×

Habari

PM Majaliwa Apokea Msaada wa Tsh 500M Kukabiliana na Corona

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea hundi ya mfano ya sh. milioni 500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) zikiwa...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu: Sanders Amkabidhi Rungu Biden Kumvaa Trump

Seneta wa jimbo la Vermont la Marekani, Bernie Sanders, Jumatatu alimuidhinisha aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden kuwa mgombea wa...

READ MORE

Polisi Akutwa Kwenye Mtaro Akiwa Amefariki Dunia

POLISI katika kituo kidogo cha KIA Hai, Kilimanjaro, Sajent Juma Ango, anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa...

READ MORE

Marufuku ya Usafiri Kisa Corona, Mgonjwa Akiwahishwa Hospitali

MWANAMME mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda.   Mwanamke huyo mgonjwa...

READ MORE

#Corona: Uturuki Yapitisha Sheria Kuwaachia Wafungwa 100,00

BUNGE la nchi hiyo limepitisha sheria inayotoa kibali cha kuwaachia Wafungwa 100,000 kama mojawapo wa njia za kupambana na maambukizi...

READ MORE

Maelfu Waanza Kurejea Kazini Hispania

MAELFU ya watu nchini Hispania leo hii wameruhusiwa kurejea kazini, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuibuka kwa mlipuko wa...

READ MORE

Wenye Corona Kenya Wafikia 208, Wamefariki 9

WATU wengine 11 wamegundulika kuwa na virusi vya Corona nchini Kenya na kufanya idadi ya maambukizo kufikia watu 208. Mtu...

READ MORE

Maiti 800 za Waliofariki kwa Corona na Kutelekezwa

Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi...

READ MORE

Ndugu wa Luis Aandaliwa Mkataba Yanga!

YANGA imethibitisha kuwepo katika mazungumzo ya mwisho na mshambuliaji wa UD Songo ya nchini Msumbiji, Jimmy Ukonde, atakayetua kuichezea timu...

READ MORE

Trump: Marekani Ichimbe Madini Mwezini, Rasilimali Zimekwisha Duniani

Rais wa Marekani, Donald Trump anataka Marekani kuanza kutafuta raslimali kwenye mwezi. Hivi karibuni rais huyo alisaini amri inayosema Marekani...

READ MORE

Corona: Serikali ya Zanzibar Yasitisha Mikutano na Wanahabari

Katika kujikinga dhidi ya virusi vya corona, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza kusitisha mikutano na waandishi wa habari na...

READ MORE

Matroni Aliyepiga Picha na Waziri Mkuu Afariki kwa Corona

MATRONI wa Hospitali moja nchini Uingereza ambaye ameonekana katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwalimu

POLISI mkoani Dodoma inawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Mwalimu Eradius Lucas Mgaya wa Kijiji cha Chilungulu, Tarafa...

READ MORE

Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa Siku Tano Zijazo

HABARI:- Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) imetoa angalizo la kunyesha kwa mvua kubwa na za wastani kwa mikoa...

READ MORE

Wagonjwa Watatu wa Corona Waongezeka TZ, Wafikia 49

WAZIRI wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid, ametangaza ongezeko la watu watatu wenye maambukizi ya virusi vya corona visiwani humo,...

READ MORE

Wanasayansi: Kinga ya Corona Virus Iko Hatua za Mwisho

  Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, chanjo 70 za coronavirus ziko katika hatua ya utafiti kwenye maabara za...

READ MORE

Kesi ya Pili ya Kifo cha Ebola Yaripotiwa DRC

JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo imeripoti kesi ya pili ya kifo cha Ebola katika kipindi cha siku tatu baada ya...

READ MORE

Wagonjwa 14 wa Corona Waongezeka TZ, Wafikia 46

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema watu wengine 14 wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi...

READ MORE

Corona: Ndege za Abiria za Kimataifa Zazuiwa Kuingia Tanzania

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga (TCAA) imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu juzi Aprili 11, 2020....

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Atoka ICU

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ametoka hospitali baada ya kupona maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, atalazmika kupumzika...

READ MORE

TECNO Yathibitisha kuachia CAMON 15 simu yenye kamera ya karne!

  Baada ya uvumi wa siku kadhaa kuhusu kampuni ya simu itakayoleta teknolojia kali ya kamera ya simu  inayotarajiwa na...

READ MORE

Majogoro: Niyonzima Ametibua Dili Langu Yanga

KIUNGO wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro amesema kuwa kama asingekuwa Haruna Niyonzima kurejeshwa katika kikosi cha Yanga basi yeye angekuwa...

READ MORE

Mwanafunzi UDSM Mbaroni kwa Kusambaza Taarifa na Uongo Covid-19

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo...

READ MORE

Global Kuwatunuku Mawakala, Wauzaji Magazeti na Wasomaji

  TIMU ya masoko wa Global Publishers ikiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo, Antony Adam, leo Jumamosi, Aprili 11, 2020,...

READ MORE

Auawa na Watoto; Kisa Mchepuko wa Baba Yao

POLISI katika Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanawasaka vijana wawili kwa tuhuma za kumuua mpenzi wa baba yao mzazi, Mercy...

READ MORE

Bad News: Ebola Yarejea Tena Congo DR

  Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya...

READ MORE

Waafrika Watimuliwa China Wakituhumiwa Kuingiza Coronavirus – Video

BALAA limewakumba Waafrika walioko nchini China wakidaiwa kuwa wameingiza nchini  humo virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa unaojulikana kama Covid-19 ambao...

READ MORE

Babu Miaka 75 Auawa na Kufungwa Kamba

  MZEE Arusha Nziku (75) mkazi wa wilaya ya Wanging’ombe mkaoni Njombe, amekutwa amefariki nyumbani kwake huku akiwa amefungwa kamba...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mkewe kwa Fumanizi

PASTORY MAJURA (52) mkazi wa kijiji cha Nyamanga, Ukerewe, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe, Anusiata James (52) ...

READ MORE

Tanzia: Wafanyakazi Wawili TBC Wafariki Dunia

IKIWA ni takriban siku kumi tangu kumpoteza nguli na mwandishi fundi wa habari, Marin Hassan Marin, Shirika la Utangazaji la...

READ MORE

JPM: Tanzania Haitafunga Mipaka Kwa Sababu ya Corona

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi...

READ MORE

Hawa Ndo Madaktari Waliotaka Kinga ya Corona Ifanyiwe Majaribio Afrika

MAAMBUKIZI ya Virusi vya Corona duniani yanazidi kushika kasi. Hadi sasa nchi 209 duniani zimeathirika na virusi hivyo ambavyo vimesababisha...

READ MORE

TAZAMA MAAJABU YA SIMU JANJA KUTOKA INFINIX S5pro YENYE SELFIE YA JUU.

Teknolojia inaendelea kukua kwa kasi katika uzalishaji wa simu janja na Infinix Imethibitisha hili kupitia toleo jipya la Infinix S5pro...

READ MORE

Jela Maisha kwa Kumbaka na Kumlawiti Mwanae wa Kumzaa

MAHAKAMA ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imemuhukumu Hezron Ndone (44) mkazi wa Joshoni, Kata ya Mji Mwema mjini Njombe...

READ MORE

Breaking: Wawili Wafariki na Corona Dar, Idadi Maabukizi Yafikia 32 -Video

Wizara ya Afya leo Aprili 10, 2020 imetoa taarifa juu ya uwepo wa wagonjwa wapya wa Corona watano Dar es...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafikia 9

WIZARA ya Afya ya Zanzibar imesema wagonjwa wawili wa corona wameongezeka visiwani humo na kufanya idadi ya wanaougua ugonjwa huo...

READ MORE

Takukuru Siha Kirimanjaro Yaokoa Mamilioni ya Fedha Zilizodhulumiwa 

  Taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kurejesha fedha kiasi cha shilingi milioni saba...

READ MORE

Corona: Museveni Ataka Wenye Nyumba Wasiwafukuze Wapangaji

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ametoa onyo kwa wapangaji nchini humo na kuwataka wasiwafukuze wapangaji wanaoshindwa kulipa kodi katika wakati...

READ MORE

Kambi ya Marekani Yapigwa Makombora

MAKOMBORA matano yameipiga kambi ya jeshi la angani la Marekani ya Bagram nchini Afghanistan leo, lakini hakujawa na ripoti za...

READ MORE

Mwanamke Kinara wa Wizi wa Mtandaoni Anaswa

JESHI  la polisi mkoani Dodoma limemkamata mwanamke mmoja Grace Rauwo Miaka 31 mkazi wa MTONI KWA AZIZI ALLY Jijini Dar...

READ MORE