The House of Favourite Newspapers

Luundo Kumpeleka Bushoke Canada

Bushoke

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND

MSANII wa Muziki wa Dansi mwenye asili ya Kongo na Tanzania, Luundo Dunia anatarajia kumpeleka mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva, Ruta Bushoke nchini Canada.

Akizungumza na Over Ze Weekend, Luundo anayefanyia shughuli za muziki nchini Canada alisema amefikia hatua hiyo baada ya kutoa Wimbo wa Mbegu za Amani aliomshirikisha mkongwe huyo uliokubalika nchini Canada. “Ni lazima twende na Bushoke Canada walau nipige naye shoo chache kwani kule wanamkubali sana,” alisema Luundo.

Comments are closed.