The House of Favourite Newspapers
Tags:

Maua Sama Atisha Ile Mbaya

SEXY lady kunako Bongo Fleva, Maua Sama ametisha ile mbaya baada ya video yake ya Zai kutajwa kuwania tuzo kubwa duniani za New Vision International Awards ambazo hufanyika huko Uholanzi. Maua; kupitia akaunti yake ya…

Maua Sama Aibuka na T- Pain

Siku chache baada ya kuachia smash hit yake “Away” aliyompa shavu Young Lunya, Maua Sama amepanga kuachia kolabo yake nyingine tena akiwa na mkongwe T-Pain kutoka Marekani siku ya ijumaa. Maua amerejea akiwa na nguvu mpya baada ya…

Maua Sama Afafanua Bifu Na Nandy

MSANII wa Bongo Fleva, Maua Sama, amefungukia kuhusu madai ya kuwa na tofauti na msanii mwenzake Faustina Charles ‘Nandy’. Akizungumza na Risasi Vibes, Maua ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya ‘Kan Dance’ amesena kuwa yeye…

Maua Sama Ammwagia Sifa Zuchu

BAADA ya Zuchu kusajiliwa kwenye lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama ameibuka na kummwagia sifa msanii huyo. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Maua alisema Zuchu ni msanii ambaye alikuwa…

MAUA SAMA THT ILINIONDOA UOGA!

MAUA Sama ni miongoni mwa warembo ambao Kibongobongo wanafanya vizuri.  Amezungumza na Gazeti la Risasi Mchanganyiko mambo mengi yanayohusiana na muziki wake, karibu: Risasi: Kitu gani kilikushawishi kufanya muziki? Maua: Napenda…