×

Habari

NSSF Yazindua Kampeni ya ‘Boresha Taarifa’ kwa Wanachama – Video

  SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) liko katika mchakato wa kuboresha taarifa za wanachama wake.   Hayo...

READ MORE

Mbowe Ashindwa Kuendelea Kujitetea Kisutu

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anayekabiliwa na kesi ya Uchochezi na wenzake katika Mahakama ya...

READ MORE

Video: Polepole Awanaga Wapinzani Kutoshiriki Uchaguzi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole,  leo Novemba 13, amevishambulia vyama vya upinzani vilivyotangaza...

READ MORE

Wauzaji Mbogamboga Soko Kuu Kariakoo Wajigamba na Betika

MAPEMA leo Jumatano Novemba 13, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Soko Kuu la Kariakoo...

READ MORE

Waliomuua RPC wa Mwanza Wahukumiwa Kunyongwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne kati ya saba waliokuwa wanakabiliwa na kesi...

READ MORE

Michezo ya Kubahatisha Kuunganishwa na TEHAMA

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikali iko mbioni kuunganisha michezo yote ya kubahatisha katika mfumo...

READ MORE

Namna Ya Kurejesha Tumaini Lililopotea

NAMNA YA KUREJESHA TUMAINI LILILOPOTEA ( HOW TO RESTORE A LOST HOPE), ni kitabu kilichoandikwa kwenye lugha mbili; Kiingereza na...

READ MORE

Marlaw: Familia Yetu Ilitengana Baada ya Mama Kufariki

KABLA sijaanza kukufungulia Ukurasa mpya, bila shaka utakumbuka katika toleo la wiki iliyopita tulihitimisha simulizi safi kabisa kutoka kwa mrembo...

READ MORE

Hospitali ya Mombasa Yateketea kwa Moto

HOSPITALI ya Mombasa nchini Kenya imeteketea kwa moto, huku wagonjwa wakiokolewa na hakuna majeruhi wowote.   Imeelezwa kwamba moto huo...

READ MORE

Baba Azimia Baada ya Mwanaye Amebakwa – Video

INAUMA sana! Baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Rashidi mkazi wa Manzese, Dar amejikuta akipoteza fahamu kutokana na tukio la...

READ MORE

Wema aongeza nguvu kumzima Mondi!

MAMBO yamezidi kuwa moto! Lile bifu kati ya mastaa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Rajab Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Bunge Kuridhia Itifaki ya Mitandao ya Tehama

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewasilisha Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Mitandao ya Teknolojia...

READ MORE

JPM Awataka Viongozi Wajenge Utaratibu Huu

Rais Magufuli amewataka viongozi wastaafu nchini kujenga utaratibu wa kuandika vitabu vinavyohusu maisha yao ili viwe chachu kwa vijana wanaotamani...

READ MORE

Wasanii Wamualika Mama Maria Tamasha la Mwalimu

Wasanii wa tasnia mbalimbali nchini, wamtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake, Msasani jijini Dar kumsalimia na kumualika kwenye Tamasha la...

READ MORE

Mama Adaiwa Kumzika Mtoto Wake Akiwa Hai

Polisi katika Wilaya ya Apac nchini Uganda wameanza uchunguzi dhidi ya mwanamama anayedaiwa kumzika akiwa hai mwanaye wa kiume mwenye...

READ MORE

Aveva, Kaburu, Hans Pope Kuanza Kujitetea

ALIYEKUWA rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na wenzake wawili,  wataanza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba...

READ MORE

Magufuli: ‘Nilinyweshwa Sumu Dodoma, Nikataka kujiuzulu’ -Video

RAIS John Magufuli amesema utendaji wake wa kazi ambao ulimfanya Rais Benjamin Mkapa akiwa madarakani wakati huo amsifie hadharani, ulisababisha...

READ MORE

Kilichotokea Kortini Leo Kesi ya Mo Dewji Kutekwa – Video

UPANDE wa utetezi kàtika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ , leo Jumanne, Novemba 12, 2019 umelalamikia upande...

READ MORE

Makamba Kuachana na Ubunge? Kutoa Hatima Yake Kisiasa ‘Soon’

MBUNGE wa Bumbuli, January Makamba,  amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka...

READ MORE

WATU 15 WAFARIKI KTK AJALI YA TRENI

Imeripotiwa kuwa takribani watu 15 wamefariki na wengine 58 wamejeruhiwa baada ya Treni mbili za abiria kugongana katika Wilaya ya...

READ MORE

Bunge Kupitisha Sheria Ya Kuruhusu Watu Kujipima VVU

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amesema kuwa hadi kufikia Ijumaa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Video: Jionee Mtoto Mdogo Akiongea Kingereza Balaa, Utapenda!

 Shule ya St Mary iliyopo Mbezi Beach ni moja ya Shule inayomilikiwa na Mchungaji Mama Getrude Lwakatare ambayo inapokea...

READ MORE

Live: JPM Azindua kitabu cha Maisha ya Rais Mkapa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 12, anashiriki hafla ya uzinduzi rasmi...

READ MORE

Polisi Yanasa Silaha za Kivita, Nyama ya Twiga, Meno ya Tembo – Video

JESHI la polisi mkoani Arusha hapa limefanikiwa kukamata bunduki mbili za kivita pamoja na nyara za serikali ambazo ni nyama...

READ MORE

CAG Kichere Atua Bungeni Dodoma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere leo Jumatatu Novemba 11, 2019 ametambulishwa rasmi bungeni jijini...

READ MORE

Akiwa Gerezani, Malinzi Yamkuta Mazito Tena

SHIRIKISHO la Soka Ulimwenguni (FIFA) limemfungia kwa miaka kumi (10) aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi baada...

READ MORE

Diwani Mbaroni Kufuatia Ofisi ya Kata Kuchomwa Moto – Video

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro nchini Tanzania Wilbroad Mutafungwa amesema watu watatu wanashikiliwa kwa mahojiano akiwemo Diwani wa Kata...

READ MORE

Askofu Ataka Uchaguzi S/Mitaa Usogezwe Mbele

ASKOFU Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Owdenburg Mdegela amesema ni vizuri kwa wanasiasa...

READ MORE

Kimenuka! Kigogo, Diwani CCM Watoleana Siri za Chumbani

  UKISIKIA kimenuka; jua hali ya hewa imechafuka na kweli ndivyo ilivyo kwa kigogo mmoja na diwani wa Chama Cha...

READ MORE

Siku 20 Baada ya Uchaguzi, Rais Ajiuzulu, Atanganza Uchaguzi Mpya

RAIS wa Bolivia, Evo Morales,  amejiuzulu kufuatia maandamano ya kumshinikiza kufanya hivyo yaliyosambaa nchi nzima na kuungwa mkono na polisi na...

READ MORE

Geita: Vilio, Huzuni Vyatawala Mgodi wa Imalanguzu

MAJONZI na huzuni vimetawala kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo wa dhahabu mgodi wa Imalanguzu Wilaya ya Geita kata ya Lwamgasa...

READ MORE

Wasiojulikana Wachoma Moto Ofisi ya Kata, Waacha Bangi – Video

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwhira, amesema watu kadhaa wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za...

READ MORE

Dereva Mlevi Aua Wanawake Watatu

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia dereva wa gari ndogo aina ya Toyota Salon yenye namba za usajili T.213, Deogratius...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mwingine ATCL, TANESCO

Rais Dkt. Jon Magufuli amemteua Mhandisi Emmanuel Korosso kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania...

READ MORE