×

Michezo

Sibomana: Niyonzima Ametua Wamekwisha

JUZI mida ya jioni hivi, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mnyarwanda, Patrick Sibomana alikuwa akiperuzi kwenye Instagram ghafla akakutana na picha...

READ MORE

Mkwasa Aifungia Kazi Iringa United Uwanja wa Uhuru Leo

YANGA imepanga kuwaanzisha nyota wake wote leo katika mchezo wao wa Kombe la FA watakaokipiga na Iringa United kwenye Uwanja...

READ MORE

Nchimbi: Nitaanza na Simba Kuthibitisha Kiwango Changu

BAADA ya kusaini mkataba wa miaka miwili wa kukipiga Jangwani, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Ditram Nchimbi amesema atautumia mchezo...

READ MORE

Yanga Hii Yamotoo! Dhidi ya Simba ya Januari 4, 2020

WANACHOKIFANYA sasa mabosi wa Yanga ni kushusha mashine maalum ambazo zitawasaidia katika msimu huu wa 2019/20 lakini zaidi ni juu...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Aanza Mkwara

UNAAMBIWA kwa sasa ukiwa ni miongoni mwa kikosi cha Simba, kwa maana ya mchezaji au upo ndani ya benchi la...

READ MORE

Dante: Nimerudi Kufanyakazi Yanga

RASMI uongozi wa Yanga umemalizana na beki wake wa kati Andrew Vicent ‘Dante’ na kujiunga na kambi ya timu hiyo...

READ MORE

Solskjaer Afanye Maamuzi Magumu Kwa Pogba

KWA wanaokumbuka enzi za utawala wa kocha Sir Alex Ferguson ndani ya Manchester United, licha ya kuwa alikuwa anapenda watu...

READ MORE

VIDEO: SIMBA WATAMBA na VIWANJA Vyao Mechi Inachezwa na Mazoezi Yakiendelea

 KIKOSI cha Simba jana Desemba 21, 2019 kimeendelea na mazoezi yake katika uwanja wa Bunju huku Timu ya Simba...

READ MORE

Arteta Atangazwa Kuwa Kocha Mkuu Arsenal – Video

MIKEL Arteta ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Arsenal akitwaa mikoba ya Unai Emery aliyefukuzwa ndani ya klabu hiyo baada ya...

READ MORE

Simba Queens wapo Dar, Yanga kukinukisha Iringa Leo

  Kocha Msaidizi wa Yanga Princess, Nassoro Mukhsin aliliambia gazeti hili kuwa: “Huu ni mchezo muhimu kwetu kusahihisha makosa tuliyofanya...

READ MORE

Wawa Basi Tena Simba, Mashine Mpya Inakuja

MAMBO ni moto ndani ya kikosi cha Simba. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwani muda wa maisha ya beki wa kati...

READ MORE

Yanga Yaleta ‘Jembe’ Kutoka Ivory Coast, Ghislain Yikpe Gnamien

INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga kwa sasa upo kwenye hatua za mwisho kumalizana na mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Ghislain Yikpe...

READ MORE

Bosi GSM atumia mbinu za Simba Kumsajili Niyonzima

KATIKA kuhakikisha wanafanikisha usajili wa kiungo mchezeshaji fundi Mnyarwanda Haruna Niyonzima, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi...

READ MORE

Kocha Prisons Ampeleka Kiungo Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Adolf Rishard, amefunguka juu ya sakata la usajili wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Cleophace...

READ MORE

Kaduguda Aihofia Yanga Mpya Januari 4, 2020

KAIMU mwenyekiti wa Simba, Mwina Kaduguda amesema kuwa ili kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Yanga Januari 4, basi wachezaji wanatakiwa...

READ MORE

CECAFA: Tanzania Bara Yashindwa Kutwaa Nafasi Ya Tatu

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ leo Desemba 19, 2019 imefungwa goli 2-1 na timu Taifa ya Kenya...

READ MORE

Kisa Kuwakosoa, China Wamfanyia Kitu Mbaya Ozil

KIUNGO wa Arsenal Mesut Ozil ameondoshwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la China baada...

READ MORE

Niyonzima Atoa Kauli ya Kibabe Kwa Mashabiki…

HARUNA Niyonzima ametamka kwa mdomo wake kwamba anakuja Yanga na amewataka mashabiki wakae mkao wa kufurahi. Kiungo huyo mchezeshaji aliyewahi...

READ MORE

Barcelona Yabanwa na Real Madrid Nyumbani – Video

TIMU ya Barcelona imebanwa na Real Madrid usiku wa kuamkia leo, Desemba 19, 2019, baada ya kutoka suluhu katika mchezo...

READ MORE

Wallace Karia Achaguliwa Kuwa Rais Mpya wa CECAFA

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Wallace Karia amechaguliwa kuwa Rais mpya wa baraza la vyama vya soka...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Atua na Jembe la Kazi

  JUZI Jumatano uongozi wa Klabu ya Simba ulitangaza ujio wa kocha wao mpya raia wa Ubelgiji, Sven Vandenbroeck ambaye...

READ MORE

Mzambia Afunguka Alivyoachwa na Simba

  BAADA ya uongozi wa Simba kumtambulisha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kuchukua nafasi ya Patrick Aussems, aliyekuwa kocha wa Nkana, Beston...

READ MORE

Timu Ya Bunge Ilivyofanya Mazoezi Nchini Uganda

Timu ya Bunge sport Club maarufu Ndugai Boys wakiwa katika mazoezi mepesi leo asubuhi kabla ya kukutana na timu mwenyeji...

READ MORE

Adeyun wa JKT Tanzania Asaini Yanga Miaka Miwili

ALIYEKUWA beki wa kushoto wa JKT Tanzania, Adeyun Saleh amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga, anakuwa mchezaji wa tatu...

READ MORE

Yanga Yaipora Simba Kufanikisha Usajili wa Nchimbi

MABOSI Yanga wamekamilisha dili la usajili la mshambuliaji wa Azam FC anayekipiga kwa mkopo Polisi Tanzania Ditram Nchimbi wakitumia kitita...

READ MORE

Wazungu Wagomea Matokeo Ya Mwakinyo, Mfilipino

LICHA ya kupanda katika viwango vya dunia, matokeo ya bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay...

READ MORE

Tanzania Wanatupwa Nje Chalenji, Yapigwa Bao 1-0

 Timu ya Tanzania wanatupwa nje ya mashindano ya Chalenji baada ya kufungwa bao 1 -0 dhidi ya Uganda kwenye Uwanja...

READ MORE

Boxer wa Yanga Mapema tu Anaiwahi Simba

  KAMA mambo yataenda vizuri basi mlinzi wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ambaye amekuwa nje kwa kitambo kidogo...

READ MORE

Dida Ajiweka Sokoni

  KIPA wa zamani wa Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiweka sokoni katika usajili wa dirisha dogo kwa kuzikaribisha timu ambazo...

READ MORE

Balinya: Naondoka Ila Nitarudi Tanzania

  ALIYEKUWA straika wa Yanga, Mganda Juma Balinya ambaye amevunjiwa mkataba na klabu hiyo, ameweka wazi kwamba amekubali kuondoka ndani...

READ MORE

Simba Baba Lao! Yazifunika TP Mazembe, Esperance

  KLABU ya Simba imeweka rekodi ya kuwa miongoni mwa klabu za Afrika ambazo zinaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi...

READ MORE

Mkwasa Awapa Masharti Mazito Nyota Wapya Yanga

  KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, amewapa masharti mazito nyota wapya wa Yanga waliotua kufanya majaribio kikosini hapo...

READ MORE

Yanga Yatua kwa Straika Mganda

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetuma kikosi kazi nchini Uganda kumfuatilia straika wa timu ya taifa ya Uganda ‘The...

READ MORE

UCL Raundi ya 16: Madrid, Man City, Liverpool, PSG , Barca ni Vifo

  Droo ya Round ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya imechezwa leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, na matokeo...

READ MORE

Hatimaye Lamine Moro Amalizana na Yanga, Arejea Kikosini

  KLABU ya Yanga imefanikiwa kumrejesha nchini beki wake kisiki Lamine Moro kuelekea mchezo wa watani wa jadi dhidi ya...

READ MORE

Kabwili Apiga Mtu Ngumi, Apewa Nyekundu, Ngassa Golini – Video

Baada kipa wa Yanga, Ramadhani Kabwili kupigwa kadi nyekundu kufuatia kitendo cha kumpiga ngumi mchezaji wa timu pinzani ya Mnanila...

READ MORE

Ozil Aiponza Arsenal, Wachina Wamvaa

SHIRIKA la Habari la China (CCTV) jana Jumapili lilifutilia mbali mpango wa kuonyesha mechi ya kati ya timu ya Arsenal...

READ MORE

Matola Aitangazia Vita Yanga

KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola amewatangazia vita wa Yanga kwa kusema kuwa, wanatumia michezo iliyobaki ya ligi na Kombe...

READ MORE

Kocha Mpya Abadili Mifumo Ya Aussems

  JUZI jioni wachezaji wa Simba sura zilibadilika na kuonekana wakijitafakari baada ya Kocha Mkuu mpya, Mbelgiji Sven Vanderbroeck kutangaza...

READ MORE