The House of Favourite Newspapers

Ndugai Ampa Pole Mama Anna Mkapa Nyumbani

0

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai, akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa,  kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa Masaki, Jijini Dar es  Salaam leo.

…Akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid (kushoto)  na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai (kulia) katika Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. 

 Spika Ndugai (kulia), Spika  Maulid (katikati)  na  Kigaigai (kushoto) wakimpa pole Mama Anna Mkapa  (kulia) mjane wa  hayati  Benjamin Mkapa, walipokwenda nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam leo.

Kigaigai akisaini kitabu cha maombolezo alipofika  kutoa pole kwa  Mama Anna Mkapa.

 

PICHA NA BUNGE

Leave A Reply