The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Mama Diamond.

Mama D Azua Gumzo Tena

MAMA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibua gumzo la aina yake baada ya picha akiwa amebebwa kimahaba na mumewe, Ramadhan Abdul ‘Shamte’ kusambaa. Picha hiyo inayomuonesha mama D…

Mama D Hataki Kufia Leba!

UMEINYAKA hii? Kama bado basi taarifa ikufikie kuwa, mama mzaa chema wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ au ‘Mama D’ anasema kuwa, wanaosema ana mimba, basi wasipate taabu kwani ukweli ni…

BIFU LA MAMA MONDI, ZARI SIRI YAFICHUKA!

SIRI ya bifu la mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Sanura Kassim ‘Sandra’ na ‘mkwewe’ Zarinah Hassan ‘Zari’ imefichuka baada ya mtu wa karibu na familia hiyo kuanika kuwa wawili hao waliingia kwenye mgogoro baada ya…

MUME WA MAMA MONDI AKWAA SKENDO

MUME wa Sanura Kassim ‘Sandra’ ambaye ni mama wa mwanamuziki maarufu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Maisala Shante ‘Anko’ amekwaa skendo ambayo huenda ikatikisa ndoa yake.   Skendo hiyo inamganda kufuatia gazeti hili…

Esma Ajitoa Kwa Mama Yake

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amefungukia ishu ya yeye kuwa mshauri wa mama yake, Sanura Kassim ‘Bi Sadra’ na yote anayoyafanya mitandaoni na kusema amejitoa rasmi. Esma aliiambia Over Ze…

Mama Diamond Amuweka Kikao Zari

Na MUSSA MATEJA| GAZETI LA AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Kuna madai kutoka ndani ya familia ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa, mama mzazi wa staa huyo, Sandra Kasim ‘Sanura’ hivi karibuni alifanya kikao kizito na mkaza…