The House of Favourite Newspapers

Nuh amgeuzia kibao Shilole

0

nuumziwaBAADA ya Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kudaiwa kumnyanyasa kwa muda mrefu mpenzi wake wa siku nyingi Nuh Mziwanda ikiwa ni pamoja na kumpa vipigo, kibao kimegeuka kwani hivi sasa mdada huyo ‘hazungushi’ kwa mwenza wake huyo.

Chanzo cha karibu na wawili hao kinasema, Nuh amejitambua kuwa yeye ni mwanaume na kwamba unapotokea ugomvi baina yao hivi sasa, mwanamke huyo ndiye huwa ‘mdogo’ na kufanya kila awezalo ili uhusiano wao uendelee.

Paparazi wetu alimvutia waya Shilole, mkali wa Kibao cha Nakomaa na Jiji na Paka la Baa na kumwulizia kuhusu ukweli wa ishu hiyo, alikiri kiaina akisema; “Hamna bwana, si unajua nime- gundua napaswa kumheshimu mwanaume wangu.”

JIUNGE NA GLOBAL BRAKING NEWS

GLOBALBREAKINGNEWS100.jpg

Leave A Reply