×

Kimataifa

Kijana Ajiandikia ‘R.I.P to Me’ Kabla ya Kujiua

KIJANA Dennis Yego (24) ameishangaza Kenya baada ya kuandika maneno ya kujitakia kifo chema “Rest in peace to me” kupitia...

READ MORE

Mke wa Rais Kagame Atakiwa Kuhojiwa Bungeni

SPIKA wa bunge la Uganda ametoa wito kwa mke wa Rais wa Uganda ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Janet...

READ MORE

Mlinzi Aliyemwamuru Waziri Kupanga Foleni Afukuzwa Kazi

MAHAKAMA nchini Kenya imehalalisha aliyekuwa mlinzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Daizy Cherogony, kufukuzwa kazi kutokana...

READ MORE

Haki za Binadamu Wataka Kifo cha Mwanamuziki Kuchunguzwa

SHIRIKA la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa...

READ MORE

Makaburi Sita ya Umati Yenye Maiti 6000 Yagunduliwa Burundi

KAMISHENI ya Ukweli na Maridhiano ya Burundi imetangaza habari ya kugundua makaburi sita ya umati yenye maiti 6000 katika mkoa...

READ MORE

Mwafrika wa Kwanza Apona Corona “Sikutaka Kupeleka Ugonjwa Afrika”

KEM Senou Pavel Daryl,  kijana raia wa Cameroon aliyepatwa na ugonjwa wa homa kali inayosababishwa na virusi vya Corona, alithibitika...

READ MORE

Babu wa Miaka 78 Arejea kwa Mkewe Baada ya Miaka 26

MZEE Edward Mwangi (78) kutoka Gikangu kaunti ya Murang’a nchini Kenya aliondoka nyumbani kwake miaka 26 iliyopita baada ya kuzozana...

READ MORE

Wachina Wanne Watimuliwa Kenya kwa Kumcharaza Mkenya

  RAIA wanne wa China waliokamatwa na Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao...

READ MORE

Malawi: Mahakama Yatupilia Mbali Rufaa ya Rais Mutharika

MAHAKAMA ya Katiba nchini Malawi imekataa rufaa iliyokatwa na Rais Peter Mutharika ya kupinga hukumu ya mahakama hiyo kumfutia ushindi...

READ MORE

Corona Yapewa Jina Jipya, Waliofariki Wafikia 1,113 – Video

IDADI ya waliofariki kwa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona imefikia 1,113, huku watu 38,800 wakiendelea na matibabu...

READ MORE

Kenyatta Asimulia Mzee Moi Alivyokuwa Mkali – Video

Rais wa awamu ya pili wa Kenya hayati Daniel arap Moi amezikwa hii leo baada ya jeshi kutoa heshima kwa...

READ MORE

Marekani: Kobe Bryant na Mwanaye Gigi Wazikwa kwa Siri

VYOMBO mbalimbali vya habari nchini Marekani vimethibitisha kuwa mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu, Kobe Byrant (41) na mwanaye, Gianna...

READ MORE

Hotuba ya Kikwete, Mkapa, Wakiaga Mwili wa Moi – Video

Marais wastaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete baada ya kutua Jijini Nairobi kwa ajili ya mazishi rasmi ya...

READ MORE

Mazishi ya Rais Moi, Barabara Zafungwa Nairobi

MALORI na magari mengine ya mazigo hayaruhusiwi kutumia barabara kuu ya Nairobi – Eldoret huku maelfu ya waombolezaji wakitumia barabara...

READ MORE

Katibu Mkuu Apata Ajali Akienda Maziko ya Moi

KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Kenya kiitwacho Jubilee, Raphael Tuju,  amepata ajali katika eneo la Magina, Barabara Kuu ya...

READ MORE

Jackie Chan Amwaga Mamilioni kwa Atakayegundua Kinga ya Corona

NYOTA wa filamu za kichina, Jackie Chan ametangaza donge nono la Yuan milioni moja (wastani wa milioni 330 za kitanzania)...

READ MORE

Staa wa Zamani Brazil ‘Pele’ Hoi

MTOTO wa mchezaji soka wa zamani wa  Brazil, Edson Cholbi do Nascimento, amesema baba yake, Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’,...

READ MORE

MAMBO 12 USIYOYAJUA Kuhusu Moi

Stori: GABRIEL MUSHI NA AMINA SAID, Ijumaa WAKATI Wakenya na dunia kwa jumla wakiomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Pili...

READ MORE

Wanajeshi Wavamia Bunge Wakishinikiza Kuidhinishiwa Mkopo

    WANAJESHI na maofisa wa polisi wenye silaha nchini El Salvador wamevamia bunge, wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Colorado Kuanza Kutoa Digrii ya Bangi

    Chuo Kikuu cha Jimbo la Colorado eneo la Pueblo nchini Marekani kitaanza kutoa digrii katika masuala ya bangi...

READ MORE

Mchungaji Auza Mafuta ya Kuzuia Corona

Kiongozi wa Kanisa la International God’s Way la Ghana, Askofu Daniel Obinim ametangazia wafuasi wake kuwa anauza mafuta yanayoweza kuwakinga...

READ MORE

Waliofariki kwa Virusi vya Corona China Wafikia 811

IDADI ya waliokufa kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona nchini China imeongezeka kwa vifo 89 na kufikia watu 811....

READ MORE

Kenyatta na Mkewe Waaga Mwili wa Rais Moi

  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewaongoza wananchi wa Kenya, kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Daniel arap...

READ MORE

Waliokufa kwa Corona China Wafikia 722

IDADI ya vifo vinavyotokana na maambukizi ya mripuko wa virusi vya Corona imeongezeka na kufikia watu 722, ikipindukia rekodi ya...

READ MORE

Mke wa Waziri Mkuu Kortini kwa Kumuua Mke Mwenza

MKE wa Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane, Maesiah Thabane jana alipandishwa kizimbana kwa tuhuma za kumuua mkwe wa kwanza...

READ MORE

Spika Aichanachana Hotuba ya Rais Trump Mbele Yake

BAADA ya Rais wa Marekani, Donald Trump,  kususia mkono wa Spika wa Bunge la Wawakilishi nchini Marekani, Nancy Pelosi,  spika...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Rais Zuma Akamatwe

MAHAKAMA ya juu ya Pietermaritzburg nchini Afrika Kusini imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma....

READ MORE

Wapinzani Wataka Kiongozi Aliyemkashifu Rais Aachiwe

MWANASIASA wa muungano wa upinzani wa Lamuka nchini Congo DR unaoongozwa na Martin Fayulu, wamevitaka vyombo vya usalama kumwachilia huru...

READ MORE

Nzige Janga la Kitaifa Somalia

SERIKALI  ya Somalia imetangaza uvamizi wa nzige wa jangwani kuwa janga la kitaifa kwani wadudu hao wamekuwa tishio kubwa kwa...

READ MORE

Marekani Yasema Virusi vya Corona ni Fursa Kwao

KATIBU wa masuala ya kibiashara nchini Marekani, Wilbur Ross, amesema  mlipuko mbaya wa virusi vya Corona nchini China unaweza kuinua...

READ MORE

Brexit: Uingereza Yajitoa Rasmi Umoja wa Ulaya

UINGEREZA imeondoka rasmi katika Umoja wa Ulaya saa sita usiku tarehe 31 Januari 2020 kwa saa za Brussels, Ubelgiji kwa...

READ MORE

Mahakama Yazuia Wananchi Kusajiliwa kwa Alama za Vidole

MAHAKAMA Kuu ya Kenya imesitisha kutekelezwa kwa mfumo wa usajili wa wananchi kwa njia ya alama za vidole hadi hapo...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Asifu Mwanzo Mpya Baada ya Brexit

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ameusifu mwanzo mpya kwa Uingereza wakati ikijiandaa kuondoka Umoja wa Ulaya baada ya miaka...

READ MORE

Bunge la Ulaya Lapitisha Uingereza Kujitoa EU

WABUNGE wa bunge la Umoja wa Ulaya (EU) wamepitisha kwa wingi sheria inayoruhusu Uingereza kuondoka kwenye umoja huo, maarufu kama...

READ MORE

Amuua Mama’ke, Mpwa kwa Kula Mayai

WINGU la simanzi limetanda kijiji cha Makundi kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya jamaa mmoja wa miaka 28 kumuua...

READ MORE

Taliban Waua Watu 13 Afghanistan

Takribani wanajeshi 13 wa Afghanistan wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati wapiganaji wa Taliban walipovishambulia vituo vya ukaguzi wa usalama...

READ MORE

Trump, Netanyahu Waja na Mpango wa Amani

Rais wa Marekani Donald Trump amewasilisha mpango kazi kuhusu Mataifa ya Mashariki ya Kati ambao ulikwa ukisubiriwa kwa muda mrefu,...

READ MORE

Mgonjwa wa Virusi Vya Corona Ahofiwa Ivory Coast

Maofisa wa afya nchini Ivory Coast wamesema wanahofia kuwa na mgonjwa mwenye virusi vipya vya Corona.   Waziri wa Afya...

READ MORE

Ubalozi wa Marekani Nchini Iraq Washambuliwa Tena

MAREKANI imeitolea mwito Iraq kulinda majengo yake ya kidiplomasia baada ya ubalozi wake mjini Baghdad kushambuliwa kwa maroketi matatu.  ...

READ MORE

Corona: China Kujenga Hospitali Siku 6 Kuokoa Waathirika

MJI wa Wuhan nchini China unaharakisha kujenga hospitali mpya kusaidia kutibu wagonjwa waliokumbwa na virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu...

READ MORE