The House of Favourite Newspapers

Safisha Figo Kwa Kutumia Nanaa

LEO kwenye safu hii ya tiba kwa chakula tutaona jinsi Nanaa zinavyosaidia kusafisha figo kwani tatizo hili limekuwa kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Nanaa inauzwa katika masoko mbalimbali nchini, ni mmea ambao unatumika sana kwenye…

Patcho Amtimua Mwanamuziki Wake

PREZIDAA wa Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Patcho Mwamba ‘Tajiri’ amemtimua mwanamuziki Redock Mauzo baada ya ‘kuzinguana’ kuhusiana na maslahi. Redock Ijumaa iliyopita alionekana akikamua kwenye jukwaa la BMM Sound…

Hukumu ya Yusuf Manji Oktoba 6

MAHAKAMA ya Hakimu ya Mkazi Kisutu, imepanga Oktoba 6, mwaka huu kutoa  hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Yusuf Manji (41). Uamuzi huo umetolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha, baada ya wakili…