The House of Favourite Newspapers

Kidato cha 4 Anywa Sumu Baada ya Kupata Division Four

0

MWANAFUNZI Michael Aloni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda mkoani Songwe amenusulika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata matokeo asiyoyatarajia ya Division 4 ya 26, katika matokeo ya kidato cha nne yalitolewa jana.

 

Michael ambaye ni muhitimu wa Shule ya Sekondari St. Aggrey, alitarajia kupata Division 1 katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania, Dkt. Charles Msonde.

Leave A Reply