The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

FEI-TOTO

Vigogo Afrika Wagombea Saini ya Fei Toto

KUFUATIA kuwepo kwa taarifa ya klabu kubwa za Afrika kuwa kwenye mchakato wa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, uongozi wa klabu hiyo umeweka wazi kuwa upo tayari kumwachia nyota huyo kama watapokea…

Aucho: Fei Toto Ana Balaa

KIUNGO wa kati wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amesema kiungo mwenzake, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ana balaa, huku akiweka wazi namna anavyokoshwa na mabao ya mbali anayoyafunga. Aucho ambaye amejiunga na Yanga msimu huu,…

Akili za Fei Toto Zinawaza Kufunga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum, ‘Fei Toto’ amesema kuwa akiwa uwanjani yeye anawaza kufunga ama kutengeneza nafasi ya bao kwa ajili ya timu yake ili iweze kupata ushindi. Mzawa huyo kibindoni ana mabao mawili ambapo alikuwa wa kwanza…

Suti ya Fei Toto Yazua Gumzo – Video

MOJA ya vitu ambavyo vinatesa sana mtandaoni hadi sasa toka tukio la ugawaji wa tuzo za TFF ni mitoko ya mastaa wa Yanga, Dickson Job, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Shomari Kibwana. Wakati mastaa wengine hasa wa Simba wakipiga…

Mayele, Fei Toto Wampa Kiburi Nabi

BAADA ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamka kuwa hivi sasa anaanza kuona mabadiliko ya timu yake ikianza kucheza kwa kuelewana. Juzi Jumanne, Yanga iliibuka na ushindi huo…

Chama, Fei Toto, Mukoko, Bocco Nani Zaidi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa tuzo za msimu wa 2020/21 zitakazotolewa na Shirikisho hilo zitatolewa Oktoba 21, 2021, kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dares…

Fei Toto Aweka Rekodi Yanga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka rekodi ndani ya Yanga mara baada ya kufanikiwa kuiongoza timu hiyo kushinda michezo miwili mfululizo ya ligi kuu akiwa kama nahodha wa kikosi hicho. Tangu ajiunge na Yanga mwaka 2018,…

Nabi Amkabidhi Jukumu Zito Fei Toto

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nassredine Nabi, amempa majukumu mazito kiungo mshambuliaji wake Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kumtaka kuongeza uwezo wa kupeleka mashambulizi sambamba na kuichezesha timu muda wote wa mchezo. Septemba 18…

Bilionea Amfanyia Kufuru Fei Toto

BILIONEA na Mdhamini wa Yanga, Gharib Mohammed, amemfanyia kufuru kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kumzawadia gari jipya aina ya Toyota Crown sambamba kuboresha mshahara wake. Kiungo huyo ambaye kipenzi cha…

Tonombe, Fei Toto Kuikosa Prisons leo

WACHEZAJI watatu tegemeo hivi sasa wa Yanga viungo Mukoko Tonombe, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mshambuliaji Michael Sarpong wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo Ijumaa dhidi ya Tanzania Prisons. Timu hizo zinatarajiwa kujitupa…

Poulsen Aukubali Mziki wa Nado, Fei Toto

LICHA ya kupoteza mchezo dhidi ya Kenya ‘Harambee Stars’ kwa mabao 2-1, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen amewapongeza Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Iddy Nado kwa kuonyesha kiwango bora. Mchezo…

Fei Toto Ajikabidhi Azam FC

KIUNGO tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amejikabidhi rasmi Azam FC, baada ya kusema klabu hiyo imekuwa ikimwinda kwa muda mrefu na kwamba yupo tayari kutua kama wataafi kiana na Yanga wanaommiliki kwa sasa. Fei Toto…

Bao la Fei Toto lanunuliwa Yanga

BAO la dakika 89 alilolifunga kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ lilizua shangwe na kujikuta akivamiwa na mashabiki wa timu hiyo na kuanza kumwagiwa noti. Tukio hilo la aina yake lilitokea dakika chache baada ya mchezo wa…

Fei Toto Aleta Mkali Zaidi ya Makambo

ZIKIWA zimesalia wiki nne kabla ya usajili wa dirisha dogo msimu huu, kiungo wa Yanga anayekuja kwa kasi hivi sasa, Fei Toto amependekeza kusajiliwa beki wa kati na mshambuliaji tu. Kiungo huyo Mzanzibar, ameshauri usajili huo baada ya…

Fei Toto Amchomoa Tshishimbi Yanga

KIUNGO mpya wa timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka na kuweka bayana kuwa anatamani kupangwa eneo la kiungo mkabaji ndani ya timu hiyo nafasi ambayo imekuwa ikichezwa na kiungo Papy Kabamba Tshishimbi raia wa DR Congo. Fei…