The House of Favourite Newspapers

Kajala Kufuta Tattoo ya Harmonize, Paula Asema “Tunatoa Uhafu”

0

Mchora tattoo The Lion Ink ambaye ameifuta tattoo ya yenye jina la Harmonize ‘H’ kwenye shingo ya Kajala na kuweka mchoro wa Uaridi amesema wakati tukio hilo linaendela Paula alitoa kauli inayosema ‘tunatoa uchafu’.

 

The Lion Ink amesema Kajala alimwambia kwamba penzi lake na Harmonize lilienda haraka haraka hivyo mambo mengine alikuwa anashangaa tayari yameshafanyika.

 

“Ile kauli ya tunatoa uchafu ilitoka kwa Paula, wakati anarekodi clip mimi na Kajala tulikuwa hatujui kinachoendelea, kwa mimi nilivyoelewa ile tattoo ni kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana kwa hiyo kwake hata ile H aliona kama takataka ndiyo maana nikaitoa ile H nikaweka tattoo ya Uaridi,” ameeleza The Lion Ink.

Leave A Reply