KILIMANJARO: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dkt. Amini Uronu imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu...
READ MOREMbulu. Watu watatu wamefariki dunia na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Haydom, kuelekea Mbulu Mjini, kuingia...
READ MOREWatu 22 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa vibaya kwenye shambulio baya la bomu lililotokea kwenye ukumbi lilipokuwa...
READ MOREMORORGORO: Abiria wapatao 802 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Dar es Salaam kwenda Bara kukwama Lukobe, Morogoro wamefanikiwa kusafirishwa kwa...
READ MOREMOROGORO: Treni ya abiria iliyokuwa inakwenda Bara imepata ajali usiku wa kumakia leo majira ya saa 5:25 katika eneo la...
READ MORENAKURU, KENYA: Watu 19 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi kugongana uso kwa uso na lori nchini...
READ MOREARUSHA: TAARIFA rasmi kutoka chumba cha Mganga Mkuuwa Hospitali ya Rufaa ya Mt. Meru, Arusha, zimeeleza kuwa hali ya watoto...
READ MOREARUSHA: Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent iliyopo Kwa Morombo ambaye anatambulika kwa majina ya Innocent Mushi na Makamu Mkuu...
READ MOREIMENDIKWA NA HILALI DAUDI, GABRIEL NG’OSHA NA GLADNESS MALLYA |AMANI ARUSHA: Siku nne baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo...
READ MORESTORI: MWANDISHI WETU | GAZETI LA AMANI | ARUSHA Mungu mkubwa! Hali za wanafunzi manusura watatu wa ajali iliyosababisha vifo...
READ MOREARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two,...
READ MORESHINYANGA: Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo, huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya baada ya basi mali ya Kampuni ya...
READ MOREWATOTO wawili kati ya 32 waliofariki kwa ajali ya gari Jumamosi iliyopita wilayani Karatu walizikwa jana huku mmoja akisafirishwa na...
READ MOREStori: Joseph Ngilisho | Ijumaa WIKIENDA ARUSHA: Rest In Peace (R.I.P)! Ndivyo walivyosikika baadhi ya wananchi wa viunga mbalimbali jijini...
READ MOREArusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa ARUSHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi....
READ MORETANGA: Ajali mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo katika Kijiji cha Lusanga wilayani Muheza ambapo basi aina ya Coaster likitokea...
READ MOREMakamu wa Rais, Samia Suluhu kesho saa mbili asubuhi ataongoza wakazi wa Arusha katika Uwanja wa Sheikh Abeid Karume kuaga...
READ MOREWalikuwa wakitoka Turiani kwenda Morogoro ndipo basi hilo lilipogongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitokea Morogoro kwenda nchini Rwanda....
READ MOREHii ni Orodha ya Majina ya wanafunzi waliofariki dunia baada ya ajali mbaya kutokea wilayani Karatu. Wanafunzi zaidi ya 32, wa...
READ MORENa Elvan Stambuli Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamadi jana ametoa salam za rambirambi kutokana...
READ MORERais Magufuli atuma salam za rambirambi kufuatia vifo vya wanafunzi 32 na walimu wao, kufuatia ajali ya Coaster huko Karatu.
READ MOREARUSHA: Wanafunzi zaidi ya 20 na walimu wao (idadi haijafahamika) wamefariki dunia baada ya basi la wanafunzi aina ya Coaster...
READ MOREDAR ES SALAAM: Watu wawili wamepoteza maisha na mmoja kujeruhiwa kwa kuvunjika mguu baada ya malori mawili kugongana eneo la...
READ MOREGARI aina ya Nissan lenye namba za usajili, T 949 BLV limetumbukia mtaroni asubuhi ya leo eneo la Bamaga-Mwenge jijini...
READ MOREMTOTO wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ubena, Tarafa ya Chalinze mkoa wa Pwani aliyefahamika kwa majina ya...
READ MOREWATU tisa hawajulikani waliko huku 44 wameokolewa baada ya mashua yao ya uvuvi kuzama pwani mwa kisiwa cha Zanzibar. Kaimu...
READ MOREJESHI la Colombia limesema idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400....
READ MOREHABARI: Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro jijini Dar es Salaam....
READ MOREDereva wa bodaboda anayetajwa kufariki kwenye ajali hiyo Mwanadada Irene Uwoya ambaye anafanya poa kwenye tasnia ya...
READ MOREIRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea...
READ MOREMbunge wa jimbo la Babati mjini Paulina Gekul amenusurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T 189...
READ MOREMmiliki wa kiota cha Villa Park cha mjini Makambako, jijini Mbeya, Kizito, amepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya gari...
READ MORETaharuki imeibuka leo mchaana baada ya Jengo la Water Front lililopo pembezoni mwa Bandari Kuu ya Dar es Salaam kudaiwa...
READ MOREMCHANA wa leo, moto umeunguza genge la mama lishe aliyejulikana kwa jina la Mama Wambura lililopo Sinza Mori na kunusurika...
READ MOREKILIMANJARO: Watu saba wamefariki dunia wakiwemo Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Hai, MNEC wa Wilaya ya Same pamoja na mwandishi...
READ MORETRENI ya mwendo haraka, (DELUX), iliyokuwa ikitokea Kigoma kuja jijini Dar es Salaam, imepinduka eneola Ruvu mkoani Pwani jioni hii...
READ MOREBalozi Seif wa Pili kutoka Kushoto akimuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uhifadhi na Utunzaji wa Mji Mkongwe wa Zanzibar...
READ MOREMtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Vitu Laini linalofanya safari zake kutoka vijiji...
READ MORE