The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Aussems

Aussems Yamfika Makubwa Kenya

FIFA imeifungia madirisha mawili klabu ya soka ya AFC Leopards ya Kenya kusajili wachezaji wa kimataifa, baada kushindwa kumlipa mchezaji wao wa zamani kutoka Rwanda Vincent Habamahoro kufuatia fedha anazodai milioni 36 inayotokana na…

Kocha Simba Atimuliwa Sauz

PATRICK Aussems, kocha wa zamani wa Simba maarufu kama Uchebe, ameripotiwa kufutwa kazi na timu yake mpya ya Black Leopards ambayo alikuwa akiifundisha katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Aussems aliibukia ndani ya…

Aussems: Nashusha Majembe Mapya

WAKATI Simba ikiendelea kupambana kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo, Patrick Aussems amefunguka kuwa atahakikisha anafanya usajili mpya kwa lengo la kuweza kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika misimu ujao.…

Aussems: Tutawachapa Mazembe kwao

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka kuwa licha ya kutoka sare katika mchezo wao wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, ana matumaini makubwa ya kutinga nusu fainali. Simba ilitoka suluhu katika…

Simba Yafunguka Hatima ya Aussems

WALE mashabiki wa Simba ambao wanataka kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems atimuliwe kutokana na matokeo mabaya ambayo imeyapata hivi karibuni, hii itakuwa ni habari mbaya kwao.   Uongozi wa timu hiyo umesema kuwa hauna…

Mbelgiji Simba Aipa Siri Stars

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema kuwa mechi ya Tanzania na Lesotho ndiyo itakayoamua hatma ya Taifa Stars kushiriki Afcon mwakani. Mwezi ujao Stars inavaana na Lesotho katika mchezo wa marudiano baada ya ule wa awali…