The House of Favourite Newspapers

Ditto Kumtoa Afande Selle 2017

Lameck Ditto (kushoto) akiongea na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally (kulia). Mkali wa Bongo Fleva anayetikisa kwa sasa na wimbo wake ‘Moyo Sukuma Damu’, Lameck Ditto, amesema yupo katika mchakato wa kurudisha utaratibu…

Ditto afungukia Moyo Sukuma Damu

ANDREW CARLOS MMOJA kati ya wakongwe wa Muziki wa Bongo Fleva, Lameck Ditto ameifungukia ngoma yake ya Moyo Sukuma Damu kuwa ni sanaa tu na wala haijamlenga mtu yeyote. Akizungumza na Global Publishers, Ditto aliyewahi kuwika na vibao…

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

MUZIKI ni ajira lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia ‘serious’ tofauti na wengi wanavyoiona!  Kila mwaka wanazaliwa wasanii wapya ambao wanakuja kuwa wakubwa na kukimbiza ndani na nje ya nchi ndiyo maana…

Walishtuka Wakasepa, Wakatusua

MVUTO wa makundi mengi yanayofanya Bongo Fleva umekuwa ukipungua kila siku huku namba ya wasanii ambao wanafanya muziki wa peke yao (solo artist) ikiongezeka. Ongezeko hilo linaifanya tasnia hiyo kuwa na ushindani mkubwa…

Jahazi Kulisimamisha Jiji

NA MWANDISHI WETU | SHOW BIZ Bendi ya Jahazi Modern Taarab ikiongozwa na mastaa wake, Leila Rashid, Amigo, Mwasiti Kitolonto, Ally J, Fatuma Kassim na wengine kibao imepania kulisimamisha Jiji la Dar katika onesho kabambe…

Mabinti wa Hip Hop Wasibaniwe, Watoboe!

KWA sasa huwezi kutaja maendeleo ya muziki wa kuchana kwa kinadada bila kumtaja mwanadada Onika Maraj ‘Nicki Minaj’. Nicki ambaye unaweza kusema ndiye ‘top’ wa Muziki wa Hip Hop kwa sasa ulimwenguni amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana…

Simba Azam Moyo Sukuma Damu

Na Ojuku Abraham | GAZETI LA IJUMAA KIBAO kipya cha msanii Lameck Ditto anayefahamika zaidi kama Ditto, ambaye yupo katika Jumba la Kukuza Vipaji (THT) kiitwacho Moyo Sukuma Damu, ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Na ameweka wazi kabisa,…