×

Kitaifa

Corona Yawatia Mbaroni Wachungaji Wawili

DUNIA ina mambo! Wakati wananchi wakiwa wametaharuki kutokana na kuenea kwa Virusi vya Corona (COVID-19), video zilizosambaa mitandaoni zikiwaonesha wachungaji...

READ MORE

Bilionea Jack Ma Amwaga Misaada Tanzania Kukabiliana na Corona

  Vifaa tiba vilivyotolewa na mfanyabiashara kutoka China, JackMa kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona nchini Tanzania vimewasili...

READ MORE

Godbless Lema Afikishwa Mahakamani

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amefikishwa mahakamani mkoani Singida na kusomewa mashitaka 15. Tarehe mbili mwezi huu,...

READ MORE

Msanii Mpya wa Harmonize Aliyezua Kizaazaa Afunguka – Video

GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki Chipukizi, Harmocent ambaye anamuiga mwanamuziki, Harmonize, kwenye kila kitu kuanzia muonekano hadi maisha yake...

READ MORE

Betika Laendelea Kugombewa Tabata

MAPEMA leo Jumatano, Machi 26, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Tabata Mawenzi jijini ...

READ MORE

Mbowe: Kweli Mwanangu Ana Corona, Yuko Karantini

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemuomba Rais Magufuli, kushirikisha wadau wengine nje ya Serikali ili...

READ MORE

Makonda Aagiza Dar Ipuliziwe Dawa Kudhibiti Corona

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza kupulizwa dawa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo kuanzia leo,...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana Machi 24, 2020 ameongoza kikao cha Baraza...

READ MORE

Waziri Mkuu Akanusha Taarifa ya Shule, Vyuo Kufunguliwa Leo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba vyuo na shule vitafunguliwa kesho siyo za kweli.   “Hizo...

READ MORE

Watakaotoka Majumbani Kupigwa Faini

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ametoa amri ya kuwataka watu wabakie majumbani na kuwapiga faini kwa wale watakaokiuka maagizo...

READ MORE

#Coronavirus Uganda: Idadi ya Wagonjwa Yafikia 9

UGANDA imethibitisha kuwepo wagonjwa tisa waliokumbwa na virusi vya Corona nchini humo kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Dr Jan...

READ MORE

ATCL Yafuta Safari za Ndege Kuikabili Corona

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imefuta safari zake za kwenda nchini Comoro, na hivyo kuifanya iwe imefuta safari zake kwenda...

READ MORE

Corona: Zanzibar Yafunga Baa “Ukiingia Tunakuweka Karantini”

Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed amesema serikali imewaweka karantini wananchi 65 wakiwemo vigogo wa serikali na maofisa...

READ MORE

Majaliwa Aunda Kamati Tatu Kupambana na Corona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amesema serikali imeunda kamati tatu kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya Corona ambapo ya kwanza...

READ MORE

NMB Yazipiga Jeki Shule za Kibamba, Kinzudi na Makuburi Jeshini

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa viti, meza na madawati vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 15 kwa ajili...

READ MORE

Ubongo Yatoa Programu za Watoto Kujifunza Majumbani Kutokana na Ugonjwa Wa Colona

Katika kuunga mkono juhudi za kupambana na usambaaji wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona, taasisi ya Ubongo, ambayo inangoza...

READ MORE

Wizara yaUchukuzi Yatekeleza Agizo la Magufuli Kabla ya Siku 7

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, amezindua rasmi magari kupita katika daraja la Kiyegeya la mchepuko...

READ MORE

Makonda Ampa Maagizo Mkandarasi wa Mwendokasi ya Mbagala

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda, amemtaka mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya...

READ MORE

Chadema ‘Yaitegea’ Corona “Tutafunga Mipaka Watu Wameshakufa” – Video

MIKUTANO ya ndani na hadhara iliyopangwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuanza tarehe 4 Aprili 2020, sasa haitafanyika ...

READ MORE

Mdee, Bulaya, Jacob Watuhumiwa kwa Makosa 7

VIONGOZI na wafuasi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwemo wabunge  watatu:  Halima Mdee (Kawe), Ester Bulaya (Bunda...

READ MORE

Ajali ya Treni Yaua Watumishi Watano wa TRC

  Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania – TEC unatangaza taarifa za Vifo vya watumishi 5 wa TRC. Vifo hivyo...

READ MORE

Fahamu: Kikohozi Kimoja Kinasambaza Virusi 3,000 vya Corona

Jinsi hofu ya kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 inavyozidizidi kupanda, hofu ya kushika vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuwa na virusi pia...

READ MORE

Mkulima Auawa kwa Mapanga na Watu Wasiojulikana, Mtoto Ajeruhiwa

MKAZI wa Mgongoro wilayani Igunga mkoani Tabora, Muya Kasanzu (48), anadaiwa kuuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga, huku mtoto wake Abdallah...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Makongoro Mahanga Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kichama wa Ilala Jijini Dar es Salaam, Dkt. Milton...

READ MORE

Mafuriko Yaacha Maafa Kilombero

Kufuatia Kaya 250 katika kata ya Msolwa Stesheni katika kijiji cha Nyange Wilayani Kilombero kuathirika na athari za maafa ya...

READ MORE

Mpango Ateua Watakaoiwakilisha Serikali vs Ubia na Barrick

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewateua wajumbe wawili watakaoiwakilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Maalim Seif: Nimepindua Meza CUF

DAR: Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Shariff Hamadi amesema kutokana na misingi aliyoijenga kwa wafuasi wake visiwani...

READ MORE

Bahati Nasibu ya ‘Shinda Gari’ Yatikisa Kigamboni

Adam (kushoto) akimpatia zawadi ya sabuni mmoja wa wasomaji wa magazeti ya championi baada ya kukata kuponi yake. Hiyo inatokana...

READ MORE

Corona Inatisha! Kufungwa Makanisa Msikitiki Itakuwaje?

WAKATI tishio la virusi vya mafua ya Corona likizidi kushika kasi nchini na mataifa mengine kibao, suala la makanisa na...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuua, Kufukia Mwili Shambani

POLISI mkoani Pwani inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumwua mwanamke mmoja (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za kumfumania siku ya...

READ MORE

Bosi TAKUKURU, Msaidizi Wake Wanasa Kwenye Mtego wa Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU...

READ MORE

Akutwa Gesti Ametoa Mimba na Kuua Kichanga

  JESHI LA POLISI Mkoa wa Morogoro linamshikilia Rehema Fabiani (18), mfanyakazi wa Mgahawa wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha...

READ MORE

Vodacom Tanzania yatoa Elimu ya Kujikinga na Virusi vya Corona

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC. makao makuu Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini  Dkt. Ismail Gatalya  wakati akitoa elimu...

READ MORE

Geita: Mjamzito Anyongwa Usiku wa Manane – Video

  Watu watatu nchini Tanzania wameuawa kwa matukio matatu tofauti likiwamo la mama mwenye ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 8-9...

READ MORE

Agizo Hili la JPM na Majaliwa Halijatekelezwa – Video

Mfanyabiashara anayetambulika zaidi kwa jina la Babu Rama, ambaye alidai kuingia katika mgogoro na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) baada...

READ MORE

Tamko la Maaskofu wa Anglikana Kuhusu Corona

O. Box 899, Dodoma, Tanzania Tel: +255 (0) 262321437/2324574 Fax: +255 (0) 262324565  Email: [email protected]  Archbishop: The Most Rev. Maimbo...

READ MORE

Dereva wa ‘Isamilo’ Afariki Kwenye Basi Lake Akiwa Safarini

DEREVA wa basi la Isamilo lenye namba za usajili T609 CQB aina ya Scania linalofanya safari zake kati ya Mwanza...

READ MORE

Video: Safari ya Salim Kikeke Kutoka Ukulima Mpaka BBC

MTANGAZAJI maarufu wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC), Salim Kikeke, amefunguka maisha aliyoyapitia kabla ya kuwa mtangazaji mkubwa akiiwakilisha...

READ MORE

Madaktari: Msitishwe, Fanyeni Haya Mkiambukizwa Msife

WAKATI nchi 163 duniani zikihaha kudhibiti kuenea kwa virusi ya Corona (COVID-19), madakari Bongo wamewatoa hofu wananchi kwa kusema wasitishwe...

READ MORE

Buguruni Waapa Kuchomoka na Ndinga ya Championi, Spoti Xtra

  WASOMAJI wa magazeti ya michezo maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, Machi 19, 2020, wamemiminika kama...

READ MORE