×

Kitaifa

Kampeni Ya Tumaini Yafika Zanzibar, Yas Yatoa Vifaa Vya Uzazi Mwera Pongwe

Zanzibar, Septemba 18, 2026 – Kampeni ya Tumaini ya Yas Tanzania imefika Zanzibar, ambapo kampuni hiyo imekabidhi vifaa vya uzazi...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Burudani Mpya ya Kasino Kupitia Fortune Farm

Mchezo mpya unapofika kwenye ulimwengu wa kasino, mashabiki hutafuta kitu kinachoweza kuongeza ladha ya burudani yao. Fortune Farm ya Meridianbet...

READ MORE

Dereva Bodaboda Afungwa Miaka 30 Jela kwa Kumbaka Mwanafunzi Kigoma

UVINZA, KIGOMA — Mahakama ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Rajabu Uhuru (36), dereva...

READ MORE

Niffer Afunguka Kuhusu Hali Ya Kiredio “Hayuko Sawa Kwa Sasa”

Baada ya shabiki kumuomba mfanyabiashara maarufu nchini, Jennifer Bilikwija, anayefahamika zaidi kwa jina la Niffer, atafute namna ya kuwasiliana na...

READ MORE

Taifa Stars Kuanza Kampeni ya AFCON 2027 Dhidi ya Guinea-Bissau

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kuanza kampeni yake ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 19, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Ndejembi Aagiza Dampo la Pugu Liboreshwe, Kero za Wananchi Zitatuliwe – (Video +Picha)

DAR ES SALAAM — Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa Wamiliki wa Mabasi Nchini

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao...

READ MORE

Lissu Afunga Ushahidi, Hoja za Mwisho Kesi ya Uhaini Kusikilizwa Septemba 23 – Video

Dar es Salaam, Septemba 18, 2026: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeingia katika hatua nyingine...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Amteua Othman Masoud Kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais -Video

Zanzibar, Septemba 18, 2026: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Othman Masoud...

READ MORE

Rais Mwinyi Amteua Hafsa Mbamba Kuwa Naibu Mkurugenzi ZIPA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Hafsa Hassan Mbamba kuwa Naibu Mkurugenzi...

READ MORE

Jinsi ya Kuishi na Mwanaume Mkorofi Bila Kupoteza Amani Yako

Wapo wanaume wengi huwa wakorofi kwa wake zao au wapenzi wao na wanaume wa aina hii wapo wengi. Ukiwa na...

READ MORE

Aunty Ezekiel na Kusah Wawasha Instagram kwa Picha za Mahaba

STAA wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel, amemwandikia ujumbe wa kimahaba mume wake, mwanamuziki, Salmin Ismail Hoza ‘Kusah’, katika kusherehekea siku...

READ MORE

Wafanyakazi Puma Energy Waungana Kusherehekea Vituo 100

Dar es Salaam, 19 Septemba 2026: Wafanyakazi wa Puma Energy Tanzania wamekutana jijini Dar es Salaam katika tukio la pamoja...

READ MORE

Kikwete Atoa Ujumbe Mzito kwa Wanaume Kuhusu Saratani ya Tezi Dume

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amewataka wanaume kujenga utamaduni wa kupima afya ya tezi dume...

READ MORE

Mpiga Picha Mkongwe na Mwanzilishi wa ITV, Mzee Abdalah Haji Afariki Dunia

  MPIGA picha mkongwe na mmoja wa waajiriwa waanzilishi wa ITV, Mzee Abdalah Haji, amefariki dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Carrymastory Aibua Siri ya Kesi ya Milioni 600 Anayodai Kufunguliwa na Hamisa

Mtayarishaji wa maudhui mtandaoni anayefahamika kwa jina la Carrymastory ameeleza kushtushwa na hatua ya kisheria anayodai kuchukuliwa dhidi yake na...

READ MORE

Safari Mpya ya Burudani Yaanza Meridianbet Kupitia Chicago Gold 2

Wapenzi wa burudani za kasino, safari mpya imeanza rasmi Meridianbet. Mchezo mpya kabisa wa Chicago Gold 2 kutoka Games Global...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 18, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mahusiano Ya Uwoya, Wolper Na Kajala Yazua Gumzo — Nini Kipo Nyuma Ya Pazia?

Mambo ya mapenzi yamechukua nafasi katika mazungumzo ya mastaa wa Bongo, huku majina ya Irene Uwoya, Jacqueline Wolper, Kajala Masanja...

READ MORE

ACT Wazalendo Yafanya Uteuzi wa Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo imefanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kuwa Makamu wa Kwanza...

READ MORE

Pablo Franco Atoa Somo Morocco, Atwaa Tuzo Ya Kocha Bora

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC ya Tanzania na AmaZulu ya Afrika Kusini, raia wa Hispania, Pablo Franco...

READ MORE

Mchora Katuni Kinyagulo Tuzo ‘King Kinya’ Afariki Dunia Morogoro

Mchora katuni maarufu nchini, Kinyagulo Tuzo almaarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi...

READ MORE

Mixx, Zangof Waunganisha Nguvu Kuwezesha Asasi Za Kiraia Zanzibar

Zanzibar, Septemba 16, 2026 – Asasi za kiraia Zanzibar zitapata fursa ya kutumia huduma za kifedha za kidijitali kusimamia malipo,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 17, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Chanuo Nchakali Afunguka Kiki ya Ndoa na YJ Kiboko – Video

Msanii wa filamu Bongo, Chanuo Nchakali, amefunguka kuhusu sakata la kiki ya ndoa kati yake na msanii wa Bongofleva, YJ...

READ MORE

Binti wa Miaka 24 Afariki Akidaiwa Kuamulia Ugomvi wa Rafiki Zake Arusha – Video

Arusha. Binti mwenye umri wa miaka 24, Irene Mallya, mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara jijini Arusha, amefariki...

READ MORE

Baada ya Miaka 6, Céline Dion Aitingisha Ufaransa kwa Shoo ya Kihistoria

NANTERRE, UFARANSA — Mwanamuziki mashuhuri wa Canada, Céline Dion, amerejea jukwaani kwa kishindo baada ya zaidi ya miaka sita bila...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 16, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Lissu Ataka Kukutana na IGP Wambura, CDF Mkunda na Kingai Kupanga Mkakati wa Ushahdi wa Kesi

Dar es Salaam. Tundu Lissu ameiambia Mahakama kuwa John Heche ndiye shahidi wake wa mwisho kutoka miongoni mwa mashahidi raia, akieleza...

READ MORE

Tanzania Yaweka Lengo la Kuwa Kitovu cha Tiba ya Saratani Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika kinga, uchunguzi na...

READ MORE

Ajira Mpya 678 Serikalini, Madaktari na Walimu, Mwisho wa Maombi Sept 17, 2026

Dodoma, Septemba 3, 2026 — Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kwa niaba ya Tangazo hilo lenye Kumb....

READ MORE

Heche: Lissu Hakutupa Maelekezo ya Kuzuia Uchaguzi wala Kuhamasisha Uasi

Dar es Salaam. Shahidi John Heche ameiambia mahakama kuwa Tundu Lissu hakuwahi kuwapa maelekezo ya namna ya kuzuia Uchaguzi Mkuu,...

READ MORE

Sokabet Yatumia Sh44.7 Bilioni Kuwazawadia Washindi Wa Mwezi Agosti

Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sokabet imetumia jumla ya Sh44, 658,787,637 kuwazawasia washindi mbalimbali kwa mwezi...

READ MORE

Chukua Mkwanja Mapema na Meridianbet, Elche na Real Madrid Kukiwasha

Je unajua kuwa leo ndiyo ile siku ambayo unaweza ukaondoka na pesa za kutosha kutoka Meridianbet?. Mechi kibao za ushindi...

READ MORE

Hizi Ndio Adhabu 7 Zinazoweza Kukupata Baada ya Hukumu ya Mahakama

Watu wengi hawajui adhabu zinazotolewa na mahakama. Baadhi yao hujua adhabu mbili tu, kufungwa aukunyongwa kulingana na kosa la mtu...

READ MORE

Emmy Awards 2026: ‘Widow’s Bay’ Yashinda Comedy Bora, ‘The Pitt’ Drama Bora

LOS ANGELES — Tamasha la 78 la Tuzo za Emmy limefanyika Jumatatu, Septemba 14, 2026, katika ukumbi wa Peacock Theater...

READ MORE

Makonda Awasili Camp Nou, Akutana na Laporta kwa Ajili ya Soka Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameanza ziara nchini Hispania na kutembelea klabu ya FC Barcelona, ambako...

READ MORE

Mwanamume Apigwa Risasi Akidaiwa Kujaribu Kuvamia Benki Mwanza – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limethibitisha kifo cha mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35, baada ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 15, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE