×

Habari

NMB Yanogesha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Simiyu

  Wakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya...

READ MORE

NBC Yaahidi Kuunga Juhudi za Serikali Kuwezesha Wajasiriamali Wadogo

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano ya...

READ MORE

TBL Kutoa Tamko Rasmi Kuhusu Kizibo Cha Dhahabu Leo

Machi 2, 2020: Dar es Salaam: Kampuniya Bia Tanzania (TBL) leo itafanya mkutanonaWaandishiwa Habari jijini Dar es Salaam kwa lengo...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Mangula Hospitalini Muhimbili (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, John Magufuli Jumamosi Februari 29, 2020 amemjulia hali makamu mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula aliyelazwa katika...

READ MORE

Mkuu Wa Mkoa Wa Kilimanjaro, Anna Nghwira Ashiriki Tamasha La Kili Dome

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro jana ameshiriki Tamasha kubwa la Kili Dome lililo andaliwa na Kampuni ya Bia Nchini(TBL) kuelekea...

READ MORE

Mbowe Akamatwa, Aachiwa Kwa Dhamana — Video

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, jana aliachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa na kuhojiwa katika...

READ MORE

SBL yatoa darasa la usalama barabarani kwa madereva boda boda Singida

  Ikiwa ni sehemu ya kuiunga mkono Serikali katika kupambana na ajali za barabarani, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Baba Lao, Ndinga Mpya Gumzo Kila Kona!

BAHATI nasibu ya Chomoka na Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi...

READ MORE

Waandishi Wajeruhiwa, Mbowe Akamatwa – Video

  TAARIFA zinadai kuwa Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limewajeruhi baadhi ya waandishi waliokuwa wakitelekeza wajibu wao wakati wa Kumkamata...

READ MORE

Malawi Imehalalisha Kupanda, Kuuza, Kusafirisha Bangi

Malawi imehalalisha kupanda, kuuza, na kusafirisha bangi nje ya nchi kwa ajili ya matumizi mbalimbali yakiwemo kutengeneza dawa, mafuta na...

READ MORE

Waafrika Waishio Wuhan Kurejeshwa Nyumbani

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameagiza kuondolewa kwa raia wa nchi hiyo waishio katika Jimbo la Wuhan nchini China...

READ MORE

Makamu wa Rais Aambukizwa Virusi vya Corona

Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia mambo ya wanawake na familia Bibi Masoumeh Ebtekar jana amethibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona....

READ MORE

Wanaume Tandale watoboa siri za ‘mafataki’

KUFUATIA ongezeko la mimba za utotoni pamoja na ukatili wa kingono katika kata ya Tandale jijini Dar es Salaam, baadhi...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza

RAIS  John  Magufuli leo tarehe 28 Februari, 2020,  amekagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania...

READ MORE

Mashinji Atambulishwa Rasmi CCM kwa JPM

VIONGOZI  waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wametambulishwa leo na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele...

READ MORE

Kauli ya Membe Baada ya Kutimuliwa CCM

IKIWA ni muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na...

READ MORE

Membe Atimuliwa CCM, Kinana Apewa Karipio, Makamba Asamehewa – Video

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Rais  John Magufuli, katika...

READ MORE

Nigeria Yatangaza Kuwepo Mgonjwa Mwenye Coronavirus

WIZARA ya Afya ya Nigeria imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 nchini humo.   Waziri wa afya amesema...

READ MORE

NBC Kuendelea Kushirikiana na Wakulima

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema kuwa itaendelea kushirikiana na kuwasaidia wakulima hasa katika kuwapatia ujuzi na mbinu...

READ MORE

Sven Ameshachagua Watakaoivaa Yanga SC

“KILA mmoja wetu yupo tayari kwa mchezo ujao wa ligi, nafikiri itakuwa dhidi ya Yanga, tumeshawachagua wachezaji watakaocheza.”   Hiyo...

READ MORE

Polisi Yasema Aliyeuawa Singida Alikuwa dereva Bodaboda

JESHI la Polisi mkoani Singida limesema dereva wa bodaboda, Alex Jonas (40) aliyeuawa na watu wasiofahamika alikuwa siyo kiongozi wa...

READ MORE

Siri Binti Kiziwi Kufutuka Jela Yafichuka

MODO au video vixen wa Wimbo wa Binti Kiziwi wa msanii Z-Anto, Sandra Khan almaarufu Binti Kiziwi ameshtua wengi baada...

READ MORE

Watanzania Waendelea Kuishuhudia Tuzo Ya Kimataifa Ya Kizibo Cha Dhahabu Cha Tbl

  Februari 28, 2020: Dar es Salaam: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imeendelea kuionesha Tuzo ya kimataifa ya Kizibo Cha...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Februari 28, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 27, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo. Usipitwe na...

READ MORE

Shamsa Alia Kukosa Bahati ya Kuhongwa

DAR: Mwanamama mkali wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema mara nyingi anasikia kuwa mastaa wengi wanahongwa na kuweza kufanya...

READ MORE

Mtuhumiwa Wizi wa Watoto Kupimwa Akili

MBEYA: Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Mbeya, imeagiza kwenda kupimwa afya ya akili kwa mkazi wa Tegeta jijini Dar anayetuhumiwa kwa...

READ MORE

Meneja Kampuni Inayojenga SGR Ahukumiwa Jela Miaka 3

MENEJA Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa ya (SGR), ambaye ni raia wa Uturuki, Yetkin Gen...

READ MORE

Mama Auawa, Akatwa Nyeti, Achunwa Ngozi – Video

MWANAMKE mmoja mfanyabiashara ya mboga na mkazi wa Mtaa wa Msufini, Chamazi Dar es Salaam, Salima Bakari, ameuawa na kukatwa...

READ MORE

Mahakama Yakubali Maombi ya Rugemalira

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali kupokea hoja za maombi ya mfanyabiashara James Rugemalira anayetaka kuondolewa kwenye kesi ya utakatishaji...

READ MORE

Marekani Yaua Kiongozi wa Al-Shabaab

SHAMBULIO  la ndege lililofanywa na Marekani limemuua kiongozi wa Al-Shabaab anayehusishwa na kupanga mashambulio kadhaa likiwemo la Kambi ya Jeshi...

READ MORE

Ruvuma: Polisi Wadaiwa Kumchoma Singe Mwenyekiti wa Kijiji

MWENYEKITI wa ulinzi wa Kijiji cha Peramiho A, mkoani Ruvuma ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha Mtakuja, Pastorius Mbuya,...

READ MORE

Wachina Waliotaka Kumhonga Kamishna TRA Wahukumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ronglan Intl Industry and Trade Co. Ltd, Zheng Rongman...

READ MORE

Kasisi Shoga, Mchungaji Shoga Wafunga Ndoa – Video

KASISI maarufu wa Kanisa la Anglican nchini Afrika Kusini, Rev John Maierepi, ameolewa na kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake...

READ MORE

Tamasha la Kili Dome Kufanyika Kwa siku tatu Mfululizo Mkoani Kilimanjaro

  Moshi, Februari 26, 2020: Tamasha maalumu kuelekea kilele cha mbio za Kili Marathon 2020, maarufu kama Kili Dome linatarajiwa...

READ MORE

Julian: Mwanamke Asiye na Uke Wala Mfuko za Uzazi

Julian Peters mwanamke wa miaka 29 kutoka nchini Kenya aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, tatizo ambalo huwaathiri sana...

READ MORE

Yanga Yainyoosha Gwambina Kwa Bao Moja La Kideo, Yatinga Robo Fainali FA

YANGA leo imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina FC...

READ MORE

Babu Miaka 85 Afungiwa Katika Ofisi ya Serikali Siku 3 Bila Kula

MZEE wa miaka 85, Masanja Mahubi, anadaiwa kufungiwa kwa siku tatu katika ofisi ya serikali ya mtaa bila kupewa chakula...

READ MORE