×

Habari

Sikuu Ya Idd Mosi, Dar Live Kuandika Historia Mpya…Mr Blue, Jokha na Sabaha Kukinukisha

OVER ZE WEEKEND ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kuelekea Sikukuu ya Idd Mosi, imefahamika kuwa, Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar...

READ MORE

Maalim Seif: Hii Ndiyo Siri Yangu na Karume

SAFU hii na Global TV Online hivi karibuni ilifanya mahojiano na Katibu Mkuu wa CUF ambaye aliwahi kuwa Makamu wa...

READ MORE

GS Warriors Wawaliza Cleveland 129 – 120, GS Warriors Wametwaa Ubingwa NBA

KEVIN DURANT alikuwa katika kilele cha umahiri wake kwa kuisaidia timu yake ya Golden State Warriors kutwaa ubingwa wa Ligi...

READ MORE

Funga Inavyoweza Kusaidia Kupunguza Unene

MPENZI msomaji ni matumaini yangu unaendelea vyema na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao licha ya kuwa na faida...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza Ukarimu Wa Vodacom Tanzania Foundation

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ameipongeza Vodacom Tanzania Foundation kwa kuendelea kuwafuturisha watoto na...

READ MORE

Waziri Mwigulu Awazuia Prof. Muhongo, Andrew Chenge na Wahusika Wengine Kutoka Nje ya Mipaka ya Tanzania

Serikali imeagiza, Mawaziri, Wanasheria Wakuu wa Serikali na Manaibu wao, Wakurugenzi wa idara za mikataba, na Makamishna wa madini, wanasheria...

READ MORE

Ukarimu Wa Vodacom Tanzania Wawafikia Wakazi, Bagamoyo Wa Kiwangwa

Kampuni ya mawasiliano inayoongoza nchini Vodacom Tanzania kupitia kampeni yake ya “Ukarimu wa Vodacom” yenye lengo la ukarimu, ushirika na...

READ MORE

Kisa Mwezi Mtukufu… Madee Awashangaa Mastaa Wapenda Kiki

NA BONIPHACE NGUMIJE | UWAZI MKALI wa Ngoma ya Hela, Hamad Ally ‘Madee’ amewashangaa baadhi ya mastaa ambao katika Mwezi...

READ MORE

Chenge na Ngeleja wafunguka baada ya kuhusishwa na mikataba mibovu ya madini

Vigogo waliotajwa katika ripoti ya pili ya kuchunguza makontena yenye mchanga wa madini (makinikia)  kuisababishia Serikali hasara ya matrilioni ya...

READ MORE

Bunge Lilivyopitisha Bajeti Itekelezwe Ilivyo

  Stori: Eric Shigongo| Uwazi | Napasua Jipu ALHAMISI ya wiki iliyopita serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha na Mipango,...

READ MORE

Weusi: Naliamsha Dude Imeharibu Utaratibu

MAKALA: BONIPHACE NGUMIJE | UWAZI | SHOW BIZ TITO Mboweni ni jina maarufu Afrika Kusini. Hutumiwa sana na vijana wa...

READ MORE

Watoto walemavu Arusha Wampa Mrisho Gambo Changamoto Zao

Hivi karibuni lilifanyika kongamano kubwa la watoto wenye ulemavu mkaoni Arusha ambalo lilihudhuriwa na watu mbalimbali na hivyo watoto hao...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne June 13, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 13, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Kapombe, Manula rasmi miaka miwili Simba SC

Mwandishi Wetu | Dar es Salaam RASMI sasa wachezaji wa Azam, mlinzi Shomari Kapombe na kipa, Aishi Manula msimu ujao...

READ MORE

Breaking News: Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo Vya Ufundi 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha...

READ MORE

Ujatijiri wa Kutisha wa Ndesamburo Waanikwa

Stori:Waandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA Kilimanjaro: Ni wiki moja imekatika sasa tangu shujaa wa demokrasia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

Gigy Money Aanika Kilichompukutisha

Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda DAR ES SALAAM: Baada ya baadhi ya mashabiki wake kumnanga na kuwa na maswali mengi juu...

READ MORE

Dully: Mi’ Niende Kwa Waganga? Big No!

Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda DAR ES SALAAM: Lejendari wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully’ amefunguka kuwa, baadhi ya wasanii huwa...

READ MORE

FULL RIPOTI: Taarifa Yote ya Kamati ya Pili ya Kuchunguza Mchanga wa Madini

Leo June 12, 2017 Rais Magufuli amepokea Ripoti ya piti ya kamati aliyounda kuchunguza madini katika mchanga. ==> Ripoti yote...

READ MORE

Acacia Yatangaza Kupunguza Wafanyakazi 400

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imethibitisha kuwa ipo katika mpango wa kupunguza wafanyakazi wake hasa walinzi wa mgodi huo....

READ MORE

Prof. Muhongo Akutana Tena na Kitanzi cha JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt Magufuli ameagiza viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini, Manaibu wake, Wanasheria Wakuu wa...

READ MORE

ACACIA Wapinga Ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais JPM Kuhusu Mchanga wa Madini

  12 Juni 2017 Mwitikio wa Acacia kwenye matokeo ya kamati ya pili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Acacia...

READ MORE

Ronaldo Amezaliwa Maskini, kwa Nini wewe Ushindwe?

MAKALA: Nyemo Chilongani na Mtandao MPENZI msomaji lengo la ukurasa huu ni kupeana mbinu za namna ya kutengeneza fedha na...

READ MORE

Ulokole wa Jini Kabula Feki!

Ubuyu: Gladness Mallya | Ijumaa Wikienda DAR ES SALAAM: Ubuyu mtamu wa Wikienda! Licha ya mwanamama kutoka kiwanda cha filamu...

READ MORE

Washindi wa Droo ya 4 ya Shinda Nyumba Wakabidhiwa Vyao

Na Richard Bukos DAR ES SALAAM: Washindi wa droo ndogo ya 4 wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

Niyonzima: Msihofu, Narudi Yanga SC

Wilbert Molandi| CHAMPIONI| Dar es Salaam KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaambia maneno mazuri mashabiki wa timu hiyo,...

READ MORE

Mwezi Mtukufu Kusawazisha Penzi Lako!

NA GABRIEL NG’OSHA | IJUMAA WIKIENDA | XX LOVE SIMU; +255 679 979 785  NINA kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi...

READ MORE

RIPOTI YA MCHANGA II: Alichokisema Rais Magufuli Baada ya Kukabidhiwa, INASIKITISHA!

IKULU, DAR: Ripoti ya pili ya mchanga wa madini, imewasilishwa mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyekiti wa...

READ MORE

Zari: Nitawalea Wanangu Mwenyewe

Stori:Waandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA Kampala: Baada ya kuanua matanga ya mumewe, Ivan Ssemwanga ‘Don Ivan’ aliyefariki dunia Mei 25,...

READ MORE

Jokate Adata, Kisa Baba’ke!

Stori:Gladness Mallya | IJUMAA WIKIENDA Dar es Salaam: Baba mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo, Urban Mwegelo amemfanya mwanadada...

READ MORE

Kwa Hili Dude… Saida Karoli si wa Nchi Hii!!

NA BONIPHACE NGUMIJE | IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend MWAKA 2010 staa wa Muziki wa Soukous kutoka Jamhuri ya...

READ MORE

Kaseke aandaliwa mkataba Singida United

Wilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es salaam UONGOZI wa Singida United umemuandalia mkataba kiungo mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke kwa...

READ MORE

Milioni 40 Zamshusha Mbaraka Azam

Musa Mateja na Said Ally | CHAMPIONI JUMATATU IMETHIBITIKA kuwa Klabu ya Azam imetumia milioni 40 kwa ajili ya kuipiku...

READ MORE

Samatta: Uwanja Ulitubana, Tukashindwa Kucheza

Ibrahim Mussa| CHAMPIONI | Dar es salaam NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunguka kuwa sababu ya kushindwa kuibuka na...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu June 12, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, June 12, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Video: Fainali ya Mashindano ya Kuhifadhi Quran Tukufu Afrika 2017 Uwanja wa Taifa

Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akifuatilia mashindano hayo. Washiriki wakiendelea na mashindano ya kusoma Quran. Maelfu ya waumini wa...

READ MORE

Pichaz + Video: Gor Mahia Wababe SportPesa Super Cup, Wamewafunga AFC Leopards Mabao 3-0

  KIKOSI cha Gor Mahia cha Kenya leo Jumapili kimefanikiwa kuibuka mabingwa wa michuano ya SportPesa Super Cup baada ya...

READ MORE