×

Habari

Bei ya Mafuta, Tende Zatikisa Bunge, Waziri Abanwa – Video

Serikali imesema suala la Meli Mbili za Mafuta (Crude Oil) zilizokwama Bandarini kutokana na tozo ya ushuru, litapatiwa ufumbuzi ifikapo...

READ MORE

UPANDE WA MASHTAKA WAAMRIWA KUTOA MAJIBU KESI YA VIGOGO WA UTHAMINI MADINI

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi  inayowakabili vigogo wawili wa uthamini wa madini ya...

READ MORE

UDART YAOMBA RADHI WANANCHI KWA UPUNGUFU WA MABASI

  KAMPUNI ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART) imewaomba wananchi kuwa na subira katika kipindi hiki cha msimu wa mvua kutokana...

READ MORE

JAJI MKUU AZINDUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA MAJAJI

JAJI Mkuu  Prof Ibrahimu Juma amefungua mafunzo elekezi kwa majaji wapya 14 wa Mahakama Kuu nchini yenye lengo la kuwataka...

READ MORE

JPM AHAMISHA BILIONI 2 ZA UDSM KWENDA SUA – VIDEO

RAIS John Magufuli ameagiza pesa kiasi cha Tsh. Bilioni 2, za miradi ya maendeleo katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2018/19...

READ MORE

JPM AWAONYA SUA DHIDI YA KUFANYA FUJO, SIASA – VIDEO

RAIS  John Magufuli amesema haiwezekani kwa watoto wa viongozi wenye nyadhifa za juu nchini akiwemo mtoto wake na wa wakuu...

READ MORE

Binti Mtanzania Anaechapa Ngumi Kama Jet Lee, Atunukiwa – Video

Binti Mdogo wa Kitanzania, Jamila Hamisi ameonyesha uwezo wa kupiga ngumi amewashangaza watu kwa uwezo wake mkubwa wa kupambana kwa...

READ MORE

Wanafunzi, Wahadhiri SUA Wapeleka Malalamiko kwa JPM – Video

Rais John Magufuli, ameendelea na ziara yake mkoani Morogoro ambapo leo Mei 7, ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine...

READ MORE

JPM: Mnaweza Kuwafanya Panya Wakanusa na Kubaini Wenye UKIMWI – Video

Ziara ya Rais John Magufuli, inaendelea mkoani Morogoro ambapo leo Mei 7, ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...

READ MORE

Yanga SC Kumalizana Na Kina Tshishimbi, Chirwa

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka bayana kuwa utamalizana na wachezaji wake juu ya malimbikizo ya fedha zao muda mfupi...

READ MORE

BODI YA MIKOPO YATAJA MASHARTI MAPYA KWA WAOMBAJI WAPYA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu wananchi kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya mikopo...

READ MORE

KATIBU MKUU MAJI NA UMWAGILIAJI ATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI

  Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo jana tarehe 5 Mei 2018 alifika katika Kijiji cha...

READ MORE

AJALI YA WANAFUNZI WA LUCKY VINCENT YATIMIZA MWAKA (Picha +Video)

Wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent jijini Arusha walipata  ajali  siku kama ya leo Mei 6 mwaka jana ambapo wanafunzi...

READ MORE

NECTA: MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KUANZA KESHO -Video

  KATIBU MTENDAJI wa Balaza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles E. Msonde leo ameongea na wanahabari  jijini Dar...

READ MORE

JPM AZINDUA DARAJA LA ‘MAGUFULI’ KILOMBERO (Picha + Video)

PICHA NA IKULU RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 5, 2018 amezindua Rasmi...

READ MORE

LHRC, WADAU WA MITANDAO WAJADILI KUKUZA UTAWALA BORA

Wakati wadau mbalimbali na wanatetezi wa haki za binadamu wakiwa wanazilalamikia kanuni mpya za maudhui mitandaoni ambazo zimetolewa hivi karibuni, ...

READ MORE

MOROGORO- JPM Azindua Daraja la Magufuli – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 5, 2018 amezindua Rasmi Darala la Magufuli...

READ MORE

Rais Magufuli Amkabidhi Mtoto Shujaa Sh. Milioni 3, Ampa Ulinzi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akiwa ziarani mkoani Morogoro amepata fursa ya kuzungumza na wakazi...

READ MORE

JPM Amwaga Mamilioni 5 kwa Wanakijiji wa Mkula, Morogoro – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekabidhi kitita cha Tsh. Milioni 5 kwa wanakijiji wa Mkula,...

READ MORE

FAMILIA YAFUNGUKA LISSU KUREJEA NYUMBANI – VIDEO

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kupitia kwa msemaji wake Alute Mughwai Lissu, imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa...

READ MORE

Wabunge wa Upinzani Wasusa, Watoka Bungeni! (Picha + Video)

Wabunge wanaounda kambi ya Upinzani Bungeni wamesusia Bunge na kutoka nje ya Bunge hilo, wakati wakijadili bajeti ya Wizara ya...

READ MORE

Zitto Ambana Mwigulu Risasi za Lissu, Azory, Ben Saa Nane – Video

MSIKIE Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Ziito Kabwe, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, iliyowasilishwa...

READ MORE

BBC na VOA Wafungiwa Burundi Kwa Miezi Sita

Serikali ya Burundi inasema matangazo ya mashirika ya utangazaji ya BBC na VOA yamepigwa marufuku nchini humo kwa miezi sita...

READ MORE

Hatimaye Mzee Majuto Apelekwa India Kutibiwa – Video

Msanii Mkongwe wa filamu nchini, King Majuto, amesafiri leo kuelekea India kwa ajili ya matibabu kutokana na ugonjwa wa Nyonga...

READ MORE

Kaka Alikomalia Bunge Matibabu ya Lissu – Video

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, aitwae Alute Mughwai, amezungumzia kuhusu na taratibu za Bunge juu ya suala...

READ MORE

JOTI AFUNGUKA BAADA YA ‘HEKALU’ LAKE KUPIGWA X

  KUFUATI nyumba yake iliyopo Kisarawe kupigwa alama ya X huku akisemekana anatakiwa aibomoe kupisha upanuzi, Komedian maarufu nchini, Lucas...

READ MORE

TUZO ZA RAIS KWA WAZALISHAJI BORA WA VIWANDA ZATIKISA JIJINI DAR

SHIRIKISHO  la Viwanda Tanzania (CTI) leo limetoa tuzo kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2017 ambazo zimekabidhiwa na Waziri...

READ MORE

Rais Magufuli: Bora Kula Sumu Kuliko Fedha za Serikali

Rais Magufuli leo Ijumaa ameweka jiwe la msingi la Barabara ya Kidatu – Ifakara. Sherehe hizo zimehudhuriwa na Wabunge wote...

READ MORE

MAAMUZI YA JOHN HECHE BAADA YA MAZISHI YA MDOGO WAKE

MBUNGE wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amesema kutokana tukio la kuuawa kwa mdogo wake Suguta Chacha kwa kuchomwa...

READ MORE

TTCL PESA YABADILI JINA NA NEMBO

TTCL PESA, Kampuni tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation, ambao ni watoaji wa huduma za fedha mtandao inapenda...

READ MORE

MWENDOKASI WASITISHWA

KAMPUNI inayotoa huduma katika mradi wa usafiei wa mabasi yaendayo haraka (UDART) imsitisha usafirishaji wa abiria kwa baadhi ya njia...

READ MORE

JPM Ampigia Simu Prof. Kitila Mbele ya Wananchi, ‘Atumbua Jipu’ – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempigia simu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo...

READ MORE

Breaking News: Mahakama Kuu Yazuia Kanuni za Maudhui Mtandaoni

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mtwara leo Ijumaa Mei 4, 2018 imetoa zuio la muda (Temporary Injuction) dhidi ya tangazo linalowataka...

READ MORE

Rais Magufuli Ahani Msiba wa Kandoro Iringa – Picha

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamehani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Marehemu Mzee Abbas Kandoro katika...

READ MORE

ALIYEIBA MAHINDI YAKANG’ANG’ANIA MABEGANI, ZIPU YAMUOKOA

PWANI: Frank Joseph (23) mkazi wa Dar es Salaam ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za...

READ MORE

Bwana Harusi, Mkwewe Mbaroni – Video

GEITA: Ukiambiwa usifanye hivi ukakaidi yatakukuta tu; ndivyo ilivyokuwa kwa bwana harusi, Saayai Petro na baba mkwe wake aitwaye Kashirimu...

READ MORE

MLINGA: Rais Anatukanwa Mitandaoni? IGP Tumia mamlaka Yako – Video

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani amelitaka Jeshi la...

READ MORE

LIJUAKALI: Aliyemtishia Nape Bastola si Yupo? – Video

Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, amesema kuna mambo...

READ MORE