The House of Favourite Newspapers

Nandy: Mapenzi Yanatuumiza

NANDY The African Princess; ni msanii bora wa muziki Afrika Mashariki ambaye ameamua kuwaweka sawa wale wote wanaodhani yeye anafanya kiki au labda kweli uhusiano wake na Billnass au Nenga umevunjika. Hii ni baada ya siku za hivi…

Nandy: Sijagombana Na Wema

FAUSTINA Charles au Nandy The African Princes; ni malkia wa muziki Afrika Mashariki akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye anasema kuwa, hajawahi kugombana na staa mwenzake Bongo, Wema Sepetu Isaac Sepetu na wala hajawahi kumchukulia bwana…

Nandy Alia Upweke Bila Nenga

NANDY au The African Princess ni malkia wa muziki Afrika Mashariki akitokea Tanzania ambaye ambaye amefunguka makubwa akilia upweke baada kuandika ujumbe kwenye ukurasa wa mchumba’ke, Billnass au Nenga akimtaka kurudi nyumbani haraka.…

Nandy Achukua Likizo Ya Muziki

KAMA wewe ni mtalii kwenye mitandao ya kijamii, pasi na shaka utakuwa umekutana na jina la Nandy ambaye ni supastaa na Malkia wa Bongo Fleva. Nandy amedumu kwenye muziki na kufanya vizuri kwa miaka kadhaa kutokana na…

Nandy: Nenga Asante Kwa Kunichagua

NANDY The African Princess ni mwanadada wa Kitanzania aliyejaaliwa kipaji kikubwa cha muziki na uigizaji. Kwa miaka kadhaa Nandy amejitengenezea umalikia wa Bongo Fleva kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki kutokana na nyimbo zake tamu…

Nandy: Tumeanza Vikao

MALKIA  wa Bongo Fleva, Nandy The African Princess anasema kwamba vikao vimeanza kwa ajili ya maandalizi ya tamasha lake la Nandy Festival 2022. Nandy anasema kwamba, vikao vya kupanga mikakati ya tamasha hilo mwaka huu wa…