Askofu Gwajima na Silaa, Wapigwa Bonge la Adhabu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limewasimamisha wabunge wawili, Jerry Silaa na Josephat Gwajima, kuhudhuria mikutano miwili ya bunge ambapo watarejea bungeni Januari, 2022.
Akisoma uamuzi huo, Spika Ndugai amesema…