ganda la ndizi, full kutereza; ndivyo itakavyokuwa kwa msanii Zuhura Kopa ‘Zuchu’. Uchunguzi unaonesha...

READ MORE

Watano Wafa Ajali ya Lori na Noah Dodoma

WATU watano  wamefariki na wawili  kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na...

READ MORE

Tembelea banda la Tigo msimu huu wa Saba Saba 2020

Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini, Tigo Tanzania inawakaribisha wadau na wateja wake pamoja na wananchi...

READ MORE

Wajue Matajiri Wakubwa Zaidi Duniani

MNAMO mwaka jana, utajiri unaomilikiwa na  mabilionea 10 wakubwa zaidi duniani umepanda na kufikia zaidi ya Dola bilioni 76. Pamoja...

READ MORE

Benki ya NMB Yahamia Saba Saba

  Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB inashiriki maonesho ya Saba Saba ambayo mwaka huu yameanza rasmi tarehe 01/07/2020...

READ MORE

Makamu Wa Rais Samia Aendelea Na Ziara Ya Kichama Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu...

READ MORE