×

Kitaifa

DC Aanika Sababu ya Kumsweka Ndani Trafiki

MKUU wa Wilaya ya Geita, (DC) Josephat Maganga (pichani) amesema mojawapo ya sababu iliyomlazimu kumsweka rumande askari wa usalama barabarani,...

READ MORE

Vijana Wanaokula Paka… ‘Wanakula Hadi Nyama za Watu’

EEEH bwana eee; upepo wa vijana Stanslaus Luchano ‘Ghost’ (23) na Nicholas Michael ‘Chaupepo’ (28) wakazi wa Kimara jijini Dar...

READ MORE

DC Chongolo Azindua Maonyesho Bidhaa za Ngozi

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo,  amesema kuwa katika kutatua changamoto ya kupata soko la uhakika la bidhaa za...

READ MORE

Jafo Awapa Mtihani Wakurugenzi, Ma-DC – Video

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amewaagiza Wakurugenzi wote nchini wanaotekeleza miradi wa kulipa kulingana na matokeo (EP4R) kwa ajili ya...

READ MORE

Nabii Natasha Aongeza Upako Shilo 2019

MTUMISHI wa Mungu Nabii Lucy Natasha kutoka nchini Kenya, ametua nchini leo Alhamisi, Desemba 19, 2019, na kushusha upako katika...

READ MORE

JPM: Ndege Yetu Iliyoshikiliwa Canada Imeachiwa

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imakamatwa nchini Canada imeachiwa na wananchi...

READ MORE

Senene Wasababisha Bei ya Nyama Kudorora

BIASHARA ya nyama imedorora sasa nchini Uganda kutokana na msimu wa senene kuanza. Raia wa Uganda sasa hununua viazi na...

READ MORE

Huu ni Undani Ugonjwa Uliomuua Bilionea Bongo

DAR: Taarifa za kifo cha mfanyabiashara Ali Mufuruki (60), zimeshtua wengi. Mufuruki anayetajwa kuwa mmoja wa mabilionea Bongo alifariki dunia,...

READ MORE

Polisi Hatiani Kwa Kuua Watu 10 Akisaka Aliyemwambukiza Ukimwi

MAHAKAMA ya Embu nchini Kenya, imemfunga afisa mmoja wa polisi miaka 20 baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua watu...

READ MORE

Polisi Asakwa Kumbaka na Kumpa Ujauzitio Mwanafunzi

MSAKO mkali wa polisi aliyetoroka kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilayani Kyela mkoa...

READ MORE

Malinzi, Mwesigwa Wahukumiwa Jela, Warejea Uraiani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Leo Jumatano Desemba 11, 2019 imemtia hatiani aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),...

READ MORE

Tishio Ugonjwa Uliyomuua Seth Bosco

  ‘NI TISHIO’ ndivyo unavyoweza kuutafsiri ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ambao wiki iliyopita uliongezea pigo lingine katika...

READ MORE

Kisutu: Hukumu ya Malinzi na Wenzake Yaanza Kusomwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeanza kusoma hukumu dhidi ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi...

READ MORE

Shinyanga: Wasichana Waogeshwa Dawa Kuvutia Wanaume

SERIKALI imeombwa kupiga marufuku vitendo vya baadhi ya wazazi kuwapeleka mabinti wao wenye umri kati ya miaka 10 hadi 15...

READ MORE

Wafanyabiashara Kariakoo: Betika Linatupatia Mkwanja

MAPEMA leo Jumatano, Desemba 11, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Kariakoo na...

READ MORE

Waliozamia Sauz Wahukumiwa Kulipa Buku 50 – Video

WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akitoa msamaha kwa wafungwa wa makosa mbalimbali nchini...

READ MORE

Kinondoni Kufanya Maonesho ya Ngozi Tanganyika Packers

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kuhakikisha tunakuza uchumi wa Viwanda, Wilaya hiyo imeandaa...

READ MORE

Miradi ya JUMEME Yaziondoa Gizani Kaya 5,000 Ukerewe

  ZAIDI ya kaya 5,000 katika kisiwa cha Ukara kilichopo wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, zimenufaika na umeme jua unaozalishwa na...

READ MORE

Watu 36 Wafariki kwa Mafuriko

SHIRIKA la Uokoaji la Msalaba Mwekundu nchini Uganda linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo, limesema kuwa watu wengi bado...

READ MORE

“Nimeingia Gerezani Nikiwa na Miaka 20, Nimetoka Mzee” – Video

TIMOTHEO SILAS aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyi mwaka 2,000 ameachiwa huru jana Jumanne Desemba 10,...

READ MORE

Kauli za Wafungwa 96 Songwe Walioachiwa Huru – Video

  WAFUNGWA 96 Mkoani Songwe wamekuwa miongoni mwa wafungwa 5,533waliopatiwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...

READ MORE

Wafungwa 293 Waachiwa Ukonga, Keko, Segerea, Wazo Hill – Dar

JUMLA ya wafungwa 293 kutoka magereza ya Ukonga, Keko, Segerea na Wazo Hill jijini Dar es Salaam jana wameachiwa huru...

READ MORE

Wafungwa 136 Waachiwa Huru Simiyu, Kicheko Kama Chote

JUMLA ya wafungwa 136 kutoka magereza ya Mkoa wa Simiyu wamechiwa huru kufuatia msamaha wa RaisJohn Pombe Magufuli alioutoa Desemba,...

READ MORE

Daktari ‘Muuaji wa Vichanga’ Anaswa! – Video

ASIKWAMBIE mtu, baadhi ya matukio yanayotokea Bongo yanatisha, kuna daktari mmoja amenaswa akituhumiwa ‘kuua vichanga’ katika zahanati yake iliyopo Sinza...

READ MORE

Watangazaji Wanaochanganya Kiswahili na Kingereza Yamewafika

Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania  (TCRA) Kanda ya Ziwa, Francis Mihayo amesema yuko katika mchakato wa kuhakikisha anatoa elimu...

READ MORE

Majonzi! Bilionea Mufuruki Azikwa Makaburi ya Kisutu – Video

MWILI wa bilionea Mtanzania na Mwenyekiti mwanzilishi wa Jukwaa la Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Mfungwa Aliyesamehewa na Rais JPM Agoma Kutoka Gerezani, Ajijeruhi

KATIKA Sherehe za kuadhimishi kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika, maadhimisho ambayo hufanyika kila mwaka Disemna 9, jana Rais...

READ MORE

Wafungwa 79 Gereza Butimba Waliosamehewa na Rais Waachiliwa

Leo Desemba 10, wafungwa 79 wameachiwa kati ya wafungwa 190 waliopewa msamaha na Rais Dkt. John Magufuli  kwa mkoa wa...

READ MORE

Ndege Yapotea na Watu 38

  NDEGE kubwa ya jeshi la Chile aina ya  Lockheed C-130 Hercules imepotea ikiwa na abiria 38 ilipokuwa ikielekea Antarctica....

READ MORE

Auawa Kinyama Shambani, Mwili Wafungwa Kwenye Kiroba

MBEYA: Dunia katili! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia baba aliyejulikana kwa jina la Lubisi Mwakalundwa (62), mkazi wa Kijiji cha Nkunga...

READ MORE

Mfumo wa Kieletroniki Wa Manunuzi, Uuzaji na Usafirishaji (NFLIP) Wazinduliwa

  JUKWAA la Wafanyabiashara na wadau wa Usafirishaji kutoka Sekta Binafsi (TPSF) wamezindua mfumo wa kieletroniki wa manunuzi, uuzaji  na...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Bilionea Mufuruki Ukiagwa JNICC Dar

MWILI wa bilionea Mtanzania na Mwenyekiti mwanzilishi wa Jukwaa la Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Benki ya NMB Yatwaa Tuzo ya NBAA Kwa Mwaka Mwingine Mfululizo

BENKI ya NMB imetwaa tuzo maalum kutoka Bodi  ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kama Benki bora...

READ MORE

Mwili wa Seth Waagwa, Mama Kanumba Aishiwa Nguvu – Video

MWILI wa aliyekuwa msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mdogo wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco umeagwa leo baada...

READ MORE

Lowassa Ampa JPM Miaka 10, Sumaye Atia Neno – Video

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa,  amemsifia Rais John Magufuli kwa jitihada za kuleta maendeleo makubwa nchini tangu aingie madarakani...

READ MORE

Mbowe Aomba Maridhiano na JPM – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema sababu za kushiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 58...

READ MORE

Hali ilivyo Mwanza kuelekea maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru

Kesho Desemba 9, 2019 Tanzania Bara itasherehekea miaka 58 tangu kupata uhuru wake na miaka 57 ya Jamhuri, tayari viongozi...

READ MORE