×

Tag: ajali

HAI: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya Yatekekezwa kwa Moto Usiku

KILIMANJARO: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dkt. Amini Uronu imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu...

READ MORE

Watatu Wafariki, 24 Wajeruhiwa Ajali ya Basi Manyara

Mbulu. Watu watatu wamefariki dunia na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Haydom, kuelekea Mbulu Mjini,  kuingia...

READ MORE

Watu 22 Wauawa Kwa Bomu Manchester, Uingereza

Watu 22 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa vibaya kwenye shambulio baya la bomu lililotokea kwenye ukumbi lilipokuwa...

READ MORE

Abiria Waliokwama kwa Treni Morogoro Wapata Usafiri

MORORGORO: Abiria wapatao 802 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Dar es Salaam kwenda Bara kukwama Lukobe, Morogoro wamefanikiwa kusafirishwa kwa...

READ MORE

Picha: Treni ya Abiria Yapata Ajali, Morogoro

MOROGORO: Treni ya abiria iliyokuwa inakwenda Bara imepata ajali usiku wa kumakia leo majira ya saa 5:25 katika eneo la...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mizigo Yaua Watu 19, Nakuru

NAKURU, KENYA: Watu 19 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi kugongana uso kwa uso na lori nchini...

READ MORE

VIDEO: Hali Ilivyo Sasa kwa Wanafunzi Walionusurika na Ajali Arusha

ARUSHA: TAARIFA rasmi kutoka chumba cha Mganga Mkuuwa Hospitali ya Rufaa ya Mt. Meru, Arusha, zimeeleza kuwa hali ya watoto...

READ MORE

Mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent Afikishwa Kortini, Aachiwa kwa Dhamana

ARUSHA: Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent iliyopo Kwa Morombo ambaye anatambulika kwa majina ya Innocent Mushi na Makamu Mkuu...

READ MORE

VIDEO: Eneo la Ajali Mazito Yaibuka Karatu, Viongozi wa Kijiji, Madereva Wanena

IMENDIKWA NA HILALI DAUDI, GABRIEL NG’OSHA NA GLADNESS MALLYA |AMANI ARUSHA: Siku nne baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo...

READ MORE

Wako Wapi Wenzetu?

STORI: MWANDISHI WETU | GAZETI LA AMANI | ARUSHA Mungu mkubwa! Hali za wanafunzi manusura watatu wa ajali iliyosababisha vifo...

READ MORE

ARUSHA: Watano Wafariki Dunia Baada ya Nyumba Kuangukiwa na Mti

ARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two,...

READ MORE

AJALI: Basi la Allys na Coaster Yagongana Shinyanga, 60 Wanusurika Vifo

SHINYANGA: Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo, huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya baada ya basi mali ya Kampuni ya...

READ MORE

PICHAZ: Watoto Wawili Ajali ya Karatu Wazikwa, Mmoja Asafirishwa Tanga

WATOTO wawili kati ya 32 waliofariki kwa ajali ya gari Jumamosi iliyopita wilayani Karatu walizikwa jana huku mmoja akisafirishwa na...

READ MORE

Wanafunzi Wote Hawa Wamekwenda? Inauma, R.I.P

Stori: Joseph Ngilisho | Ijumaa WIKIENDA ARUSHA: Rest In Peace (R.I.P)! Ndivyo walivyosikika baadhi ya wananchi wa viunga mbalimbali jijini...

READ MORE

PICHAZ +VIDEO: Mashujaa Watoto wa Karatu Walivyoagwa Arusha

Arusha Ilivyozizima Miili ya Wanafunzi Waliokufa kwa Ajali Ikiagwa ARUSHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi....

READ MORE

Ajali Mbaya ya Coaster na Lori Yaua Muheza, Tanga

TANGA: Ajali mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo katika Kijiji cha Lusanga wilayani Muheza ambapo basi aina ya Coaster likitokea...

READ MORE

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Kuongoza Kuaga Wanafunzi Waliofariki Arusha Kesho

Makamu wa Rais, Samia Suluhu kesho saa mbili asubuhi ataongoza wakazi wa Arusha katika Uwanja wa Sheikh Abeid Karume kuaga...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori Yajeruhi 10, Watatu Wana Hali Mbaya

Walikuwa wakitoka Turiani kwenda Morogoro ndipo basi hilo lilipogongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitokea Morogoro kwenda nchini Rwanda....

READ MORE

Hii Hapa Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Karatu

Hii ni Orodha ya Majina ya wanafunzi waliofariki dunia baada ya ajali mbaya kutokea wilayani Karatu. Wanafunzi zaidi ya 32, wa...

READ MORE

Video: Maalim Seif Awalilia Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Arusha

Na Elvan Stambuli Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamadi jana ametoa salam za rambirambi kutokana...

READ MORE

Rais Magufuli Ashtushwa na Ajali ya Vifo vya Wanafunzi 32, Karatu

Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kufuatia vifo vya wanafunzi 32 na walimu wao, kufuatia ajali ya Coaster huko Karatu.

READ MORE

Breaking News: Wanafunzi Zaidi ya 20 na Walimu Wao Wafariki Ajalini Karatu

ARUSHA: Wanafunzi zaidi ya 20 na walimu wao (idadi haijafahamika) wamefariki dunia baada ya basi la wanafunzi aina ya Coaster...

READ MORE

Ajali ya Malori Kugongana Yaua Wawili Dar

DAR ES SALAAM: Watu wawili wamepoteza maisha na mmoja kujeruhiwa kwa kuvunjika mguu baada ya malori mawili kugongana eneo la...

READ MORE

Watu 27 Wafariki Katika Ajali Mombasa, Kenya

  PICHA NA KTN NEWS

READ MORE

VIDEO: Gari Lagongana na Bajaj, Latumbukia Mtaroni

GARI aina ya Nissan lenye namba za usajili,  T 949 BLV limetumbukia mtaroni asubuhi ya leo eneo la  Bamaga-Mwenge jijini...

READ MORE

Mtoto Asombwa na Maji ya Mto Ngerengere Chalinze

MTOTO wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ubena, Tarafa ya Chalinze mkoa wa Pwani aliyefahamika kwa majina ya...

READ MORE

Watu Tisa Wanahofiwa Kufa Maji Zanzibar

WATU tisa hawajulikani waliko huku 44 wameokolewa baada ya mashua yao ya uvuvi kuzama pwani mwa kisiwa cha Zanzibar. Kaimu...

READ MORE

Watu 250 Waangamia Kwenye Maporomoko ya Ardhi Colombia

JESHI la Colombia limesema idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400....

READ MORE

PICHAZ: Mabasi ya Mwendokasi Yagongana Kwenye Makutano ya Barabara

HABARI: Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro jijini Dar es Salaam....

READ MORE

Irene Uwoya Aeleza Alivyoshuhudia Ajali Mbaya Masaki

      Dereva wa bodaboda anayetajwa kufariki kwenye ajali hiyo Mwanadada Irene Uwoya ambaye anafanya poa kwenye tasnia ya...

READ MORE

Ajali ya Mabasi Yatokea Milima ya Kitonga Iringa

IRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea...

READ MORE

Mbunge Paulina Gekul Anusurika Kifo… Alazwa ICU, Ziara Yaahirishwa

Mbunge wa jimbo la Babati mjini Paulina Gekul amenusurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T 189...

READ MORE

Mmiliki wa Villa Park Makambako Alivyopata Ajali na Kufarikia Akiwa na Mpenzi Wake

  Mmiliki wa kiota cha Villa Park cha mjini Makambako, jijini Mbeya, Kizito, amepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya gari...

READ MORE

Bajaj Yasababisha Jengo la Water Front Kuwaka Moto

Taharuki imeibuka leo mchaana baada ya Jengo la Water  Front lililopo pembezoni mwa Bandari Kuu ya Dar es Salaam kudaiwa...

READ MORE

Moto waunguza Genge la Mama Lishe, Nyumba ya Mama JB yanusurika kuungua Sinza

MCHANA wa leo, moto umeunguza genge la mama lishe aliyejulikana kwa jina la Mama Wambura lililopo Sinza Mori na kunusurika...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua Saba Wakiwamo Viongozi wa CCM na Mwanahabari Kilimanjaro

KILIMANJARO: Watu saba wamefariki dunia wakiwemo Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Hai, MNEC wa Wilaya ya Same pamoja na mwandishi...

READ MORE

Treni Yapata Ajali Kibaha…

TRENI ya mwendo haraka, (DELUX), iliyokuwa ikitokea Kigoma kuja jijini Dar es Salaam, imepinduka eneola Ruvu mkoani Pwani jioni hii...

READ MORE

Pichaz: Balozi Seif Iddi atembelea ghorofa lililoporomoka jana

Balozi Seif wa Pili kutoka Kushoto akimuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uhifadhi na Utunzaji wa Mji Mkongwe wa Zanzibar...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mbao Yaua na Kujeruhi 32 Iringa

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Vitu Laini linalofanya safari zake kutoka vijiji...

READ MORE