×

Tag: ajali

Ajali ya basi yaua zaidi ya watu 32 nchini Misri

Basi moja la abiria limegonga gari lililokuwa limeegeshwa barabarani wakati kukiwa na ukungu mwingi mapema Jumamosi kwenye barabara kuu inayounganisha...

READ MORE

Watu Zaidi ya 280 Wafariki Katika Ajali ya Treni Nchini India

Takriban watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki mwa jimbo la Odisha nchini India,...

READ MORE

Ajali Yaua Watu Wawili Iringa, Mwili wa Mwanamke Wakutwa Umeungua Moto-Video

  Watu wawili ambao bado hawajafahamika majina yao wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari wawili aina Semitela Faw moja lenye...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Aliyeokoa Watu 26 Aingizwe Jeshini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amempigia simu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kuagiza kuwa kijana...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Kufuatia Ajali ya Ndege Iliyotokea Ziwa Victoria

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa watu walioathirika kufuatia ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria...

READ MORE

Mke Aliyekufa Ajalini Akimfukuza Mume na Mchepuko, Mumewe Naye Afariki

WIKI mbili zilizopita kulikuwa na habari za tanzia kuhusu mwanamke mmoja aliyefariki dunia katika ajali ya barabara alipokuwa akimkimbiza mumewe,...

READ MORE

Wakazi Anusurika Kifo kwa Ajali, Asimulia Jinsi Wazungu Walivyomuokoa

MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini Webiro Noel Wassira maarufu kama Wakazi amesema amenusurika Kifo baada ya kupata ajali mbaya ya...

READ MORE

Wafanyakazi Watatu wa Tanesco Wafariki Dunia Katika Ajali ya Gari Mkoani Manyara

GARI la dharula la TANESCO mkoani Manyara limegongana uso kwa uso na lori la mizigo katika Mlima wa Logia wilayani...

READ MORE

Afariki Alipokua Akimkimbiza Mumewe Baada ya Kumuona Akiwa na Mwanamke Mwingine

MWANAMKE mmoja kutoka nchini Nigeria amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akimfukuzia mumewe aliyekuwa na mwanamke mwingine...

READ MORE

Rais Samia Asikitishwa na Kifo cha Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya...

READ MORE

Vifo 8 na Majeruhi Ajalini Mbeya, Magari Manne Yahusika, Kamanda Atoa Tamko Zito

AJALI mbaya iliyohusisha magari manne imetokea leo katika eneo la Shamwengo huko Mbeya ikisababisha vifo kwa watu zaidi ya nane...

READ MORE

50 Wanusurika Kifo Basi Likiteketea kwa Moto, Dereva wa Basi Hilo Atamka Neno

BASI la kampuni ya usafirishaji la Tashrif limeteketea kwa moto asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2022 wakati likiwa safarini...

READ MORE

Bingwa wa Kupanda Milima Afariki Akianguka Kutoka Milima ya Montblanc

BINGWA wa kupanda milima na kuteleza kwenye theluji mwanadada Adele Milloz, 26, afariki dunia baada ya kuanguka kutoka safu za...

READ MORE

Lori la Magogo Lafunga Barabara Morogoro, Wasafiri Wasota kwenye Foleni Masaa Saba

ADHA ya usafiri imetokea kwa wasafiri wanaofanya safari zao kati ya Morogoro-Dar es Salaam baada ya Lori lililobeba magogo kushindwa...

READ MORE

Basi La Jambo Lateketea Kwa Moto, Hofu Yatanda Juu ya Vifo na Majeruhi

BASI la Kampuni ya Jambo Food Products lenye namba za Usajli T.841 DHY linalotumika kubeba wafanyakazi wa kampuni hiyo limeteketea...

READ MORE

Zaidi ya Wahamiaji 1,200 Waokolewa Katika Bahari ya Mediterania

  ZAIDI ya wahamiaji 1,200 waliokolewa katikati ya bahari ya Mediterania siku chache zilizopita hali tulivu ya bahari iliwawezesha kuvuka...

READ MORE

Mfanyakazi wa Benki ya NMB Apoteza Watoto Wawili kwenye Ajali ya Basi la King David

MFANYAKAZI wa Benki ya NMB Mkoani Mtwara, Simon Jogwe ni miongoni mwa wazazi waliopoteza watoto katika ajali ya gari iliyotokea...

READ MORE

Auawa kwa Kukatwa na Bawa la Helikopta, Ndugu yake Ashuhudia Tukio Zima

MTALII kijana raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kukatwa na bawa la helikopita mbele ya...

READ MORE

Abiria 41 Wanasurika Kifo Baada ya Basi la Happy Nation Kugongana Uso kwa Uso na Lori

ABIRIA 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya...

READ MORE

Watatu wa Familia Moja Wafariki kwa Kugongwa na Gari Wakipeleka Mtoto Hospitali

WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa kata ya Terat  katika jiji la Arusha,wamepoteza Maisha papo hapo ...

READ MORE

Breaking News: Watu Saba Wafariki kwa Ajali ya Gari, Chamwino, Dodoma

  WATU saba wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Landcruiser yenye namba za...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua 6 Wakienda Msibani, Wanne Kati Yao ni wa Familia Moja

WATU sita wamefariki ambapo wanne kati yao ni wa familia moja, watu hao wamefariki dunia kwa ajali ya gari dogo...

READ MORE

Basi la Shule Laua Mwanafunzi Wake, Dereva Atiwa Nguvuni

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia dereva wa gari la Shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa...

READ MORE

Ajali ya Treni ya Abiria Yatokea Mkoani Tabora, Mabehewa Yaanguka

MABEHEWA sita ya treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mkoa wa Kigoma kuelekea Mkoani Tabora mpaka Dar es salaam yameanguka katika...

READ MORE

Basi la Ruksa Class Lapata Ajali, Laua Watu Wanne na Kujeruhi Wengine 30

WATU wanne wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Abiria kampuni ya RUKSA CLASS...

READ MORE

Watu Watatu Wafariki kwa Ajali ya Basi la Mohamed Classic Kugongana na Lori, Manyara

Watu watatu wamefariki dunia kwa ajali iliyotokana na basi la Mohamed Classic linalotoka Arusha kwenda Mwanza kugongana na lori aina...

READ MORE

Ajali ya Gari na Treni Mkoani Morogoro Yasababisha Kifo cha Mtu Mmoja

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Fortunatus Musilimu amethibitisha kuwa mtu mmoja ambaye ni mmiliki...

READ MORE

Ajali Imetokea Morogoro Baada ya Gari Kugonga Behewa la Treni

AJALI mbaya imetokea inayohusisha gari aina ya TOYOTA PICKUP lenye namba ya usajili T 840 DQF lililokuwa likitokea maeneo ya...

READ MORE

Watu 5 Wapoteza Maisha kwa Kufukiwa na Kifusi cha Udongo Songwe.

WATU 5 katika familia mbili tofauti wamepoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi cha udongo kilichoporomoka kutokana na mvua zilizonyesha usiku...

READ MORE

Watu 9 Waliofariki kwa Ajali Njombe Waagwa, Rais Samia Atuma Salamu za Pole

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafiwa kutokana na vifo vya...

READ MORE

Watu 8 Wafariki na Wengine 19 Kujeruhiwa kwa Ajali Mkoani Njombe

Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu 8 na 19 kujeruhiwa katika ajali...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua Watu 6 na Kujeruhi Wengine Wanne Wilayani Monduli.

WATU sita wamefariki na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Alkatani, Monduli mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua 6 na Kujeruhi 19 Mkoani Tanga, Chanzo Mwendokasi wa Dereva

WATU sita wamepoteza maisha na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka wilayani Korogwe, mkoani...

READ MORE

Lori Laparamia Nyumba ya Mtu Morogoro na Kuua Watatu!

Watu watatu wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo lenye namba za usajili T 947 BQB...

READ MORE

Majanga: V8 Yateketea Kwa Moto

Gari aina ya V8 imeteketea kwa Moto maeneo ya mwenge, karibu na Chuo kikuu cha Tumaini jijini Dar es salaam....

READ MORE

Wafanyakazi wa Azam Media Waliopata Ajali Wafikishwa Muhimbili

MAJERUHI wa ajali iliyotokea jana huko Kitonga ambapo miongoni mwao walikuwemo wafanyakazi 12 wa Azam Media wamepokelewa Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Basi la Kidia One Lapata Ajali

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba, watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya busi la Kidia One linalofanya safari kati ya Arusha-Dar...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua Wawili na Kujeruhi 8 Kimara Suka

WATU wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara...

READ MORE

Arnold Schwarzenegger Apata Ajali

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu za Hollywood na Gavana wa zamani wa Jimbo la California, Arnold Alois Schwarzenegger (74) amepata ajali...

READ MORE

Dar: Daladala Yagonga Treni, Wawili Wafariki

Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) umethibitisha kutokea kwa tukio la ajali lililotokea leo January 19, 2022 maeneo ya...

READ MORE