×

Habari

Baba Mbaroni kwa Kutaka Kumuozesha Mwanae wa Miaka 12

JESHI la Polisi mkoani Arusha, limefanikiwa kuzima jaribio la mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 12,aliyetaka kuozeshwa...

READ MORE

Mbunge ‘Bwege’ Atangaza Kuhamia ACT Wazalendo

  Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege ametangaza kukihama Chama Cha Wananchi Cuf...

READ MORE

‘Kiduku’ Atishia Kuibomoa Ofisi ya Korea Kusini

KOREA Kusini imefanya mkutano wa usalama wa dharura na kuihimiza Korea Kaskazini kuzingatia makubaliano ya maridhiano, saa kadhaa baada ya...

READ MORE

TABORA: Mbunge wa CUF Atimkia CCM – Video

Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa wa Tabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani...

READ MORE

Global Habari June 14: Viongozi CCM Watakiwa Kutenda Haki Uchaguzi Mkuu

 Mlezi wa chama cha mapinduzi CCM kanda ya kati na waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda amewata viongozi wa kamati...

READ MORE

Kupanda na Kushuka kwa Rais Nkurunzinza

  DAR: Kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kimeibua mshtuko ndani ya Burundi, Afrika na dunia kwa ujumla...

READ MORE

Ndumbaro Asaini Kitabu Cha Maombolezo Cha Rais Nkurunziza

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika...

READ MORE

Video: LIPUMBA Amvaa LOWASA – “Alirudi CCM, Mbowe Akiwa Gerezani”

Mwenyekiti wa Chama Cha wananchi CUF Prof. Ibrahimu lipumba amesema kuwa chama chake kitashirikiana na vyama vingine katika harakati za...

READ MORE

Kikwete Aomboleza Kifo Cha Rais Wa Burundi Pierre Nkurunzinza

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya  Kikwete leo Juni 14, 2020 ameomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa...

READ MORE

Video: Msigwa Atangaza Nia Ya Kugombea Urais Kupitia Chadema 2020

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa ametangaza rasmi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

VIONGOZI WA DINI WATOKA NA AZIMIO LA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUMTANGULIZA MUNGU KATIKA MAPAMBANO YA CORONA

Viongozi wa Dini kupitia Jumuiya ya Maridhiano Tanzania kwa kauli moja wamempongieza Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kwa namna...

READ MORE

Yanga Yamgeukia Kiungo Simba

WASHINDWEwenyewe tu! Ndivyo unavyoweza kusema kwani tayari Yanga wametajiwa dau la kumnasa kiungo wa klabu ya Simba anayecheza kwa mkopo...

READ MORE

Nafasi Ya Teknolojia Ya Kidijitali Katika Kuendeleza Uchumi Wa Tanzania

Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara...

READ MORE

Katibu Mkuu Aiagiza OSHA Kusimamia Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi

  Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetakiwa kuendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama...

READ MORE

Gambo: Kugombea Urais na JPM ni Wendawazimu – Video

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, amesema kutokana na mambo makubwa aliyoyafanya Rais Dkt. John Magufuli kwa...

READ MORE

JPM Azungumza na Rais Mteule wa Burundi Evariste Ndayishimiye

Rais Magufuli leo Juni 13, 2020 amezungumza kwa simu na Rais Mteule wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa...

READ MORE

Mufti wa Tanzania Atangaza Kufunguliwa kwa Madrasa

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza kufunguliwa rasmi kuanzia jana kwa madrasa zilizofungwa kutokana na mlipuko wa Corona Virus....

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Watoa Ndoo, Sabuni kwa Askari Dar

MAGAZETI ya michezo na burudani ya Championi na Spoti Xtra, yametoa ndoo za kunawia pamoja na sabuni kwa askari wa...

READ MORE

JPM Atangaza Siku 3 za Maombolezo Kifo cha Nkurunziza

Rais Magufuli ametangaza maombolezo ya siku 3 kuanzia kesho tarehe 13 Juni, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Mhe....

READ MORE

Polisi: Mbowe Alilikuwa Amelewa Chakari – Video

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma Juni 12, 2020 limetoa taarifa mpya kuhusiana na shambulio la Mbunge wa Hai, ambaye...

READ MORE

JPM Azungumza na Waziri Mkuu wa India

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi.   Taarifa iliyotolewa na Gerson...

READ MORE

Jumuika Katika Mchezo Huu Ambao Ni Mfano Halisi Wa Upendo Wa Kweli

Kasino ya Meridian inakuletea Sloti halisi ambayo ni bomba kuliko –hii ni Immortal Romance! Muonekano wa kuvutia, hadithi ya kimapenzi,...

READ MORE

TPDC Yazindua Eneo la Mradi wa Maghala Mafuta na Gesi

SIKU chache baada ya TPDC kurejea rasmi katika biashara ya MAFUTA pamoja na kufungua vituo vyake vya mafuta vilivyoko sehemu...

READ MORE

Mr Nice: Muziki Pekee Unaua

MSANII aliyejizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya Bongo miaka ya 2000, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka upyaaa!Safari hii fujo...

READ MORE

Hamisa Mobeto Amkataa Mondi!

  “SITAKI kumzungumzia Diamond Platnumz!” Kauli hii imetolewa na mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto ‘Misa’ juu ya...

READ MORE

Kisa Mtoto… Mke wa Mtu Akiona!

AMA kweli Uswahilini kuna vituko. Amina Said ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Buza Kwarurenge, Temeke, Dar es Salaam,...

READ MORE

Hotuba Ya Waziri Mpango Akiwasilisha Bungeni Bajeti Ya Mwaka 2020/21

Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...

READ MORE

RC MAKONDA AKABIDHI MSAADA WA GARI, VITANDA, MAGODORO NA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 467.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Juni 12 amekabidhi msaada wa Gari moja, Vitanda 600,...

READ MORE

Mkurugenzi Aweka Historia Kinondoni Kwa Kukamilisha Miradi Ya Bil 242.8

  Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka historia katika suala la utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ile ya kimkakati...

READ MORE

Watu 8 Wakumbwa na Gonjwa la Kuimba kwa Sauti Kubwa

WATU 8 wa familia moja wa umri kati miaka 12 hadi 30 katika Jimbo la Kiringanya nchini Kenya wamekumbwa na...

READ MORE

Teknolojia ya Kidijitali Inavyoleta Mapinduzi ya Kiuchumi Tanzania

Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya...

READ MORE

IMF Yaisamehe Tanzania Deni la Dola Mi. 14.3 – Video

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha dola za marekani milioni...

READ MORE

Rais Magufuli Amemsamehe Kigogo Aliyemtimua – Video

Rais wa Tanzania, Dkt Magufuli ametangaza kumsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye baada ya...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kuwaua Baba na Mama Mkwe

KIJANA aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe, anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

Lijualikali: Chadema Mjipange, TAKUKURU Wana Ushahidi Wote

MBUNGE wa Kilombero , Peter Lijualikali,  amefika katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambanana Rushwa (Takukuru) Makao Makuu Dodoma...

READ MORE