×

Kitaifa

Mwanafunzi UDSM Mbaroni kwa Kusambaza Taarifa na Uongo Covid-19

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo...

READ MORE

Global Kuwatunuku Mawakala, Wauzaji Magazeti na Wasomaji

  TIMU ya masoko wa Global Publishers ikiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo, Antony Adam, leo Jumamosi, Aprili 11, 2020,...

READ MORE

Babu Miaka 75 Auawa na Kufungwa Kamba

  MZEE Arusha Nziku (75) mkazi wa wilaya ya Wanging’ombe mkaoni Njombe, amekutwa amefariki nyumbani kwake huku akiwa amefungwa kamba...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuua Mkewe kwa Fumanizi

PASTORY MAJURA (52) mkazi wa kijiji cha Nyamanga, Ukerewe, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe, Anusiata James (52) ...

READ MORE

Tanzia: Wafanyakazi Wawili TBC Wafariki Dunia

IKIWA ni takriban siku kumi tangu kumpoteza nguli na mwandishi fundi wa habari, Marin Hassan Marin, Shirika la Utangazaji la...

READ MORE

Jela Maisha kwa Kumbaka na Kumlawiti Mwanae wa Kumzaa

MAHAKAMA ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imemuhukumu Hezron Ndone (44) mkazi wa Joshoni, Kata ya Mji Mwema mjini Njombe...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafikia 9

WIZARA ya Afya ya Zanzibar imesema wagonjwa wawili wa corona wameongezeka visiwani humo na kufanya idadi ya wanaougua ugonjwa huo...

READ MORE

Takukuru Siha Kirimanjaro Yaokoa Mamilioni ya Fedha Zilizodhulumiwa 

  Taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kurejesha fedha kiasi cha shilingi milioni saba...

READ MORE

Mwanamke Kinara wa Wizi wa Mtandaoni Anaswa

JESHI  la polisi mkoani Dodoma limemkamata mwanamke mmoja Grace Rauwo Miaka 31 mkazi wa MTONI KWA AZIZI ALLY Jijini Dar...

READ MORE

Tamko la Polisi Dar Kuhusu ‘Level Seat’, Bodaboda Mjini – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, limewapongeza wamiliki na watumiaji wa vyombo vya usafiri jijini Dar es...

READ MORE

Askofu Gwajima Aomba Radhi RDC Kuhusu Kauli ya Corona

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na uzima Josephat Gwajima amesema kuwa ameomba radhi kwa wananchi wa DRC Congo mara baada...

READ MORE

Waziri Jafo Awasilisha Bajeti ya TAMISEMI 2020/21 – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameliomba bunge la Jamuhuri...

READ MORE

Corona: Waziri Ummy Awapa Maagizo Viongozi wa Dini – Video

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu leo Aprili 09 ametoa rai kwa viongozi wa...

READ MORE

Kinyerezi Walichangamkia Betika, Waeleza Linavyowapa Mkwanja

MAPEMA leo Jumatano, Aprili 8,2020,  timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Kinyerezi, Tabata migombani na maeneo...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Wafikia 25 Tanzania

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza kwa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini...

READ MORE

Championi Baba Lao, Lazidi Kutikisa na Ndinga Mpya!

  Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kinyrezi, Tabata migombani na maeneo mengine  wameendelea ...

READ MORE

Mmiliki wa JamiiForums Ahukumiwa Jela au Faini Mil 3 – Video

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forum, Maxece Mello kulipa faini ya Sh.Mil 3 ama kwenda...

READ MORE

CAG: EWURA Imepoteza Lita Bil 1.4 za Petroli

MAMLAKA ya Usimamizi wa Nishati na Maji (EWURA) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu...

READ MORE

Mvua Za Mwaka 2019 Zimevunja Rekodi-TMA

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mwaka 2019 umeweka historia ya pekee kwa kuwa wa nne kihistoria kwa...

READ MORE

Kigwangalla: Kutumbuliwa Siyo Shida Kwangu, Nishachoka!

KUFUATIA Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG) ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30,...

READ MORE

Ujasiri ni Muhimu Katika Kumkomboa Mwanamke

Wanawake nchini wameshauriwa kuwa na ujasiri katika kutafuta na kulinda haki yao katika familia kama nyenzo muhimu ya kuwaepusha na...

READ MORE

CAG: Maliasili Wametumia Bil 2 Kinyume cha Utaratibu

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) imebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na...

READ MORE

Corona: Trump Aumizwa Waziri Mkuu wa Uingereza Kupelekwa ICU

RAIS wa Marekani Donald Trump ameungana na viongozi wengine duniani, kutoa pole kwa swahiba wake, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yaibua Madudu “Marehemu Wamelipwa Mishahara”

Ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali [CAG] jana April 6, 2020 imewasilisha ripoti yake ya ukaguzi...

READ MORE

Mkandarasi Yamkuta! Azuiwa Kutoka Nje ya Mkoa

MKANDARASI wa mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa...

READ MORE

Mbowe Atoka Karantini, Atinga Bungeni na “Corona” – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amesema #CoronaVirus ni janga ambalo linapaswa kupewa uzito kama ambavyo...

READ MORE

Corona Virus: Ubalozi wa Tanzania Wafungwa Marekani

Barua toka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, kwenda kwa viongozi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Marekani.    

READ MORE

Majaliwa Aonya Wakuu wa Mikoa Wanaotoa Matamko ya Corona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amewaonya baadhi ya viongozi wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kutoa matamko na...

READ MORE

Mbunge Agoma Kukaa Karantini, Aambukiza Wawili

Mbunge wa Konde (CUF), Khatibu Said Haji, amemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aingilie kati ikiwezekana kumchukulia hatua stahiki, Waziri wa...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 24

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, ametangaza uwepo wa wagonjwa wengine wapya wanne wa maambukizi ya virusi vya corona...

READ MORE

Meya Jacob Atangaza Kutogombea Tena

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kutogombea tena nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Kuhusu #Coronavirus

MTU mmoja aliyetambulika kwa majina ya African John Mlay (58) Mkazi wa Kiboroloni, Moshi anashikiliwa na  polisi mkoa wa Kilimanjaro...

READ MORE

Bibi wa Miaka 100 Asotea Mafao Miaka 37

DAR: MIAKA 37 unasotea mafao serikali si jambo dogo, lakini bibi kizee, Edina Kambona ‘100’ mkazi wa Mbagala Kwamagai, Dar...

READ MORE

Corona: Wasafiri Kutoka Nje Wapelekwa Karantini UDSM

SERIKALI imetangaza rasmi kuwa wasafiri wote kutoka nchi zilizoathirika na ugonjwa wa virusi vya Corona, watalazimika kukaa karantini kwa muda...

READ MORE

Tandale, Kijitonyama Wapania ‘Kuchomoka na Gari Mpya’

TIMU ya Masoko ya Global Publishers, jana Jumamosi ilitembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar ikiwemo Tandale na Makumbusho katika...

READ MORE

Masauni: Wapeni Dhamana Mahabusu Kuepusha Corona

Serikali imewaagiza Makamanda wa Polisi na Wakuu wa Magereza mikoa yote nchini kuhakikisha inawapa dhamana mahabusu wote wanaokidhi vigezo vya...

READ MORE

Corona: Mnajifungia, Ugonjwa Wenyewe Virusi? Tokeni Mkafanye Kazi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewashangaa baadhi ya wananchi wa mkoa huo waliofunga biashara zao kisha...

READ MORE

Corona: Maagizo Mapya ya Wizara kwa Wasafiri

Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa...

READ MORE

Ndalichako Aagiza Walimu Walioanzisha Tuisheni Wakamatwe

WAZIRI wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amewaagiza wakurugenzi, wakuu wa wilaya na mikoa kuwachukulia hatua wale wote...

READ MORE