×

Kitaifa

Maajabu! Familia ya Watu 9, Waliozaliwa Tarehe na Mwezi Mmoja

MWALIMU mmoja nchini Pakistankwa jina Amir Ali, amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na familia yeney watu wengi waliozaliwa katika...

READ MORE

Tanzia: Mbowe Apata Pigo, Baba Yake Mdogo Afariki Dunia

MZEE Manase Alphayo Mbowe, baba mdogo wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amefariki dunia asubuhi ya leo Ijumaa Julai 23,...

READ MORE

Buchosa Wapokea Tsh Bil 2 Kutengeneza Barabara Vijijini

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amesmema Serikali kupitia wakala wa barabara vijiji (TARURA) umepeleka kiasi cha Sh...

READ MORE

Serikali Yadhamiria Kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amesema serikali imedhamiria kupunguza au kumaliza kabisa vifo vinavyotokana na uzazi baada...

READ MORE

Polisi: Mbowe Anatuhumiwa Kula Njama za Kufanya Vitendo vya Ugaidi

Baada ya kushikiliwa kwa takribani siku mbili, Jeshi la Polisi limesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

READ MORE

Prof. Mkumbo Atangaza Neema Ujio wa Kiwanda cha Bia Cha TBL Dodoma

  Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inatarajia kujenga Kiwanda kipya cha kuzalisha bia jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Waziri wa...

READ MORE

MaRC Singida, Morogoro Wakiri NMB Kuwa Chachu ya Kukuza Uchumi wa Waalimu

  Wakuu wa mikoa ya Singida na Morogoro, Dr. Binilith Mahenge na Martin Shigela kwa nyakati tofauti wamekiri kuwa benki...

READ MORE

NMB Yakabidhi Madawati ya Sh. Milioni 10/= Mkuranga

Benki ya NMB imetoa msaada wa viti 50, meza 50 kwa shule ya Sekondari ya Mkugilo na madawati 62 kwa...

READ MORE

Breaking: NEC Yateua Madiwani Wapya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewateua madiwani watatu wanawake wa viti maalum, kuziba nafasi zilizokuwa wazi kutokana na vifo...

READ MORE

Serikali Yaagiza Ukaguzi Wateja Baa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza wamiliki wa kumbi za starehe nchini kuanza kuwakagua wateja wao ambao wanaingia...

READ MORE

Shahidi: Walituvamia Dukani, Sabaya Alikuwa Akitoa Amri Zote

SHAHIDI wa pili katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya,...

READ MORE

Breaking News: Treni ya Abiria Yapata Ajali Kilosa

Treni ya abiria imepata ajali eneo la Kidete mpakani mwa Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro na Wilaya ya Mpwapwa, mkoani...

READ MORE

Vifaa vya Serikali Vilivyoibiwa Buchosa Vyakamatwa – Video

    SIKU chache baada ya Mbunge wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo kutoa malalamiko yake kwa serikali kuwa wapo baadhi...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Tony Blair, Ikulu Dar

  Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 22, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Tony...

READ MORE

Breaking News: Mama Anna Mghwira Afariki Dunia

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amefariki dunia leo Alhamisi, Julai...

READ MORE

Polisi Yakiri: Tunamshikilia Mbowe, Anahojiwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kwa mahojiano....

READ MORE

Jiko la Mkaa Laua Wawili Njombe

Watu wawili wamepoteza maisha mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa ndani ya chumba cha kulala kwa lengo...

READ MORE

Mwalimu Benki Yajivunia Mafanikio Ya Miaka Mitano

Benki ya Mwalimu (Mwalimu Commercial Bank Plc) inajivunia kutimiza miaka mitano ya mafanikio tangu kuanzia kwake Julai 22, 2016 na...

READ MORE

Sengerema, Buchosa Kuondokana na Changamoto za Maji

MRADI wa uanzishwaji wa Kituo kitakachosaidia kuondoa changamoto zinazoikabili jamii nchini hususan maeneo ya vijijini, umetambulishwa kwa wananchi wilayani Sengerema...

READ MORE

🔴#LIVE: Simanzi Mazishi ya Gift Aliyeuawa kwa Risasi

MWILI wa marehemu Gift Mushi aliyepigwa risasi na Alex Korosso katika baa ya New Lemax, Sinza jijini Dar. Mwili wa...

READ MORE

Majaliwa Aongeza Siku Uchunguzi Soko la Kariakoo – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongeza siku saba kwa Tume aliyoiunda kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hadi Julai 25, mwaka...

READ MORE

Polisi Watapakaa Mwanza, Hivi Ndivyo Halio Ilivyo

JESHI la Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka...

READ MORE

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na utaratibu uliotumiwa na Uongozi wa Shule ya Gilbert Bayi wa kudai stahiki zake...

READ MORE

Majaliwa: Tuchukue Tahadhari ya Corona, Tupige Nyungu

WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa amewasisitiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Amewataka waendelee kuzingatia mambo...

READ MORE

Kongamano la Katiba! Mbowe, Wenzake Wakamatwa Mwanza

KIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10, wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la...

READ MORE

Watuhumiwa 5,429 Wakamatwa

JESHI la Polisi nchini Tanzania, linawashikilia watu 275 kwa tuhuma za mauaji, yaliyotokea nchi nzima kuanzia Mei hadi Julai 2021....

READ MORE

Mahakama Yamwachia Kulthum Mansoor Wa TAKUKURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia kwa dhamana aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Mikusanyiko Yapigwa Marufuku Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada...

READ MORE

Tanzia: Mwenyekiti TCU Afariki Dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu tanzania (TCU), Prof Mayunga Nkunya, amefariki dunia leo Jumanne, Julai 20, 2021 katika...

READ MORE

Wanafunzi 11 Wakamatwa kwa Kuchoma Moto Shule

Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia wanafunzi 11 akiwemo msichana mmoja kwa tuhuma za kuchoma moto Shule ya Sekondari Geita...

READ MORE

Waziri Mkenda Atinga Bandarini Dar, Atoa kauli Hii

  Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili nchini akitokea nchini Morocco ambapo pamoja na mambo mengine katika ziara...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa na Sururu

MTU mmoja ambae jina lake halijatambulika amefariki dunia kwenye vurugu zilizo tokea baada ya mtu huyo kufika na chuma cha...

READ MORE

Dar: Jambazi Auawa Akipora Simu

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limemuua mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi baada ya kumpora simu mama aliyekuwa akitembea...

READ MORE

Mastaa Wapumzishwa Simba SC Kisa Yanga SC

IMEFAHAMIKA kwamba mpango namba moja wa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes kuwapumzisha mastaa wake ikiwa ni pamoja na Luis...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Avutia Washiriki wa Mbio za Zanzibar International Marathon

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza mamia ya wakimbiaji walioshiriki mbio...

READ MORE

Shahidi Akana Kutapeliwa na Sabaya “Simtambui” – Video

Shahidi Mohammed Saadi kwenye kesi ya unyang’anyi kutumia silaha inayomkabili aliekuwa DC wa Hai Lengai Sabaya ameseme aliwaona tu kwa...

READ MORE

Shahidi Afunguka Alivyojificha Msikitini Kisa Sabaya – Video

Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo imeanza kusikilizwa...

READ MORE

Dar: Watumishi Watatu wa Serikali Wakutwa na Dawa za Kulevya

TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE...

READ MORE

Kamanda Muliro Ang’aka Ataja Wanaopaswa Kumiliki Bastola

Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kuwa sio sifa kumiliki silaha endapo huna vigezo...

READ MORE

Mbowe Ataka Chanjo ya Corona Iwe Lazima kwa Watanzania Wote

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo Jumatatu, Julai 19, 2021 ameongea na Waandishi wa Habari...

READ MORE