The House of Favourite Newspapers

Barnaba Kuibuka na Ben Pol

MKALI wa Bongo Fleva, Elias Barnaba amefunguka kuhusu kufanya kolabo la maana na msanii mwenzake Ben Pol, mwakani 2018. Akizungumza na Full Shangwe, Barnaba alisema kuwa, Mungu akibariki, watafanya kolabo moja ya ukweli mwakani.…

Barnaba Aajiri Bodigadi

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva nchini, Barnaba Elias, ‘Barnaba Classic’ ameamua kuajiri bodigadi wa kumlinda kwa ajili ya kujiongezea thamani. Barnaba akizungumza na Showbiz alisema kuwa, ameamua kuongeza ‘value’ kwenye kazi zake na…

BARNABA ALIA WIVU LIVE KWA MKEWE

Wahenga walinena wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ukikutana na kibao kipya kutoka kwa Barnaba Classic katika kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la Mapenzi Jeneza, ambacho ndani yake kumejaa mistari…