×

Kitaifa

Manyara: Ajali Yaua 6 Akiwemo Padri

Watu sita akiwemo padri wa kanisa katoliki parokia ya Masaktas jimbo la Mbulu mkoani Manyara, Sixtus Masawe wamefariki dunia katika...

READ MORE

Bavicha: Mdee, Wenzake Wasaliti Waadhibiwe – Video

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Taifa, John Pambalu, amesema, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walishatoa msimamo kuhusu...

READ MORE

Mbunge Gwajima Atua Kunduchi Kushuhudia Volkano ya Matope – Video

MBUNGE wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ametembela eneo lililogunduliwa kuwa na Volkano ya matope huku ardhi yake ikiwa inatitia huko...

READ MORE

NMB Yasapoti Tamasha la Siku ya Mlipa Kodi Manispaa ya Ilala

    Kongamano la Siku ya Mlipa Kodi Manispaa ya Ilala, limefunguliwa leo Jumatano Novemba 25, huku Benki ya NMB...

READ MORE

Wakulima Watakiwa Kuchukua Mikopo ya Pembejeo

Wakulima wa mkoa wa Katavi wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na taasisi za kifedha katika kuchukua mikopo ya pembejeo ili kuinua...

READ MORE

RC Malima Aunda Kamati Kuchunguza Kuungua Bweni

MKUU wa mkoa wa Mara, Adam Malima, ameunda kamati kwa ajili ya kuchunguza moto ulioteketeza bweni la wavulana la shule...

READ MORE

Kimenuka Chadema! Mdee, Wenzake Waitwa Kujieleza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema  hakiwatambui wabunge wanawake 19 wa viti maalumu wa chama hicho wakiwemo Halima Mdee,...

READ MORE

Walimu ‘Wadanganyifu’ Mitihani Darasa la 7 Kutua Takukuru

WALIMU waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri...

READ MORE

Walanguzi wa Saruji Watangaziwa Kiama

WAFANYABIASHARA wanaouza saruji kwa bei ya ulanguzi, wameonywa kuchukuliwa hatua kadhaa, ikiwamo kushtakiwa na kufungiwa biashara. Onyo hilo limetolewa na...

READ MORE

RC Kunenge Atoa Maagizo JKT Kukabidhi Majengo ya Hospitali ya Ubungo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameridhishwa na hatua ya Ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya...

READ MORE

Walioisababishia Hasara ya Mamilioni TCRA Wahukumiwa – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imewahukumu watu wawili kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya...

READ MORE

Chadema: Hatujapeleka Majina ya Viti Maalum NEC

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema  chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na...

READ MORE

Spika Awaapisha Mdee, Wenzake Kuwa Wabunge – Video

WABUNGE 19 wa Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Halima Mdee, wameapishwa leo katika viwanja...

READ MORE

JPM Amteua Mwakyembe, Dkt. Shein

RAIS John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe akichukua nafasi...

READ MORE

Kauli ya Zitto Kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z’bar

KIONGOZI Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema, hadi sasa chama hicho hakijafanya uamuzi kuhusu ushiriki wake katika uundwaji wa Serikali ya Umoja...

READ MORE

Babu (67) Atuhumiwa Kumpa Mimba Mjukuu Wake

POLISI mkoani Tabora inamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 67, Saidi Abdulatif Tumaini, mkazi wa Kata ya Ng’ambo katika manispaa...

READ MORE

Mbatia Awageukia Viongozi wa Dini

MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amewataka viongozi wa kidini kutumia ndimi zao vizuri, kukubaliana na  maslahi ya Tanzania kwanza na...

READ MORE

Unakosaje Vitu vya Chee Kama Bure Kabisa – Video

  TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara wa vitu mbalimbali vya majumbani kwa bei chee....

READ MORE

Kunenge Awapongeza Wauguzi Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Aboubakar Kunenge, amewapongeza wauguzi wa mkoa huo kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya...

READ MORE

Wateja wa Nmb Watengewa zawadi za Milioni 200  

  Benki ya NMB imezindua kampeni kabambe ya kufunga mwaka inayolenga kuchagiza matumizi ya kadi za NMB Mastercard na QR  miongoni...

READ MORE

Nmb Yatoa Misaada Wilaya Ya Kilwa Sekta Ya Afya Na Elimu

Benki ya NMB imetoa misaada kwa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi katika sekta ya afya na elimu yenye jumla ya...

READ MORE

TBS Yateketeza Vipodozi vya Milioni 125 Vyenye Viambata Sumu

Na Mwandishi wetu- Arusha Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza vipodozi  vyenye viambata sumu  vya thamani ya Shilingi milioni 125...

READ MORE

RC Kunenge Akasirika Ujenzi Daraja la Ulongoni “A”

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi wa kampuni ya CICO...

READ MORE

Mwenyekiti, Mtendaji wa kijiji Matatani kwa Ufisadi

WANANCHI wa vitongoji vitano vya Majengo, Nkalango, Mabambasini, Bombani na Kampuni katika Kijiji cha Ibutamisuzi kata ya Mbutu wilayani Igunga...

READ MORE

Jatu PLC Yaorodheshwa Kwenye Soko La Hisa la Dar es Salaam

IMEELEZWA kuwa utendaji na uongozi madhubuti wa Rais Dkt. John Joseph Magufuli katika kuweka mikakati na mazingira wezeshi, shirikishi na...

READ MORE

Kilichotokea Bweni la Sekondari ya Loreto Mwanza Likiungua Moto

BWENI la Shule ya Sekondari ya Wasichana Loreto iliyopo wilayani Ilemela limeteketea kwa moto, huku wanafunzi zaidi 100 wakinusurika katika...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Matokeo Darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza watahiniwa kumi bora kitaifa katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi...

READ MORE

Shule 10 Bora, 10 za Mwisho Matokeo Darasa la 7

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika na 8 Oktoba 7 na 8,...

READ MORE

Maajabu ya Frirauni! Ukizikwa Unarudi Juu Kesho

UKISTAAJABU ya Musa utaona ya Firauni. Baadhi yetu tunamjua Musa ambaye Mungu akin‑ alia uhai huko mbele siku moja nitamzungumzia...

READ MORE

Volcano ya Tope Yaibuka Kunduchi, RC Kunenge Awataka Wakazi Kuhama

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge akiongozana na wajumbe wa kamati ya usalama ya Mkoa, leo,...

READ MORE

Ajali yaua watu watano Handeni

    Watu watano wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya magari mawili ya mizigo kugongana uso kwa uso wilayani...

READ MORE

Shule 38 Zafutiwa Matokeo Darasa la Saba, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia matokeo watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani ya kuhitimu darasa...

READ MORE

Polisi Tz, Msumbiji Kufanya Oparesheni Pamoja

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Msumbiji, Bernadino Rafael, wamekubaliana...

READ MORE

Kabudi Amwakilisha JPM Kimataifa, Aanika Haya…

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuendelea kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kulinda amani na kuhakikisha...

READ MORE

Matokeo Darasa la Saba 2020 Yatangazwa, Tazama Matokeo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) leo Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba...

READ MORE

Mwinyi Aapisha Mawaziri, Awapa Maagizo Mazito – Video

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, amewashukuru mawaziri wote...

READ MORE

Maalim Seif Akiri Kupokea Barua ya Rais Mwinyi

MWENYEKITI wa ACT-Wazalendo ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliopita, Maalims Seif, amekiri...

READ MORE

Katibu Tawala Arusha Asisitiza Waajiri Kuweka Mifumo Madhubuti Ya Kuwalinda Wafanyakazi Dhidi ya Magonjwa

Katibu tawala Mkoa wa Arusha Mhe. Richard Kwitega amewasisitiza waajirimkoani Arusha kuweka mifumo madhubuti ilikuwalinda wafanyakazi dhidi ya magonjwa na...

READ MORE