The House of Favourite Newspapers

Mwasiti Amvulia Kofia Nandy

MSANII mkongwe kunako anga la muziki mtamu wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi ‘Kipepeo Mweusi’ amemvulia kofia msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ akisema ni mpambanaji kwelikweli. Akipiga stori na OVER ZE WEEKEND,Mwasiti…

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa upande wake bado hajawaza wala kufikiria kuachana na masuala ya muziki. …

Mashabiki Wampa ‘Stress’ Mwasiti

MWANAMUZIKI Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’ aliyewahi kutikisa na ngoma kali ikiwemo Hao na Nalivua Pendo, amepenyeza kuwa kwa sasa mashabiki wamempa stress za kutaka kutoa wimbo kwa hiyo yupo chimbo akijipanga kurejea kwenye gemu kama ilivyokuwa…

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

MUZIKI ni ajira lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia ‘serious’ tofauti na wengi wanavyoiona!  Kila mwaka wanazaliwa wasanii wapya ambao wanakuja kuwa wakubwa na kukimbiza ndani na nje ya nchi ndiyo maana…

VIKOBA VYAZUA BALAA DAR !

KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Bakari kutoweka na kuzua balaa kubwa.   …