Wasanii Wajitokeza Kumuaga Masogange Leaders (Picha + Video)
WASANII mbalimbali leo wameungana na watu wengine katika kuuaga mwili wa marehemu Agnes Gerald 'Masogange' kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo baadaye leo atasafirishwa kupelekwa…
