×

Ijumaa

WEMA ADAI RAHA YA MWANAUME KIPIGO!

MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na...

READ MORE

WOLPER: MAISHA FEKI TUPA KULE

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amebumburua kuwa, huu ni wakati wa mastaa na watu wenye majina makubwa...

READ MORE

UWOYA AFUNGUKIA KUWA NA BWANA DUBAI

WATU wengi wanajua ubuyu wenye ladha ni ule mwekundu tu, lakini siyo kweli kwani kuna ubuyu mwingine mweupe, blu na...

READ MORE

MADAI YA UCHAWI, MOBETO KUMBURUZA DIAMOND KORTINI!

UMESHASIKIA msemo wa: “Usipofanya utafiti huna haki ya kuzungumza?” Ukiwa bado, maana yake jifunze kupeleleza vitu kabla ya kuviongea kwa...

READ MORE

TOP 5 MASTAA WAKIKE WANAOKIMBIZA BONGO FLEVANI

BONGO kwa sasa kuna wanamuziki wa kike wengi ambao kazi zao zinafika mbali na wanafanya vizuri, hii chini ni Top...

READ MORE

AKOTHEE ATAMBA KUWA NA ‘MABODIGADI’ 20

  KAMA ulikuwa unajua msanii Eric Omondi haishiwi vituko nchini Kenya, basi jua ulikuwa ukijidanganya sana! Taarifa ikufikie kuwa, staa...

READ MORE

UNATEGEMEA AKUFURAHISHE LAKINI UNAISHIA KULIA ? SOMA HAPA !-2

NI wakati mwingine mzuri tunapokutana jamvini kujadili mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili kuhusu mada hii...

READ MORE

CHIN BEES ALIMVURUGA KALIGRAPH JONES, AKASHOBOKEA KOLABO!

MUZIKI ume-kuwa na ladha tofauti-tofauti, achana na ile ‘kubung-kubang’ iliyozo-eleka zamani, kwa sasa miongoni mwa staili zinazo-tamba zaidi ni ‘trap’.  Hapa...

READ MORE

VEE MONEY MWANASHERIA ANAYEKIMBIZA KWENYE MUZIKI

 ILE asubuhi wakati ulipoamka unakumbuka kwamba giza lililopita umeota ndoto nzuri inayokufanya utabasamu. Ni ndoto kuhusu mustakabali wa maisha yako ya...

READ MORE

MREMBO AFUNGA MTAA AKITAKA KUJIUA

NI timbwili! Mrembo aliyefahamika kwa jina moja la Shelua amefunga mtaa akitaka kujiua kwa kuparamia magari yaliyokuwa kwenye mwendokasi barabarani,...

READ MORE

JENGO LA KAMPUNI LAGEUZWA DANGURO

KANGI Lugola (Waziri wa Mambo ya Ndani) upo? Ndivyo walivyohoji wakazi wa Sinza-Mori jijini Dar karibu kabisa na Kituo cha...

READ MORE

MTAWA ALIJIRUSHA, ALIRUSHWA? MASWALI 6 MAZITO

Tukio la Mtawa Suzana Bartholomew ‘48’ (pichani), aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando...

READ MORE

RAIS JPM AMEMPONZA MAKONDA?

KWA waliosoma Biblia, kisa cha Yusufu na baba yake, Yakobo hakiwezi kuwa kigeni. Yusufu alipendwa mno na baba yake, alikuwa ni...

READ MORE

BADO NAY ANAMPENDA NINI

MWANA-MUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ameeleza la moyoni kuwa bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake, Nini na...

READ MORE

SKENDO ZA WEMA , MAFANIKIO YA JOKATE MWEGELO

MASHINDANO ya Miss Tanzania yamerejea kwa kishindo cha aina yake. Walimbwende takriban 20 wanatarajiwa kupanda jukwaani Septeba 8, 2018 ndani...

READ MORE

HAKUNA MSANII WA KUFUNGIWA AKISOMA HII!

TATIZO la wana-muziki na wasanii wengi Bongo hawapendi kujielimisha, hasa kwenye mambo yanayo-wahusu, jambo linalofanya wengi wajione wajuaji lakini wakizun-gumza...

READ MORE

BABA DIMPOZ: MWANANGU KALOGWA…

BAADA ya madai kuzagaa kwamba staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amelogwa na siyo suala la kulishwa sumu...

READ MORE

OFM YAMNASA DARASA

Shariff Thabeet ‘DarassaDAR ES SALAAM: Baada ya Kikosi Fichua Maovu (OFM) kutumia muda mrefu kumsaka, hatimaye msanii wa Bongo Fleva...

READ MORE

HALI YA DIMPOZ NI DARASA KWA WASANII

MARA nyingi matatizo huwaunganisha watu na kuwafanya kuwa kitu kimoja, hata kama katikati yao kulikuwa na tofauti kubwa kiasi gani...

READ MORE

VERA SIDIKA AIBUA JAMAA MPYA!

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu drama ya muuza nyago maarufu nchini Kenya, Vera Sidika kudaiwa kutemana na bwana’ke ambaye pia...

READ MORE

TAJIRI AFILISIKA AKIUGUZA KIDONDA

ALIYEKUWA mfanyabiashara tajiri wa nafaka sehemu mbalimbali za jijini Dar, Eliasi John, mkazi wa Kinondoni- Moscow, yupo katika mateso makubwa...

READ MORE

DENTI APEWA KIPIGO CHA KIFO

ENZI za tabia ya utemi wa wanafunzi kwa baadhi ya Shule za Sekondari uliokuwa ukifanywa miaka ya tisini huenda unarudi,...

READ MORE

DIAMOND AMLIZA MAMA MOBETO!

USHUHUDA alioutoa hivi karibuni mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuhusu maisha yake, umekuwa mwiba mkali kwa mama...

READ MORE

DUMA: BONGO MUVI YA FAIDA INAKUJA

MSANII wa filamu za Kibongo, Daudi Michael ‘Duma’ ambaye hivi karibuni amefanya uzinduzi wa filamu yake ya Nipe Changu amefunguka...

READ MORE

SO SMART! ALICHOKISEMA VEE MONEY KWA WATOTO YATIMA

UKIZUNGUMZIA wanadada wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’. Amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva.  Vee...

READ MORE

HATARI YA KUKOSEKANA KWA FURAHA KWENYE PENZI LAKO!

KARIBU kwenye ulimwengu wa elimu ya mapenzi na maisha. Tukubaliane kwamba wote tunazaliwa tukiwa safi ‘watakatifu’ kabla ya kukutana na...

READ MORE

ZARI AMFANYIA MONDI UMAFIA

NI umafia wa ajabu! Hakuna maneno mengine mazuri unayoweza kuyazungumza kusherehesha tukio la mwanamama wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

BAADA YA 40 YA PATRICK… MUNA ANENA MAPYA

IKIWA zimeshatimia siku 40 tangu mtoto wake, Patrick Peter afariki dunia, msaani wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ ameamua...

READ MORE

NAY WA MITEGO AFUNGUKA ISHU YA KUFILISIWA NA BENKI

Staa wa Bongo Fleva, Emm-anuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameifungukia ishu ya kufilisiwa na benki inayosemekana inamdai baada ya kukopa...

READ MORE

MAMA MOBETTO AAPA KUSIMAMA NYUMA YA MWANAYE

  MAMA wa mwana-mitindo Hamisa Mobetto, Shufaa Rutiginga ameweka wazi kuwa hata kama watu wote watamtenga mwanaye huyo, lakini yeye...

READ MORE

ISHU YA YOUNG D, AMBER LULU YAFIKA PABAYA

MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amejikuta akiingia katika bifu zito na msanii mwenzake, David Genzi...

READ MORE

ZAMANI ‘HIT-SONG’, MSANII MKUBWA, SIKU HIZI KIKI KUBWA,‘HIT SONG’

ZAMA zinabadilika kwa kasi sana utadhani zinakimbizwa na mwanariadha mwenye heshima Bongo, Alphonce Simbu na walioushuhudia Muziki wa Bongo Fleva...

READ MORE

MAIZUMO NDOTO YANGU NA MAJUTO IMEYEYUKA !

  MTOTO wa miaka minne anayefanya vizuri katika fani ya uchekeshaji, Maisara Mohammed ‘Maizumo’ amesema kuwa ndoto yake ya kufanya...

READ MORE

WEMA ANUNUA UGOMVI WA MOBETO, ZAMARADI

DAR ES SALAAM: Wakati bifu baina ya mtangazaji wa runinga, Zamaradi Mketema na mwanamitindo Hamisa Mobeto juu ya gauni la...

READ MORE

WELU AMFICHA MWANAYE KUHOFIA WAJA

Sexy mama wa sinema za Kibongo, Matrida Sengo ‘Welu’, kwa mara ya kwanza amefunguka kisa cha kumficha mwanaye aliyezaa na...

READ MORE

KIFO CHA MAJUTO… KILICHOMTOA FAHAMU TAUSI CHA JULIKANA

SIRI ya muigizaji Tausi Mdegela, kuangua kilio kupita kiasi kwenye msiba wa nguli wa vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’...

READ MORE

HARUSI YA MAFUFU KURUKA ‘LIVE’

UBUYU ukufikie kuwa, harusi ya mwigizaji mkongwe wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu inatarajiwa kuruka hewani ‘live’ itakapofungwa jijini Dar,...

READ MORE

SHILOLE HAKUSOMA, ALITELEKEZWA NA WATOTO; LEO NI STAA BONGO!

  ANAITWA Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amezaliwa katika familia ya kimasikini huko Igunga, Tabora. Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto...

READ MORE

WIZKID KUMVUTA P-DIDDY NIGERIA

STAA wa muziki kutoka Kenya, Wizkid amefanikiwa kumshawishi rapa mkongwe kutoka Marekani, P Diddy kwenda nchini Nigeria. Kupitia ukurasa wake...

READ MORE

AMBER LULU, ASIYEFUNZWA NA MAMAYE…… !

SIZUNGUMZII kuhusu mitusi ambayo mwanadada Lulu Eugene ‘Amber Lulu’ alikuwa akivurumishiana na mpenzi wake wa zamani, David Genzi almaarufu kama...

READ MORE