The House of Favourite Newspapers

Ridhiwani, Makonda waibua mapya!

0

Na Mwandishi Wetu
BODI ya filamu inayosimamia sinema zote kabla ya kuingia sokoni, imewabana wasanii wapya waliotarajia kuachia sinema iitwayo Paulo na Sila kwa kuwataka wabadilishe baadhi ya vipengele vilivyotoka nje ya maadili.

Dairekta wa sinema hiyo ambayo inagusa masuala ya imani, Baraka Chigele alisema Bodi ya Filamu waliwaambia wasiiachie sinema hiyo mpaka pale watakapotoa baadhi ya maeneo ambayo yanaonekana kuleta mkanganyiko wa kiimani.

“Sinema yetu imegusa suala la imani hivyo umakini ulihitajika. Tulizingatia hilo lakini bodi nao wakasema kuna vipengele vichache tuvitoe, tumeshafanya hivyo na muda si mrefu tutaiingiza sokoni,” alisema Chigele.

Filamu hiyo imechezwa kwa umahiri mkubwa na waigizaji wapya katika tasnia kama Emmanuel Gukwi, Shangwe Roti na wengine wengi.Juu ya hatua gani atachukua, alisema anakusudia kupeleka malalamiko yake Baraza la Habari (MCT) ili chombo hicho kiweze kufanya kazi yake.

Wakati hayo yakiendelea, wadau mbalimbali wamewataka Paul Makonda kumaliza tofauti zake na Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ili kutoa nafasi kwao ya kufanya kazi ya kuwatumikia wananchi.

“Hawa wote ni viongozi, tena vijana. Wananchi wa Kinondoni wanataka maendeleo badala ya malumbano. Kila mmoja afanye kazi yake katika eneo lake, hivi hali itakuwaje itakapotokea wote wanatakiwa kuwepo katika eneo ambalo wananchi wanataka huduma?,” alihoji mkazi wa Kinondoni, Sabinius Ambrose.

Katika gazeti moja linalotoka kila wiki, hivi karibuni lilichapisha picha za Ridhiwani Kikwete akiwa na mtu aliyeelezwa kuwa ni Paul Makonda, moja akimfunga kamba za viatu na nyingine akiwa amembeba, ambazo ziliibua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.

Leave A Reply