Browsing Category
Kitaifa
BoT: Utalii Waanza Mwaka 2025 Ukiongoza Kuleta Fedha Za Kigeni
Ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania imethibitisha kuwa sekta ya utalii (travel and tourism), pamoja na kumaliza mwaka wa kalenda wa 2024 ikiongoza katika sekta zote nchini Tanzania kwa kuingiza fedha za kigeni, imeianza tena mwaka 2025…
TFF Yavifungia Viwanja Vitatu Vya Ligi Kuu Kwa Kutokidhi Vigezo
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kushindwa kufikia vigezo vya kikanuni na sheria za…
Yanga Na TANESCO Waligharamia Mazishi Ya Shabiki Aliyefariki Kwa Shoti Ya Umeme Uwanjani Mkapa
Shabiki wa Yanga kutoka jijini Mbeya, Herman Sungura, aliyefariki dunia Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kwa kudaiwa kupigwa na shoti ya umeme, aliagwa jana katika Hospitali ya Polisi Kurasini.
Klabu ya…
Watanzania Wamheshimisha Dk. Biteko Kili Marathon Leo
Kilimanjaro, 23 Februari 2025: Wanariadha wa Kitanzania wameng'ara katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro mwaka huu, ambapo Hamis Misai alishinda nafasi ya kwanza mbio za kilomita 42.2 kwa muda wa saa 2:20:45, katika mbio…
Serikali Yaanika Mikakati ya Kukabiliana na Changamoto za Wanyamapoli Wakali
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeainisha mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Wilaya ya Mbarali, ambapo imesema…
NMB Yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia Kufungua
BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT Taifa), unaofunguliwa leo Jumanne Aprili 23 na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ukiwakutanisha…
Hifadhi ya Taifa Saadani Yatakiwa Kuwa na Mpango Mahususi wa Maeneo ya Uwekezaji
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi wa kuainisha maeneo ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya…
Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii Yaridhishwa na Mradi wa UVIKO-19 Pugu…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na matumizi ya fedha za mradi wa UVIKO-19 za kuboresha miundombinu ya utalii katika Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi uliogharimu takribani…
Halotel Yasherehekea Siku ya Wanawake Duniani Kwa Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima Malaika
Halotel kuonesha dhamira yao katika kujali jamii iliweza kutembelea kituo cha watoto yatima cha Malaika kilichopo Mwananyama - Mango Garden katika kukaribisha sherehe za sikuukuu ya Wanawake mwaka 2024.
Halotel Tanzania imetoa msaada…
CUBA na Tanzania Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano Katika Maeneo ya Kimkakati
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba, nchini Tanzania, Mhe. Yordenis Despaigne Vera. Katika Mazungumzo hayo Dr. Nchimbi na Mhe. Balozi Vera…
Absa Tanzania Yazindua Akaunti ya Kipekee ya ‘Absa She Business Account’ Kukomboa…
Wito umetolewa kwa benki na taasisi za fedha nchini kufanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kuzingatia sheria, kanuni, taratibu, na miongozo, ikiwa ni pamoja na maadili ya kibenki, katika kutoa huduma ili ziweze kuwa na tija.…
Mollel, Nkya Watikisa Michuano ya Gofu Kumuenzi Lina
NURU Mollel wa klabu ya Arusha Gymkhana na Fadhil Nkya kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika michuano ya kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya gofu Lina Nkya iliyofanyika viwanja vya gofu vya TPC,…
Waziri Kairuki Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani anayehusika na masuala ya Afrika, Mhe. Katja Keul kuhusu namna bora ya kushirikiana katika…
Waziri Kairuki Azindua Vitendea Kazi Vya Doria Misituni Vyenye Thamani Ya Tsh bILIONI 6
• Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari…
Exim Yajivunia Mafanikio Mwaka 2023, Yaongeza Faida kwa Asilimia 36
Benki ya Exim imetangaza ripoti yake ya kifedha ya Mwaka 2023, inayoonesha mafanikio makubwa katika njanja mbalimbali ikiwemo ongezeko la faida kabla ya kodi kwa asilimia 36, kutoka kiasi cha TZS bilioni 67.8 mwaka uliopita…
Maadhimisho Miaka 47 ya CCM, Mbunge Cherehani Atoa Madawati 975
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili kuimarisha…
CRDB Yazindua Msimu wa Tatu wa Kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’
Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 mamilioni kwa wateja…
Hakielimu, Chuo Kikuu HAMK Kuimarisha Elimu ya Undi na Mafunzo Tanzania
Mkuu wa Uchumi na Utawala Umoja wa Ulaya, Karina Dzialowska (wa pili kushoto) pamoja na Afisa wa Umoja wa Ulaya nchni Tanzania, Agnes Hano (wa pili kulia) wakizindua rasmi Mradi wa Kuimarisha Ushirikiano na Uendelezaji wa Sekta ya…
Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Mwa Afrika Wasaini Katiba ya Usimamizi Shule ya…
Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakisaini Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), eneo la Kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania.
Kuanzia katikati…
Prof. Joyce Ndalichako Akabidhi Mashamba na Vitendea kazi Kwa Vijana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (Mb) amekabidhi mashamba na vitendea kazi kwa vijana 268 waliopo kwenye programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) katika eneo la…
NMB Yazindua Akaunti Ya NMB Pesa, Isiyokuwa Na Makato Ya Mwezi
Benki ya NMB imeanzisha kampeni kubwa ya kuhamasisha na kuwawezesha watu wengi kufungua akaunti ili waweze kunufaika na faida za kuwa sehemu ya mfumo rasmi wa fedha.
Kampeni hiyo inayoitwa “NMB Pesa Haachwi Mtu” ilitangazwa jana jijini…
Waziri Makamba Akutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas, Mhe. Alfred M. Sears pembezoni mwa l Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi…
Halotel yamzawadia Gari Mpya Mshindi wa Kampeni Kabambe ya Kivumbi na Halotel
Kampuni ya simu ya Halotel leo imetoa na kukabidhi zawadi kubwa ya gari aina ya Mazda CX5 kwa mshindi wa kampeni hii iliyokwenda kwa jina la “Kivumbi na Halotel” Kampeni hiyo ilizindulia kwa lengo la kutoa zawadi kwa watumiaji wa…
CRDB Bank Foundation, UNDP Kuwezesha Wajasiriamali Wanawake na Vijana
*CRDB Bank Foundation, UNDP kuwezesha wajasiriamali wanawake na vijana kunufaika na fursa za AfCFTA*
Taasisi yetu ya CRDB Bank Foundation leo imesaini mkataba wa ushirikiano wa miaka 5 na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa…
Halotel Yafanya Usafi Soko La Makumbusho
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel pamoja na wafanyakazi wake wemeshiriki katika zoezi la usafi soko la Makumbusho jijiji Dar es Salaam katika kusherehekea Sikukuu za mwisho wa mwaka.
Aidha, mazingira safi na salama huchochea…
Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema
Mkurugenzi Mtendaji, Uongozi na Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wanawatakia wasomaji wa magazeti yetu na Watanzania kwa ujumla Krismasi Njema yenye upendo na Amani.
Mhandisi Luhemeja: Tufanye Kazi Kwa Ushirikiano na Kutangaza Mafanikio Yetu
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amefanya kikao kazi na watendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kiutendaji.
Kikao kazi…
OSHA Yaagizwa Kusajili Maeneo Yote ya Kazi nchini Ifikapo Juni 2024
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeagizwa kusajili maeneo yote ya kazi nchini pamoja na kuhakikisha kwamba maeneo hayo yanapatiwa miongozo ya namna ya kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vya magonjwa na ajali hadi…
Wafanyakazi Benki ya NBC, Wadau Waanza Safari Kuitambulisha POS ya NBC Mlima Kilimanjaro
Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na wadau mbalimbali wa utalii mkoani Kilimanjaro wameanza safari ya kihistoria ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kufikisha mashine ya kufanyia miamala (POS Machine) ya benki hiyo…
Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile Akabidhi Kontena Lenye Vifaa vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi
Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi vyenye thamani ya Tsh. bilioni 1.8 leo December 16,2023, vifaa…
Sekta Binafsi Kushirikishwa Masuala ya Maji
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka Watendaji wa Wizara ya Maji kutekeleza miradi kwa weledi, viwango na kuzingatia uadilifu.
Mhe. Aweso amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa wadau wa Sekta ya Maji katika Ukumbi wa…
Benki Ya NBC Yazindua Kampeni Ya”Tabasamu Tukupe Mashavu’’ Kumwaga Zawadi Kwa Wateja Msimu Wa…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni yake ya msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka inayofahamika kama "Tabasamu Tukupe Mashavu," ikilenga kutoa zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu, vocha za manunuzu na punguzo la bei…
Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maji Kufanyika Arusha
Waziri wa Maji Jumaa Aweso anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa sekta ya maji utakaofanyika kwa siku mbili jijini Arusha.
Mkutano huo utafanyika kuanzia tar 13 hadi 14 mwezi huu katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC …
Kampuni ya Bima ya Phoenix Tanzania yabadilisha jina kwenda MUA Tanzania
Kampuni ya Bima ya Phoenix Tanzania yabadilisha jina kwenda MUA Tanzania kuakisi ubora na ukuaji wa huduma
Dar es Salaam, Tanzania – Kampuni ya Phoenix Assurance Tanzania, mtoa huduma mkuu wa bima, imetangaza kubadili jina kwenda MUA…
Benki ya NBC, Wafanyakazi Wakabidhi Msaada Kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) sambamba na wafanyakazi wa benki hiyo leo wamekabidhi msaada wa fedha taslimu kiasi cha sh milioni 10, chakula, nguo na mablanketi kwa wahanga wa mafuriko Wilayani Hanang, mkoani Manyara.
Msaada huo…
CRDB leo Yakabidhiwa Cheti cha Viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA
Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao…
Kesi ya Shambulio la Mwili Kusikilizwa Jumatatu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili jumatatu inayomkabili mfanyakazi wa benki, Ibrahim Masah ambaye anatuhumiwa kumshambulia kwa nyundo jirani…
Tanesco Watoa Tamko Kuhusu Hitilafu Iliyojitokeza Katika Gridi ya Taifa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika Gridi Taifa leo tarehe 08 Disemba 2023 majira ya saa 04:14 asubuhi, hitilafu hiyo ilipekea mikoa inayopata umeme kutoka katika Gridi ya Taifa…
Benki ya NBC, Taasisi ya Benjamini Mkapa Wazindua Ufadhili wa Mafunzo ya Ukunga kwa Wauguzi 50
Morogoro, Benki ya NBC kwa kushirikaina na taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation wamezidua rasmi utekelezaji wa mpango wa ufadhili wa masomo ya ukunga kwa wauguzi 50 kati ya 100 wanaonufaika na mpango huo ikiwa ni muendelezo wa jitihada…