The House of Favourite Newspapers

Yaliyojiri Kisutu Kesi ya Agness Masogange

0

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 25, 2017 imeshindwa kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ hadi Agosti 2, 2017 kutokana na wakili wa serikali kutokuwepo mahakamani kwa kuwa anauguliwa na mtoto .

 

Masogange anashtakiwa kwa makosa mawili ambayo ni kutumia dawa za kulevya aina ya Heroine na Oxazepam  na Heroine (Diacety Imophine).

 

LIVE: Rais Magufuli Awahutubia Wananchi wa Singida

Leave A Reply