The House of Favourite Newspapers

#LIVE Kanisani: Mwili wa Elisha Elia Waagwa Dar

0

MWILI wa mtangazaji, Elisha Elia, umetolewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, na kufikishwa nyumbani kwao Tabata Segerea kwa ajili ya kufanyiwa ibada ya kuagwa katika kanisa la KKKT lililopo jirani na nyumbani kwao.

Leave A Reply