The House of Favourite Newspapers

Jionee LIVE Maajabu Ndani ya Kasri la Sultan Sayyid wa Zanzibar

0

KAMA kawaida yetu, GLOBAL TV Online jukumu letu ni moja tu, kukusogezea matukio yote muhimu ambayo wewe mdau wetu unapaswa kuyafahamu muda wowote na wakati wowote.

Global TV imefunga safari mpaka Visiwani Zanzibar ambapo imetembelea kwenye Kasri la kiongozi wa zamani wa Zanzibar, Sultan Seyyid Said, sambamba na kufanya mahojiano na wahusika wanaolitunza.

USIKOSE kutazama LIVE Maajabu yaliyomo ndani ya Kasri hilo.

Ni leo Ijumaa saa 11:15 jioni kupitia hapahapa Global TV Online.

Leave A Reply