×

Habari

Njemba Amuuwa Mpenzi Wake kwa Kumnyonga Shingo

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kijana aliyefahamika kwa jina la Nicholas Light (25) mkazi wa Mtaa wa Mahama, wilayani...

READ MORE

Ocean Road Yaondoa Hofu Upimaji wa Tezi Dume

WANAUME wengi wameonyesha wasiwasi wao na zoezi la upimaji wa tezi dume, wengi wakidai kwamba huwa ni wa udhalilishaji jambo...

READ MORE

POLISI WAFUNGUKIA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MASOGANGE

WAKATI kukiwa na shauku kubwa ya kujua sababu za mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ kufanyiwa uchunguzi wa kipolisi wakati...

READ MORE

JACK PEMBA ASUSA MAGARI YA BILIONI 1

BAADA ya kufunguliwa kesi na tajiri mwenzake, Godfrey Kirumira wa nchini Uganda, Pedeshee Jack Marshal Pemba, ametikisa baada ya kuibuka...

READ MORE

MEYA KINONDONI AZINDUA KAMPENI YA CHANJO SHINGO YA KIZAZI

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta leo Aprili 30 amezindua rasmi chanjo ya kuwakinga wasichana dhidi ya saratani...

READ MORE

MEYA SITTA AMTEMBELEA BALOZI DKT. SLAA, SWEEDEN

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamin Sitta hivi karibuni alifanya ziara nchini Sweden katika Manispaa ya Strangnas ambayo ni marafiki...

READ MORE

BASHE Apinga Vikali Walimu wa Sekondari Kuhamishiwa Msingi – Video

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akisoma taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, iliyoandaliwa mahususi...

READ MORE

Chadema Wakanusha Lissu Kuerejea Nchini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho,...

READ MORE

KIMENUKA! Mlinga Sasa Kuwalipua Wakufunzi wa Vyuo Mafataki – Video

Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Elimu, ambayo imewasilisha Bungeni na Waziri wake, Profesa...

READ MORE

Makonda Ampokea Ahmed Aliyepooza Akitokea China

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Jumatatu, Aprili 30, 2018 amempokea kijana, Ahmed Albaiti aliyekuwa nchini...

READ MORE

Dakika 4 za Prof Jay kwa Waziri wa Nishati – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiuliza swali alilolielekeza katika Wizara ya Nishati...

READ MORE

Breaking News: Mahakama Yaamuru Hans Pope na Lauwo Wakamatwe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo April 30, 2018 imetoa amri kwamba Mwenyekiti wa Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia...

READ MORE

Hatimaye Tundu Lissu Kutua Dar

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu (50) aliyelazwa nchini Ubelgiji anatarajiwa kurejea nyumbani siku yoyote kuanzia juzi, baada ya madaktari...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefungua barabara ya lami ya Iringa –...

READ MORE

WAMILIKI SOBA HOUSE WAWAJIBU WABUNGE TUHUMA ZA KUWACHOMA SINDANO WAATHIRIKA DAWA ZA KULEVYA

WAMILIKI wa nyumba zinazosaidia waathirika kujinusuru na dawa za kulevya nchini maarufu kama Soba house wamejibu tuhuma za kuwachoma vijana...

READ MORE

Magufuli Atoa Sh. Mil. Tano Sekondari ya Nyerere Mkoani Iringa (Video)

Rais John Magufuli leo ametoa  Tsh Mil. 5 kwa Shule ya Sekondari ya Nyerere iliyopo Migori mkoani Iringa kwa ajili...

READ MORE

Liverpool Yabananishwa na Stock City, Mo Salah Hoi

KLABU ya soka ya Liverpool ya Uingereza wakiwa nyumbani wameshindwa kufurukuta mbele ya Stock City baada ya kutoa sare ya...

READ MORE

Breaking News: Mvua Ya Mawe Yaleta Maafa Kagera

KAYA 150 za mkoani Kagera leo Jumamosi zimejikuta paa za nyumba zao zikiezuliwa na mvua ya mawe ambayo inaendelea kunyesha...

READ MORE

NAIBU SPIKA AZINDUA TULIA MARATHON, MBEYA

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson,...

READ MORE

NAIBU SPIKA AWAONYA WANAFUNZI UDSM KUHUSU MAPENZI

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amewahimiza wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kusoma...

READ MORE

Mama Jide Aagwa Dar, Kuzikwa Bunda – Mara

  MWILI wa mama mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Judith Mbibo Wambura ‘Lady Jaydee au Jide’, Bi. Martha Mbibo umefanyiwa...

READ MORE

Abbas Kandoro Aagwa Dar, Kuzikwa Kesho Iringa

MWILI wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro umeagwa leo kwenye Msikiti wa Manyema uliopo...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Ajali ya Basi Kagera

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kugongwa na Basi la Kampuni ya Frester lenye...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Abbas Kandoro

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyewahi kuwa mwanasiasa...

READ MORE

KAULI YA JOHN HECHE BAADA YA MDOGO WAKE KUUAWA NA POLISI

  KUFUATIA kifo cha mdogo wake aitwa Saguta Chacha, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amelishutumu Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

VIFO MFUFULIZO VYA WASANII VILIVYOSHTUA

WIKI ya masikitiko! Hivyo ndivyo unaweza kusema kufuatia vifo mfululizo vya mastaa wanne Bongo, ambao ni muuza sura kwenye video...

READ MORE

BREAKING: MKUU WA MKOA MSTAAFU, ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA

TANZIA: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia usiku huu wa Ijumaa, Aprili 27,...

READ MORE

MAJALIWA AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA UONGOZI YA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa vyama vya siasa wajitahidi kuwa makini na namna wanavyoendesha vyama vyao...

READ MORE

Breaking News: Magari Yaliyobeba Polisi, Wanajeshi Yapata Ajali Moro

Basi lililokuwa limebeba askari Polisi limegongana na gari dogo aina ya Noah iliyokuwa imebeba Wanajeshi wa JWTZ, katika maeneo ya...

READ MORE

RC MAKONDA AWAPATIA WATOTO 2971 BIMA YA AFYA

IKIWA  leo ni siku ya 15 tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atangaze kuwasaidia watoto waliotelekezwa...

READ MORE

RPC athibitisha mdogo wake Heche kuuawa na Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe amethibitisha kuuawa kwa Bwana Chacha Heche Suguta ambaye ni mdogo...

READ MORE

Lema Afutiwa Mashtaka, Akamatwa Tena Kesi ya Kuota Ndoto

  MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha na kufunguliwa mashtakata mapya kuhusu...

READ MORE

Breaking News: Mdogo wa John Heche Auawa Kwa Kuchomwa Kisu

  Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amefiwa na mdogo wake, Suguta Chacha akidaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza, Madaktari Wafanikiwa Kupandikiza Uume

JOPO la madaktari wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa kwanza wa uume na korodani ambapo askari alijeruhiwa na bomu huko Afghanistan amefantiwa...

READ MORE

HAIJAWAHI KUTOKEA: Kim Jong-un Avuka Mpaka wa Kijeshi, Aingia Korea Kusini

  KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amekuwa kiongozi wa kwanza wa taifa kuvuka mstari wa kijeshi uliowekwa kuyagawa mataifa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO (Picha + Video)

Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yanafanyika katika Uwanja wa jamhuri...

READ MORE

Mhariri Kampuni ya Hali Halisi Atembelea Global

Mkina na Saleh Ally wakibadilishana mazungumzo. Mhariri wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Simon Mkina,   leo  ametembelea ofisi za Kampuni...

READ MORE

Breaking News: Diwani Viti Maalum CUF Ajiuzulu

Diwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Viti Maalum, Rukaiya M. Ally amejiuzulu nafasi yake ya udiwani kutoka kwa madai ya...

READ MORE

JIJI LA DAR SHWARI SIKUKUU YA MUUNGANO

  Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam leo waliungana na Watanzania wengine wa Bara na Visiwani katika kusherehekea miaka...

READ MORE