Bushoke Amrudisha K-Lynn Kwenye Game
KAMA ilivyokawaida mpendwa msomaji wa kolamu hii ya Yupo Wapi kukuletea waliowahi kuwa mastaa na kisha kupotea, ambapo leo nimekuletea mwanamuziki wa kizazi kipya Ruta Bushoke ambaye alipata ustaa kufuatia ukali wa ngoma zake kadhaa…